
Iddi Amin
The BBC World Service will on April 9 bring together the families of two former East African leaders whose hostility toward each other led to a fierce war in the late 1970s. In a major BBC Swahili editorial initiative, Jaffer Remo Amin, the son of Uganda’s former president, Idi Amin, and Madaraka Nyerere, the son of former Tanzanian president, Mwalimu Julius Nyerere, have agreed to meet for the first time at Butiama Village, the former Tanzania’s leader’s birthplace.
honestly, whats the point of this? what do BBC expect to achieve? and to the kids why have they agreed to this stupid idea? i bet its all down to the payment.
ReplyDeleteit does not make sense!!!
ReplyDelete...KWA AJILI GANI ???? KWA FAIDA GANI ??? LET THE OLD MEN REST IN PEACE, PLEEAAASE! DONT BRING THEIR NAMES INTO THIS STUPIDITY!!!
ReplyDeletei wonder what they will be talking about.....
ReplyDeletei wonder what they will be talking about.....
ReplyDeleteHapa sasa naona wanataka ku"personalize" vita vya Kagera , ...kwamba ilikuwa ni ugomvi binafsi wa Mwalimu Nyerere na Idd Amin.
ReplyDeletenawaunga mkono wawili wa hapo juu, what does this mean? kama sio kukosa kazi za maana. tuambieni taifa litafaidika vipi? nani anachukua gharama za upuuzi huu kwani mimi najua mama wana chukua pesa wizara ya utumishi.. nani mtanzania aliyeko mbele kwenye jambo hili la kizushi. acheni hizo mtapata matatizo bure? nyumba za watu haziingiliwi na kila mpita njia kama mna akili eleweni kama hamna mtajuta kutoenda shule za uhakika.
ReplyDeleteanyway it doesn't make sense to me guys......lets stay outside and watch the game.Mdau MBIJE,A-Kafanabo
ReplyDeleteNamuunga mkono Gauss na hao wadau watatu wa mwanzo. naona kuna watu wantaka 'kupesonalaizi' vita ya kagera iwe kama ilikuwa ugomvi binafsi wa Mwalimu Nyerere na Idd Amin! naomba hao watoto wasitake kujijazia maujiko kutumia majina ya baba zao na vita ya kagera. Na nyii BBC tunawaheshimu. kuna vitu viiingi sana vya msingi kuzungumzia na sio hili. woooote mmetokota!!!!!
ReplyDeleteNadhani hapa ni mfano wa mtu mmoja mwenye maji machafu sana na mwenzake ana maji masafi. Anataka achanganye maji yake na ya mwenzake na kisha wagawane tena. Kisha uchafu wake utakuwa umepungua na mwenzake usafi wake utakuwa umepungua. Hawa watoto wa Idd amini wanatafuta umaarufu kupitia jina la JKN na familia yake.
ReplyDeleteBBC nao wanataka kujenga jina lao, wanasahau kuwa walipaswa wawakutanishe wazazi enzi hizooooo za kutokuelewana.
Any way tuvute subira tuone maatokeo yake.
SERIOUSLY!!hakuna point ya hayo makutano.Kwani vita ya Uganda na Tz vilikuwa ni vita vya watu WAWILI???kwa maana lilikuwa ni BIFU la watu WAWILI wenye INTEREST zao wala sio ilikuwa vita ya NCHI MBILI!!!!Watanzania tunakwenda WAPI tena??ni KWANINI mlitushirisha WENGINE tusiojua BIFU lenu???basi ingeitwa ni vita ya BUTIAMA Vs KAMPALA/KARUA.Hao BBC kuna kitu wamechungulia na kuona kina faida kwao.
ReplyDeleteMKUU WA NANIHII ukinibania nitajua kwani hapa nimezungukwa na watu kumi tunajadili hili na kila mmoja hakuna anaunga mkono tofauti na kuona hakuna msingi wowote kwa hao watoto kukutana.
