nanihii akiwa na john mashaka wakiperuzi daily news la leo mdau alipotembelea ofisi za daily news na habari leo hapa dar leo. chini ni video ya maongezi yake kuhusu libeneke lake na us blogger

mdau john mashaka yupo bongo kwa vekeshini ya kila mwaka kama kawaida yake, na globu ya jamii ilibahatika kukumbana naye na kula naye stori. hapa anajibu mapigo ya mdahalo wa wazi ambao us blogger alimuomba mashaka ashiriki na redio za mtandao kibao zilijitolea kuwa wenyeji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. mashaka nimekumisssssssssssssssssssssssssssssssssssssss!

    hata salamu tu kigurunyembe jamaniii...???

    enewei,enjoy vacation babaaa...

    ReplyDelete
  2. mhhh mimi hapa nashangaa sana WEWE MASHAKA WEWE SINDIO US BLOGGER jamani wewe mwenyewe ndio unataka sifa, au unataka nitoe evidence kwamba US BLOGGER ni wewe. Hebu acha kutafuta masifa hapo,sasa ukiendelea kudanganya mimi nitatoa uwazi kwa kila kitu,unajua kabisa mimi ni nani.

    ReplyDelete
  3. Huyu John Mashaka tulishamshutukia kwamba kazi yake kubwa ni kuiba idea za watu wengine na kuzifanya za kwake kama kile kitendo chake cha ku-copy kwenye magazeti kama weekly standard, times,Economics, news week na mengineyo. Sasa hapo kwenye hiyo clip ni wazi he’s not ready for that debate and you know why?? Kwa sababu hatakuwa na hizo nyezo zake alizozizoea na kuzifanya ziwe Teleprompter yake.Namshauri aendelee kutoa nje maana hiyo ndo itakuwa kwisheney yake watu wataweza kujuwa who’s real john mashaka is, you can judge by yourself alivyokuwa anaongea is not the same john mashaka we all see his articles.
    Point ingine ni kwamba najiandaa kufungua kesi ya civil case mahakama kuu kwa kumshitaki John mashaka na issa michuzi, mashaka nitamshitaki wa ku- plagiarize some other people’s articles na ushahidi ninao na kwa issa michuzi nitamshitaki kwa kumruhusu john mashaka atumie globo yetu ya jamii kwa maslahi binafsi
    Ni hayo tu
    Mdau mnyarugusu

    ReplyDelete
  4. Kumbe mashaka najua kiswahili? Sasa nini kinamfanya kila siku anaandika kikristo(English) ndo maana hata response kwa watu wengi hapati zaidi ya hao hao wa siku zote ambao si walengwa wakuu.
    Kuna wasomi wengi tu walikuwa wanatisha tukawapa dhamana ya nchi lakini wakatugeuka kwa kukosa intergrity mfano ni prof kighoma malima, alikuwa mmoja ya kichwa makini pale mlimani lakini wote tunajuwa nini baadae kilitokea.
    Sorry Michuzi I don’t want to sound as Mashaka’s hater but just my thought.
    The Beast
    Thank you

    ReplyDelete
  5. Du, Mashaka nimekubali kuwa wewe ni Muunguana sana.
    Nilidhani kuwa mwenye US blogger alikuwa Dr shayo kumbe siye. Nisamehe kwa comment ambazo niliwahi kutoa ila kukubali kuungana na Dr. Shayo kufanya kazi pamoja ni kitu kikubwa sana tena cha maana.
    Natamani vijana wetu ambao wanaupeo na mwelekeo kama wako na Dr. Shayo mngeungana na kwa pamoja mngemsaidia sana J.k Kikwete

    Ukweli ni kuwa hali ilipofikia president J.k.Kikwete anahitaji damu mpya yenye mawazo mapya ndani ya safu yake. Itakuwa ngumu watu kama nyie mkubalike lakini ndiyo ukweli kaka
    Ila jitiohada zenu hasa wewe na Dr. Shayo na wengine wale wenye nia njema na maendeleo maendelevu ya Taifa letu la Tanzania yanaanza kuonekana.

