JK na mai waifu wake Salma Kikwete wakikata keki (juu) na chini JK akimlisha Mama Salma keki katika sherehe fupi ya kusherehekea miaka 20 ya ndoa yao ilofanyika Ikulu Dar usiku wa kuamkia leo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 50 mpaka sasa

  1. Ngoja niwafagilia mama wa kwanza na Rais wetu. "Fagilia waaaaaa" nawataki maisha meme na mrefu. Utuongoze vizuri kama mfalme solomoni. Nasi nchi yetu siku moja iwe kama nchi ya ahadi yenye manu, maziwa, na asali. I know there is no miracle on that, you can do it and yes we can, provided everybody plays her/his own part.

    ReplyDelete
  2. Siku hizi miaka 20 ya ndoa si mchezo. Hongera!

    ReplyDelete
  3. Wow! mama Salma kapendeza sana...kumbe vitenge vinamzeesha! Huwa anaonekana mnene sana kumbe ni uchaguzi wake wa mavazi!!!!!!!!
    Keep it up Our First Lady.

    JJK.

    ReplyDelete
  4. Miaka 20???? Really?? I thought..anywho hongera zao.

    ReplyDelete
  5. JK MMEPENDEZA SANA NA FAMILY YAKO, SASA WEWE MICHUZI YAKO LINI?? MAANA SIJAWAHI HATA KUKUONA UMEPIGA PICHA NA MKEO KULIKONI?
    USINIBANIE

    ReplyDelete
  6. Mama kwa kweli kila uvaacho unapendeza. Hongera.

    ReplyDelete
  7. Wamependeza,
    Lakini naomba kuuliza suala la kiremba limekaaje hapa?

    ReplyDelete
  8. hawa aliishi pamoja kabla ya kuoana? wana mtoto mwenye umri zaidi ya miaka ishirini. naomba jawabu

    ReplyDelete
  9. Congrats

    ReplyDelete
  10. Usiku wa kuamkia leo...!!! Unaamanisha inaendelea sasa hivi au usiku wa jana..??!! Maana hapa kwetu sisi ni jumanne , saa saba mchana......!!!(Huko Bongo ni jumanne saa tatu usiku).Otherwise ,wamependeza sana.Congrarturation Mr.Presedent and Mrs.

    ReplyDelete
  11. Wow Mama Salma looks younger than she used to look when she wears officially damn....!!!!

    ReplyDelete
  12. mama salma kikwete unaonekana umepungua na unapendeza au ni vitenge ndio vinamuonyeshaga mwili mkubwa sana?HONGERA zao.Hope mnatuonyesha public tu kumbe ndani ni VITA( namaanisha wasije wakawa wanafanya kwaajili ya kuonyesha tswira nzuri ya Rais wakati mambo si mambo).hahaha Maisha mema Prezo na my wife wako.
    Mdau
    netherlands

    ReplyDelete
  13. nani kamsuka first lady??

    ReplyDelete
  14. mama Salma kapendeza kweli naona pia kapunguza sana uzito. Hii poa sana kiafya na pia bado hajapoteza curves za kiafrika

    ReplyDelete
  15. hiyo keki kapika mwenyewe nini?

    ReplyDelete
  16. hi!Hongereni sana sana!nyinyi ni mafano kwa kizazi kipya kuvumiliana kwa mda wa miaka 20 katika pingu za maisha sio mchezo!tena ukizingatia mdingi ni mtu wa majukumu makubwa katika nchi kwa kipindi kirefu,na mama umekubali ´kumuruhusu mzee kushiriki katika majukumu makubwa,Mama Salma Mungu akuzidishie moyo wa imani.
    Tena mmependeza na mtafikiri ndio kwanza mna nanii!ino!nanii

    ReplyDelete
  17. you guys are lucky, I envy you.

    ReplyDelete
  18. Wamependeza sana

    Lakini una uhakika ni miaka ishirini?

    Mr. Prez si ana watoto wenye umri wa zaidi ya miaka 20!

