Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Sioni cha ajabu hapo jamani...maadamu umeelewa kitu gani hawa jamaaa walikuwa wanamaanisha inatosha...kujua lugha ya mtu mwingine si lazima sana kama haina maslai kwako.Sisi vi-nchi masikini ndio tunaotakiwa kujua kwa ufasaha lugha za watu wengine especially mataifa matajiri.Mdau MBIJE,A-Kafanabo

    ReplyDelete
  2. Pamoja na kumuunga mkono mdau hapo juu kwa maoni yake.lakini pia ni ulimbukeni tu unaotusumbua, kwani atuwezi kuendelea mpaka tujue na kusema kiingereza. awa wameonesha kuwa wanajali chao zaidi na awachekani kama mtu ajui kusema kiingereza kama tufanyavyo sisi.
    Nyumbani ni muhimu ndio ujumbe tunaopata hapa.
    Tumebakia kufundisha masomo kalibia %97 kwenye sekondary zetu na vyuo, lakini matokeo yake wanafunzi wetu wanamaliza kidato cha nne na sita wakiwa hata awawezi kujitambulisha kwa kiingereza. kama tungekumbatia kiswahili chetu leo hii tungekuwa mbali sana kielimu maana vijana wetu wangekuwa na upeo mkubwa sana wa kiuelewa.

    ReplyDelete
  3. go go there youooooo !!!! and you will see the tall house and then cut left.

    ReplyDelete
  4. Jamani kiinglish ni huko kwetu tu ndio tunahangaika nacho, ncchi nyingine hawajali kwanza hawakipendi kabisaaaa, na huwezi kukuta mtoto eti anapellekwa shule ya kiingereza ni mara chache sana, wengi wanapenda kukuza utamaduni wao na lugha yao, ni sisi tu, zamani nilidhani wazungu wote wanajua kiingereza lakini kumbe laa, tena matangazo yoote ni ya lugha zao, hauoni saloon wala butchery hayo ni ya bongo tu, ni sehemu chache sana, nchi nyingi za ulaya wanatumia lugha zao!

    ReplyDelete
  5. hee kastaha sio bongo maana watu wangesema mpaka kunakucha oooh tanzania hatujiu kiingilishi ooh ndio maana wakenya sijui waganda wanatuzidi ooh blablabla kiingereza na maendeleo wapi nawapi bwana bigup chinaaaaa

    ReplyDelete
  6. We anon wa Tarehe March 27, 2009 11:57 AM,
    Umenichekesha mpaka machozi yakanitoka! Ama kweli Tanzania tumejaaliwa ubinadamu kwa raha za vichekesho!

    ReplyDelete
  7. Mnaona wenzetu walivyoipa lugha yao uzito mkubwa mpaka kwenye vibao. wanapoamua kuweka hicho kiingrish wanaweka kwa herufi ndogo. Sisi 'Waswahili" imefikia hata vile vibao vya majina ya mitaa vilivyokuwa vya Kiswahili vimetelekezwa na tumetundika vya kiingrish tu!! tungeweza walao kuwa na lugha zote mbili katika vibao vya mitaa ya jiji la Dar - makao makuu ya kiswahili katika afrika ya mashariki!!

    ReplyDelete
  8. Wamejitahidi, je waingereza wakiambiwa waandike kitu kwa kichina watajaribu?

    ReplyDelete
  9. Kumbe ki-swanglish sio sisi tuu, duniani koote.

    ReplyDelete
  10. hiyo ndo bandika banduwa

    ReplyDelete
  11. Thank you! NIMECHEEEEKA! Let's have fun guys, can't you see the humour? Asante na wewe apo juu uliyeweka ya " go go youuuu...." Brilliant!

    ReplyDelete
  12. WABONGO tuache kasumba ya kuthamini lugha za watu kuliko lugha yetu.Mi nachukua hayo matangazo kama changamoto kwani unatakiwa uthamini kile kilicho chako kwanza.Utashangaa hapo nyumbani TZ Kinyozi ili aonekane biashara yake ni ya kisasa anaandika TIKA HAIR CUTZ SALOON(nimetumia jina langu nikiogopa kushikwa shati nikirudi BONGO)wakati wateja wake 250% ni WASWAHILI(Wanaongea Kiswahili),si uandike tu TUNANYOA NYWELE hapa! Mi sasa hivi nipo CANADA Kimasomo,wiki iliyopita nilikwenda Madukani kutafuta mahitaji.Kuna MREMBO mmoja kutokana na KASUMBA ya KIZARA..,hapana ya USWAZI niliyonayo nikadhani kwa ULIMBWENDE alionao atakuwa anajua Kingereza,nilipomtaka anielekeze duka linaloitwa'Wall Mart' kwanza aliniomba niongee taratibu maana yeye hiyo ya lugha ya Kingereza kwake ni MSAMIATI.Baaada ya kunielewa,hicho Kingereza alichotumia kinafanana na alivyosema huyo ndugu yangu hapo juu.Namnukuu "up the bridge then down left go go go go wall mart is right!Nilimuelewa kwani alikuwa akitumia pia na ishara.Wenzetu wanathamini sana lugha zao TUBADILIKE!

    ReplyDelete
  13. dont smoke smoke the ball,if mambo yame cotton fire pass the ball to your friend.yuo can cut left here but right is very welcome.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...