    Ninasema hivyo kwa sababu leo nimepata kusoma mchango wa Dr. Shayo katika jarida la Eastern Africa magazine toleo issue 20 March 2009 nimefurahia sana mtizamo wa dr shayo hasa

    Kwa sasa tunawadharau sana hawa vijana lakini mambo anayozungumzia Dr shayo hasa haya yahusuyo "rescue plan na kwamba zitaundermine the stability ya masoko ni kitu cha kuangaliwa kwa karibu sana.

    Hongera Mshaka
    Dr Shayo uko wapi?????????


    Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  6. ukiwasha moto ujue kuuzima. sio kukimbia.

    ReplyDelete
  7. hana lolote huyo kazi kuvaa kapelo kila siku unaficha airport hapo juu?
    au kuna jua kali ndani ya ofisi?
    us blogger namba 2

    ReplyDelete
  8. MICHUZI KICHWA CHAKO CHA POST NA MAONGEZI HAYAENDANI,UMEKUWA KAMA MMWANDISHI WA MAGAZETI YA UDAKU.HA HAHA.UMEFANYA WATU WAWE TAYARI KUSIKILIZA MASHAMBULIZI KUMBE BILA BILA.

    ReplyDelete
  9. I absolutely agree with Mnyarugusu about John Mashaka's stuff because anyone who went to college and learn how to construct an Essay will agree with the fouls in Mashaka’s articles and if I’m not mistaken that class is called Eng 300 that gives you the skills of how to paraphrase your article and reveal the source of your facts, failure to do so can be considered as immoral. We are all rooting for the debate to go down; Mashaka vs Us blogger perhaps; will be the only chance for Mashaka to be vindicated and I suggest that if he persists escaping the debate against us blogger then he needs to get the hell out of our blog period.

    ReplyDelete
  10. mi niliogopa kusema labda ntaonekana hater, lakini naona wengine walikuwa na mawazo yangu mbona kinachosemwa na kinachoandikwa kwenye blog ni vitu vitatu tofauti?????? anyway labda ni mtendajimzuri lakini siomsemajimzuri,manake hajaeleweka

    ReplyDelete
  11. Habari za saahizi waungwana.
    Mimi nina mawili tuu leo hii.

    MOJA.
    Nafikiri nahitaji "clip" nyingine nyingi tuu za huyu jamaa kama sio interview ili nishawishike kama ndyo yule mwenye uwezo wa kuandika nondo kama zile anazoandika.
    Mimi kama mkulima niliyeona mengi tangu miaka ileeee,nilitegemea kupata vionjo kama viwili au vitatu kutoka kwenye hii interview yake ili kunishawishi kama ndo yeye mwenye uwezo ule,notwithstanding how short the interview was.Inanipa mashaka kidogo kama jina lake lilivyo.Anyway,huu ni mtazamo wangu tu jamani mimi nduguyenu.Basi,MASHAKA YANGU NAMWACHIA MASHAKA.

    PILI.
    Michuzi unaonekana kama unazidi kuzeeka hivi,au macho yangu blaza.Na hilo shati la uji-uji linatetemeka namna hiiii kwenye kompyuta yangu.Lakini inawezekana ni hii kompyuta ninayotumia maana huku Gezaulole siku ya pili leo hatuna umeme.

    Wasalaam,
    Mkulima-Kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  12. Duuuuuh ina maana Issa Michozi ni mrefu kuliko Mashaka???ni swali tuu, kutokana na picha.

    ReplyDelete
  13. Mzee mi nataka tuongelee vision mpya ya Tanzania for the next 25 yrs. Ila nitahitaji hii kitu tuifanye kwa lugha ya kichina, si umesema uko tayari kufanya debate kwa lugha yoyote ile. Meaning what?? that's arrogance brother.

    Wadau, the guy is just chasing for something not a patriot..