    ReplyDelete
  19. Mbigiri a.k.a MchokoziApril 01, 2009

    Naungana na wadau waliotangulia kuwapa pongezi rais na mkewe. Kinachonistaabisha ni kuwa wana watoto wakubwa zaidi ya miaka ishirini kwa hiyo walizaa kiharamu(Nje ya ndoa) pia mbona wanakwenda na Mitindo ya kikristo?
    Rais Kikwete akumbuke mwenzake alipigwa kibao cha uso.Angalie na yeye yasimpate.

    ReplyDelete
  20. Naona hiyo keki ngumu kama jiwe maana President kashika kisu kwa mikono miwili wakati mama kashika kwa kwa mkono mmoja. Ilitakiwa mikono miwli 2 mmoja wa Mzee na mwengine wa mama. Au kisu ni butu? Lakini it's ok wamependeza nawatakia maisha marefu na ndoa yao idumu daima dawamu. Tunasubiri miaka kadhaa ya ndoa ya mkuu wa wilaya ya T mjini Wazo Hill.

    ReplyDelete
  21. KUNA MTU MMOJA HAPA KILA SIKU NANICHEFUWA SANA KIL KITU ANAFANYA REFERENCE KWA WAKIRSTO, HI WEWE MICHUZI NAWE UNAMUUNGA MKONO HUYU KILA SIKU UNATUNDIKA MAONI YAKE YA KUKASHIFU WAKIRSTO INA MAANA KILA KITU KIBAYA NI WAKIRSTO TU. IVI AMESHATEMBELEA HATA HUKO KWENYE DINI YAKE ANAYOIONA SAFI AKAON WATU WANVYOISHI, SWLA SI DINI NI MTU MWENYEWE HATA HUKO KWENYE DINI YAKE SAFI KUNA MAVU ZAIDI YA YEYE ANVYOFIKIRIA, NJUWA ANAUFINYUWI WA UELEWA NA CHUKI BINFSI APTA MUDA AKTEMBELEE HUKO KWENY DINI YAKE NZURI NDO ATAONA MWENYEWE. KUHUSU KIKWETE HUYO SI MKE WAKE WA KWANZA ANAMKE LIYEZAA NAE HAO WATOTO WAKUBWA AMBAYE ALIFARIKI. PIA MJUWE KIKWETE NI BINADAMU KAMA BINDAMU WENGINE LOLOTE LINWEZA KUWA KWELI SI MUNGU.

    ReplyDelete
  22. Hongera sana JK kwa kuwaonyesha watanzania mfano mzuri, na huu mfano kwa kweli unapaswa kuingwa na wanaume wote wa bongo.Ndoa nyingi utakuta zina matatizo,naamini hata JK na Mama Salma wana matatizo yao kibao,lakini kikubwa wana handle vipi matatizo yao,siyo kwa kuumbuana hadharani,si kwa kushutumiana au kuonyeshana action kma couple nyingi tu,mbele za watu ni furaha,hata watu hawaelewi matatizo yenu.Kwa hilo mi binafsi nakufagilia sana Raisi wetu na Mama yetu mpendwa na nawatakia kila la kheri na ndoa yenu izidi kudumu na Mungu azidi kushusha baraka zake.

    ReplyDelete
  23. Wewe Mbigiri hapo juu, Unamaana gani ulipoandika "mitindo ya kikristo"? Unaelewa maana ya Kristo?

    ReplyDelete
  24. Jamani ni bora mtu utambue (kama bado) kwamba ndoa au mke ni dhahabu ambayo labda hujui thamani yake,lakini bora uishikilie hivyo hivyo hata k.m hujui thamani yake,lakini ukaichezea halafu siku moja ikaja kukutoka kisha ukaja kugundua thamani yake baadae,machungu huwa ni makubwa mno, maana kuipata tena huwa si rahisi,

    ReplyDelete
  25. Jamani ni bora mtu utambue(kama bado) kwamba ndoa au Mke ni dhahabu ambayo labda hujui thamani yake,lakini ni bora uishikilie hivyo hivyo hata k.m hujui thamani yake,kuliko ukaichezea kisha siku moja ikaja kukutoka ghafla kisha ukaja kugundua thamani yake baadae,machungu yake huwa ni makubwa mno, maana kuipata tena si rahisi....big up Raisi wetu huu ni mfano mzuri wa kuigwa.Hongereni sana.

