Home
Unlabelled
JK hosts Governor General of Australia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mtume, mbona Mrema anaonekana mgonjwa!
ReplyDeleteSura ya Mhe. Mrema imekuwaje au ni picha tu ametoka vibaya?
ReplyDeletenadhani mkao wa kupiga picha haujakaa sawa, Mama Salma alipaswa kusimama upande aliomume wa huyo governor na mume upande alio JK, kwa kuwa wahusika hapa wakuu ni JK na Governor. au nimekosea?
ReplyDeleteMasaada kwenye Tuta.
ReplyDeleteRais wa kiume akija na mke wake, wakati mapresident wakikata issue za kikazi ofisini, ma-mama wa kwanza nao wanakuwa wananong'ona pembeni tuseme jikoni, sasa imekaaje kama hapa ambapo anayekuwa mgeni rasimi ni mwanamke (kwa mfano Malkia), aliyeongozana na bwana yake. Je Hii inamaanisha kuwa JK alipokuwa akiongea na Governor, Mama wa kwanza alikuwa akinong'ona pembeni (jikoni hivi) na mzee wa Gavana?
Mkuu wa nani hii mbona hivyo bwana wengine sio kiinglishi is not richabo sasa hiki kiinglishi ulichoweka kwenye hizi picha tunashindwa hata ku-bipu
ReplyDeleteMdau-Makete hapa
Mrema kachoka..mpeni hata hela za matumizi basi..mzee wa watu amejichokea
ReplyDeleteANGALAU SASA MAMA ANAANZA KUELEWA NI WAKATI GANI WA KUVAA NA KUTOVAA JEZI, HEKO MAMA KWA KUANZA KUJISIKIA NI MAMA WA WATANZANIA NA SI WA CCM TU.
ReplyDeletemzee mrema kwishnehi bora arudi mgombani tu akale mbege nakuangalia mashamba yake siasa inatakiwa na apiarensi yako iwe powa sio uso kama umepakwa rangi lo nani atakupigia kura alituchezesha kwata sana za sungusungu huyu
ReplyDelete