    ReplyDelete
  14. Jamani wadau sikilizeni, nyie mnaomshambulia mashaka mmetoa mchango gani? Kila siku mnaficha majina yenu jitokezeni tuwajue. Mbona Dr Shayo kajitokeza na mlimpa usenene wenu?

    Tuache majungu. Tuwe na mjadala wa kuisaidia tanzania. Ndiyo hali ni ngumu tunajua, lakini hata kutoa mawazo?

    Mdau Dr Shayo kakemea rescue plan inayopigiwa support na Waziri mkuu wa Uk kuwa itaandermine market na protectionism siyo solution
    kwani hamuoni kuwa hiyo ni hoja nzito?

    jamani let us be watu wa kutaka kuchangia hoja na kuwa na mjadala wa kuleta maendeleo na siyo mashaka kafanya hivi au Dr Shayo naye kafanya vile

    Mwaga sera zako, na kama unataka watu wakuelewe usifiche jina sema mimi ni Evans mmbandole etc.

    ReplyDelete
  15. (US Blogger)

    Asante Mkuu wa Wilaya ya nanhii kwa kuendeleza libeneke.

    Rafiki yangu kitaifa na mpinzani wangu kihoja, Bw. John Mashaka, nimefurahi kuona unakula vekesheni nyumbani.

    Kumbuka, it does not take a writer or a journalist to debate possible solutions. Debates zinampa mtu nafasi ya ku express and ku defend one's own opinions.Katika maswala ya lugha nilisema chagua lugha uipendayo kati ya KIngereza na Kiswahili then tulonge redioni.

    Taifa halina uhaba wa writers,siku hizi wamejaa kila kona,kuna walio makini na wababaishaji.Taifa linahitaji hoja na possible solutions za matatizo yetu.Tuna utajiri mkubwa wa rasilimali lakini wananchi wengi ni masikini, tunatakiwa kujadili tufanye nini na kujenga ushindani wa hoja ili tupate majibu.

    Ufundi wa uandishi uliojaa lawama tu na usiokuwa na majibu ya matatizo una faida gani kuiendeleza jamii?

    Utakapokuwa tayari ku debate nijulishe.

    Kila la heri na nakutakia mapumziko mema.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  16. man... even I am more charismatic...

    ReplyDelete
  17. WABONGO NI WACHAWI TU ONA COMMENT ZETU.

    ReplyDelete
  18. JOHN MASHAKA UNAMUUMIZA MANKA MUSHI ANALIMISI PENZI LAKO

    ReplyDelete
  19. nafikiri wakati umefika kwa wewe mashaka to shut your mouth because the more you open it ,the more people realize how ignorance you are. so my suggestions to you is shut ur demn mouth bro!
    because evry time u talk u make me and millions of wanamtandao kushikwa kiguguzi mzee unaonekana debe tupu bro

    ReplyDelete
  20. Hawa wabingo ni wachovu.wakinuona mashaka wanatetemeka kweli duhhhh

    ReplyDelete
  21. mashaka heshima na umaarufu uliojijengea naona ni vema uhachane na mambo ya debate. Endelea na kazi zako na usinali Hawa wabongo. Wote niwatu wenye roho as korosho

    ReplyDelete
  22. huyu mtoto mkurya atakuwa anafanyikiwa tambiko ya aina fulani, akili kwake usiombe anavyovutia maadui kwenye mtandao ndo balaa

    yaani bila mtu kutaja jina la mashaka ni kama nile hajachangia hoja. mashaka, anzisha blogu yako washabiki tupo kibao. ila endeleza unyenyekevu, usilete za watsup, yaanaangusha kweli kweli

    ReplyDelete
  23. Rais Mtarajiwa 2015. usiofu, endeleza libeneke, usiwajali hawa wazushi. kinachowasumbua ni wivu

    wanakuona baada ya mizi sita huko Bongo, wao miaka 15 wamekosa nauli, wapi na wapi lazima waone machungu. Hasira hizo, endelea na kazi zako wala usijali majungu

    WABONGO HACHENI MAJUNGU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...