Hiyo mikorokoro iliyovaliwa...naamini mengine ni matunguli
ReplyDeleteInaelekea BBC inafilikisika kiubunifu. What is the relevance of this expensive programme? Why Madaraka and Jaffer? Who are they in relation to Kagera War? They are just sons not Presidents. They have nothing to do with the decisions made by Presidents Nyerere and Amini respectively. Why Butiama? What do you want to symbolise? Why not Mutukula or Kyaka? Now I start questioning your judgement? This is not Journalism. May be it is PR. but PR for whose benefit?
ReplyDeleteMlikuwa na kipindi kingine cha kijinga tu kuhusu maadhimisho ya mashambulizi ya kigaidi kwenye balozi za Marekani Dar na Nairobi na mkamtuma mwandishi wenu Marekani ili iongeze nini? upuuzi tu.
Do really know what is news? Do you really consider the impact and relevance of your programmes? Or you just come out with funny ideas and justies them to extra trips and mshiko.
Please be serious. Get people who know what is journalism to run your section. There are so many burning issues in East Africa, focus on those issues. Talk about corruption, poverty, sustainable development, women empowerment, education, etc.
Next time I hope you will not waste time and resources kwa programme ya isiyo na kichwa wala miguu kama hii. Be proffesional na acheni kujipendekeza kwa viongozi. Shikeni maadili yenu ya kazi. Utangazaji si kuwa na sauti nzuri hewani. Ni zaidi ya hapo.
VITA NI VITA MURA
ReplyDeletemmambo ya mwaka 47 sasa ya nini kama sio tu wanatamani vita itokee tu kokote East Africa ndio wafurahi kuwa Africa nzima inahangaika badala ya kuongelea ishu za global recession wanaongelea ujinga
ReplyDeleteJamani eeh, huyu jamaa (Nduli), siyo rahisi kum-quote kwa sababu ya BAD reputation yake aliyokuwanayo kama Dictator. Lakini alipokuwa anaongelea DREAM kwenye moja ya hizo YOUTUBE clips kuwa alitamka "BLACK PEOPLE MUST BE PRESIDENT (of THE USA), MUST BE SECRETARY OF STATE..." Na hii imekuwa kweli baada ya miaka kadhaa.
ReplyDeleteSasa sijui ni coincidence au nguvu za giza, au ka uwezo ka kutabiri ya baadae. Sijui...
You people mnaokosoa huu mpango mkuwa na very thin-skinned, tatizo ni kuwa kila kitu kinachotokea mnakichukulia kisiasa, acheni logic itawale. Tufanye subira muone mwisho wake, kama sinema hujaiona utajuaje inavyoisha?.
ReplyDeleteBBC has come up with idea at a time when patriotism [uzalendo] is at its lowest since independence - kwa Tanzania of course.
Kwa hiyo hapa tatizo ni BBC kwa kuwa ni chombo cha kigeni? Je vipi kuhusu hao wanaoandikana kuchafuana wenyewe kwa wenyewe hapo Dar Es Salaam?
Wanachotaka kufanya BBC, ni kuikumbusha dunia kwamba bila ujasiri wa Mwalimu Nyerere na wanajeshi shupavu wa Tanzania Uganda ingekuwa ni nchi ya aina gani kwa sasa?
Au equation ya siasa za Afrika Mashariki ingekuwa na sura gani?
Hii haiishii hapo tu, je kwa generation mpya wanajua nini kuhusu vita vya Kagera?
Na watoto wa viongozi hao wana mawazo gani kuhusu legacy za baba zao, hasa kwa kuwa wote walishatangulia mbele ya haki?
Wadau,
ReplyDeleteNafikiri vijana hawa waongelee masuala yanayoikabili Afrika kwa kipindi cha muongo huu na miaka inayokuja. Maana Mwl Nyerere na General Amin walifanya yao miaka ya 1960-1980. Sasa wakati ni huu ni vijana hawa wauelezee ulimwengu namna gani tujikwamue kiuchumi, maana 'mavi ya kale hayanuki'.
Juzijuzi Gordon Brown aliwaita viongozi kadhaa wa nchi zinazoendelea ktk Jumba La Lancaster jijini london kuzungumzia 'changamoto ya mtikisiko wa kiuchumi'. Hakuna taarifa ya matokeo ya kikao hicho.