    ReplyDelete
  26. Jamani ni bora mtu utambue(kama bado) kwamba ndoa au Mke ni dhahabu ambayo labda hujui thamani yake,lakini ni bora uishikilie hivyo hivyo hata k.m hujui thamani yake,kuliko ukaichezea kisha siku moja ikaja kukutoka ghafla kisha ukaja kugundua thamani yake baadae,machungu yake huwa ni makubwa mno, maana kuipata tena si rahisi....big up Raisi wetu huu ni mfano mzuri wa kuigwa.Hongereni sana.

    ReplyDelete
  27. MUNGU WANGUUUUUUUUUUUUUUU
    UNAJUA NILIPOONA NILIDHANI MICHU UMETUWEKEA PICHA SIKU JK ALIPOFUNGA NDOA NA SALMA
    HIVI HUYU MAMA YETU KUMBE NI BINTI?
    KUMBE VITENGE VINAMNENEPESHAGA MWEEEE HUYU MAMA KIBOKO
    YAANI BADO KIGOLI

    HAYA JK UTASHUGULIKA NA WENGINE KWELI? AA WAPI
    SALMA IS THE BEST

    NANYIE MIJIMAMA AMBAYO KAZI YENU NI KUVIZIA NAKUWAANGUSHA KI MAADILI WAUME ZA WENZENU MKOME

    KAMA HAMKUJAALIWA NA MUUMBA KUPATA WENZI MSUGUE GOTI MTAPEWA WA KWENU

    ReplyDelete
  28. kwa wale wanaouliza ama kushangaa kuhusu umri wa ndoa ya bwana Kikwete na umri wa wanao, ni kwamba

    1. Ridhiwani na dada yake Salama (hawa mama yao ni mmoja ambaye kwa sasa ni marehemu)

    2. Miraji pia mama yake ni mwingine na siye bi Salma

    3. Mtoto wa kwanza wa bwana Kikwete kwa bi Salma kama sikosei ni Ally ama Khalifa ambaye ndiyo kwanza teenager.

    Hivyo bi Salma si mke wa kwanza kwa bwana Kikwete kama wengine ama wengi wanavyo/walivyodhani.

    ReplyDelete
  29. acheni maswali mengi, ooh mbona ana watoto wakubwa, ooh watoto wengine wa haram,hakuna mtoto wa haram, mmesahau kwamba rais wenu ni muislam,na dini yake inaruhusu kuoa mke zaid ya mmoja?????, hichi ni chuma cha pili cha mzee!! haya sasa acheni maswali mengi!!na msiniulize chuma cha kwanza kiko wapi, ila kwa kweli washkaji wametoka bomba mbaya!!!!

    mdau

    ReplyDelete
  30. wewe mbigiri kwani mitindo ya kikristo ikoje? na kwani ni dhambi? cha msingi fanya lolote lakini isiwe unatenda dhambi kwa Mungu wako, ndo ubaguzi wenyewe huo. ulitaka avae baibui au ale solo?

    ReplyDelete
  31. Bro Michu, me am luvin this couple sana tu. Our cute First Lady and the main man, JK. Big up na hongereni sana. 20 years! Du, ngoja na sisi vijana tukomae na game.
    I wouldnt mind kama First Lady akiteuliwa Minista flani, kwani ni gani?

    ReplyDelete
  32. Waswahili tumezidi ngebe oooh, mara keki ngumu mara kilemba! si muandae ya kwenu tuione?

    Tuwape hongera zao jamani!

    ReplyDelete
  33. Waswahili tumezidi ngebe oooh, mara keki ngumu mara kilemba! si muandae ya kwenu tuione?

    Tuwape hongera zao jamani!

    ReplyDelete
  34. Sasa mitindo ya kikristo waliyoiga ni ipi? kuadhimisha miaka 20 au kuna mengine? watu bwana, si ajabu mnagoma hata kusema mko kwenye ndoa miaka kadhaa kwa kuhofia mtanyooshewa vidole kuwa mnafuata ukristo..shaaa....

    Otherwise, they look good, and hongera zao. I heard there was a first wife who passed away long kipindi, labda ndio source ya hao wana mnaowakweri...

