Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hahaahahahah Touch Screen jamani hamtowapelekea tena vimada hahaha Kipanya anauwaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  2. Hehee hawa si ni Siwema na Kanumba ....!!!! Wanafanana wao hata lugha zao za kujuta kufahamiana....!!!!!
    Wow hayo ndiyo mapenzi siku zote ni "Kizungu mkuti".

    ReplyDelete
  3. Jamani kila kitu siku hizi sababu imekuwa global fainanshial krisis...imekuwa tabu...hhhaahaha

    ReplyDelete
  4. ka Masudi umenichekesha ila naomba kuuliza hivi wazinzi wengi wanapenda kuvaa mashati ya maua maua? maana naona hata Fataki wamemchora kavaa shati la mauamaua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...