    ReplyDelete
  35. Daaaah! Mzee wetu kwa kuchagua si mchezo? Haya Mh. Mzee kaa tulia ufaidi umahiri wa uchaguzi wako, huku nje wala hata hakunogi, ni matatizo tu! Nawatakia maisha mema na yenye baraka tele Mr. & Mrs President

    ReplyDelete
  36. Aaah mmependeza sana kwa kweli hongereni sana we wish u all the best..... Kamua mkwere kamua mama bado kijana sana hata billicanas unaweza kutia naye timu bila kokoro wala nini.
    Amini mkwere wetu maana hata nchi unaiongoza kwenye mstari ulionyooka mafisadi wanakiona cha mtema kuni......

    ReplyDelete
  37. Michu tuwekee picha ya full m.f wanasakata rumba kama uliyoweka ya obama tuone uzuri wa gauni hii maana inavutia sana .

    Mungu awabariki ndoa iimarike na mapenzi yazidi ishallah.

    alichomaanisha Mbigiri hapa alitegemea mama angeweka hijab/ushungi/kilemba kama ada ya dini yake na jinsi alivyomzoea kumuona mara nyingi, pia kwa ajili ya imani na amri ya uislam wake kwa mwanamke lazima afunike kichwa chake mbele ya wanaume ambao si ndugu wa karibu.

    ReplyDelete
  38. Mwenyezi Mungu awape maisha mema na marefu yaliyojaa mapenzi na ushirikiano kwa kila hali. Mama asante kwa kututunzia Baba yetu, na Baba, asante kwa kumtunza Mama. Nawatakia kila la kheri , Mungu awaepushe na wenye hila, awaepushe na mafarakano, azidi kuwajalia hekima, busara na upendo. Familia yenu siku zote iwe na umoja, amani na upendo.

    Hayo ndiyo maombi yangu ya dhati kwa Mwenyezi Mungu.

    Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
    Mungu mbariki Rais wetu mpendwa na Familia yake!
    Amin.

    ReplyDelete
  39. Stunning!!!!
    Kama kawa Ma JK anawakilisha!

    ReplyDelete
  40. BIBI UEMEMEApril 01, 2009

    Mama Salma Kikwete,
    umependeza sana na hizo nguo, kwakweli you look 10 years younger, seriously vitenge vinakuzeesha na kukunenepesha, pia umesuka vizuri sana
    kiukweli umependeza ( ushauri wa bure ) ditch the vitenge and strutt it all like Michelle Obama !
    YES YOU CAN !

    ReplyDelete
  41. WADAU TUIGE TUWAPENDE WAKE ZETU,TUWAHESHIMU WAKE ZETU,TUSIDANGANYINKE NA "NYUMBA NDOGO" AU KUWAACHA WAKE ZETU KWENDA KUOA NJE,BAADAE MATATIZO NI MAKUBWA KULIKO ULIYOKIMBIA, TUAFISHE NYUMBA ZETU JAMANI,TUISHI KWA AMANI

    ReplyDelete
  42. Mamaaa una baby face... Mheshimiwa mmhhh jitahidi usizeeke... utakimbiwa na mamaaaa!!!

    Congrats!!!!

    ReplyDelete
  43. salma kikwete amesoma na dada yangu,bado umri unadai sasa hivi ana miaka 43.

    ReplyDelete
  44. Mwanaume mwenye mke mbaya anakuwa anatulia .mwenye mke mzuri anahangaika ndio dunia hiyo

    ReplyDelete
  45. Kigoli kigoli jamani bibie umependeza hongerani sana wakuu

    ReplyDelete
  46. Mama Kikwete Hongera kwa kuilea hiyo ndoa na mtoto wa pwani, kwani watoto wa pwani cmchezo kufikisha nao miaka 20, mimi nakupa wewe hongera, mmetoka mbali dada we, kura raha sasa.

    ReplyDelete
  47. Am a young dude reinforcing my professional ammunition and ready to conquer the world of success and satisfaction. Just married two years ago to my beautiful wife whom we'v been together for about four years sasa. Tuna one naughty, beautiful, bright and very active son who is such adorable and a blessing to us.

    Problem ni kwamba, sometimes vitu vidogo vidogo sana makes me feel that my marriage wont work, to the point that I wish to just quit and be single and ready to mingle!

    The point is, mifano kama hii ya JK na Sal ni muhimu sana kwa sisi vijana. I heard and seen a lot of gossips about this cute and strong couple that I thot WTF? Kumbe ni unaa flani tu from haters.

    20 years! Well, only examples such as these always give me strength and reason to work harder on my marriage for my son and my family.

    Am luvin you guys and for that, I LOVE MY WIFE NOW MORE THAN ONE SECOND AGO! And this is a never-ending cycle!

    ReplyDelete
  48. SASA KUWEPO NA UWEKAJI NJE MAPATO NA MATUMIZI YA VIONGOZI WETU...
    KODI INALIPWA, MIKOPO YA MABILIONI YANAPOKEWA NA MATUMIZI YAKE HAYAJULIKANI. KAMA BARABARA NI MISAADA. MADAWA HAKUNA, WANAFUNZI HAWANA MADAWATI, WALIMU NA MADAKTARI MISHARAHA NGOMA. SHEREHE KIBAO IKULU SIKU HIZI. HII HAIKUISHIA HAPO WADAU. TUWEKE WAZI HIVI VITU MAANA HAYO MARUPURUPU YA WABUNGE YALIYOTOLEWA JUZI, KIBOKO.

    ReplyDelete
  49. Mi kuna anonym amenigusa sana, aliyesema ndoa au mke ni dhahabu .Ndoa zote zina matatizo, hakuna iliyopona,utaona ya kwako ni zaidi chungulia kwa mwenzio utakuta chako cha mtoto; nikiwa kama niliyobobea katika fani hii,natoa ushauri wa bure kwa atakayetaka kuupokea,ndoa ni kuvumiliana, ndoa mpaka inatinga miaka 20, si mchezo ,hawa wamepitia mengi na mazito;lakini wanadunda tu!! na hoi hoi wanalishana keki hadharani, si raha hiyo?Kuna matatizo yanayopita kiwango ambayo kwa kweli hata maandiko matakatifu yanaruhusu kuachia ngazi,kama mamsapu ameamua kuwa na njemba nyingine nje ya ndoa, hapo mshikaji kidogo inakuwa ngumu.Lakini matatizo mengine,mzee mwenzangu vumilia,na especially mnapokuwa na watoto;vumilianeni tu ,kuna raha yake hapa,si bure.Wenzetu wakina dada lazima tuwaelewe;mwanamke ni kama mmea unaotakiwa kutunzwa,kumwagilia,kuweka mbolea ili ushamiri,sasa mzee kama yote hufanyi,mama humtunzi,humjali,na humthamini,kama mko mbali ndo kabisa hata kumjulia hali kwa simu ni mpaka upokee mshahara mwisho wa mwezi;lakini starehe hazikupiti mbali;nyumbani kila siku unatoa visingizio,valentine day mama anaisikia tu kwa wenzie,maana kila ikifika siku tatu au nne kabla ya valentine day wewe unatunga safari ya kikazi nje ya mkoa;ikifika siku yenyewe,mama unamtumia ka-message kafupi(ya simu tu) baada ya hapo simu imezimwa siku nzima.Ukiulizwa,oh ulikuwa sehemu hakuna "network",tubadilike sasa;mpende mai waifu wako;mjali;mthamini na mpe kipa umbele uone kama hatakuonyesha mapenzi mazito;halahala uzembee halafu wenzio waamue kukufanyia majukumu yote hayo na kuamua kuchukua jumla uone jinsi inavyoumma,tubadilike.

    ReplyDelete
  50. LOVE Has no religion jamani .. ni zawadi wachache wanaipokea ingawa Mungu alimjalia kila mtu kama hawa Mr President na my waifu wake. 20 yrs of marriage ni miaka ya 40 ya maisha kwani ni usiku ni mwaka na mchana ni mwaka... Ukweli ni kuvumilia na kutumaini 'hope' kwamba kesho ni tambarare kama leo ni kugumu.
    Anony wa 3/4 11:44am una akili kama mchwa... uwe unaweka makala kama hiyo kwa vijana waweze kumudu maisha ya ndoa.. Big Ups Salma wee ndio muhilimili wa ndoa peke yako. JK shukuru Mungu kupata mwenza anaekupenda kwa dhati amekutoa mbali na kukubarikia maisha yako hadi kuwa Presido wa nchi nzuri TZ
    BPM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...