Lakini taarifa toka Brasilia Brazil, Raisi Lula wa Brazil amewapasha wazungu kuhusu nadharia za 'kiuchumi za Ulaya na Marekani' zinazoziumiza nchi zinazoendelea:
Brown in Chile after cold reception in Brazil
5 hours 24 mins ago 27/03/2009
The Prime Minister(Gordon Brown) had earlier met with Brazilian President Luiz Inacio Lula da Silva in the capital Brasilia where they discussed their positions ahead of the summit G20.
Mr Brown called for a $100 billion dollar (£69bn) package to help revive international trade.
But his appeal was upstaged when his host Mr Lula launched an excoriating attack on the "white, blue eyed people" who had caused the economic crisis.
Mr Lula said: "This is a crisis that was caused by people, white with blue eyes. And before the crisis they looked as if they knew everything about economics.
"Once again the great part of the poor in the world that were still not yet (getting) their share of development that was caused by globalisation, they were the first ones to suffer."
He went on: "Since I am not acquainted with any black bankers, I can only say that this part of humanity that is the major victim of the world crisis, these people should pay for the crisis? I cannot accept that."
Mr Lula hit out at other countries for restricting immigration, stressed that Brazil's banking system had been well regulated, and also demanded a deal on the stalled Doha trade round.
A slightly flustered Mr Brown glossed over the comments, insisting he was more interested in finding solutions than saying exactly who was to blame.
Source: www.ITN.co.uk
hapa wote wanaohusika na hili tukio HAMNAZO..
ReplyDeleteutamlinganishaje Mwl J.K Nyerere na Idd Amin Dada...
mmoja karibia nakuwa mtakatifu na mwingine ana sifa zaidi za Osama Bin Laden...
BBC ..shame to you!
walete vipindi vyenye maana ni afadhali wangeandaa kipindi cha kuwaelimisha watu walioadhirika na vita!!
...labda idi amin dada alikuwa--akipewa support na hawa wazungu....
kweli zungu's are not good people!!
sasa kuna economic crisis...kwanini wasiweke midahalo ya kujikomboa kwenye janga hili walilolitengeneza!!
again....shame to all who support this madness..
kwa kumbukumbu za ma'Professors wa UDSM,Mlimani Tanzania bado hatujatibu donda la vita vya Kagera...
.....heri mimi sija--support huu uozo!!
BBC nawapa ushauri wa bure..
ReplyDeletewawakutanishe watoto wa Bush na wale wa Blair pia upande mwingine uwe na watoto wa Osama na Sadam Hussein...
nadhani wakifanya hivyo watapata audience wengi na kipindi kitangombaniwa na watu wa matangazo...
lakini hiki cha butiama...
ovyoooooooo!!
Guys, mwezi April 2009 inatimia miaka 30 tangu kumalizika kwa vita vya Kagera. Tatizo liko wapi?
ReplyDeleteAninymous wa March 27, 2009 3:42 PM umeongelea Logic itawale. Ni mu muhimu kuyaangalia mambo kilogic/kimantiki lakini utambue kuwa si kila lenye mtiririko wa kilogic ni lenye kufaa. Utambue kuwa logic inazo sifa kuu mbili (i)is it Valid? kwamba premises zinakubaliana na conclusion (ii) Does it sound? kwamba inaingia akilini kweli?
ReplyDeleteSuala la BBC kuwa kipindi kama hiki ni logical kwa maana ya validity lakini haliingii akilini? Huo ni upande mmoja.
Upande wa pili ni kwamba kipindi hakiko hako logical kwa kuzingatia
Unaupima vipi uzalendo wa watanzania kwamba uko chini? Tupe vigezo na vipo usikulupuke kutoa maneno tuuuuu ili mradi unatea BBC. Lini umefanya utafiti wa kupungua uzalendo katika Tanzania. Ni busara ukaomba radhi kwa hili.
Tatito si BBC kuwa chombo cha kigeni. Tatizo ni nyinyi BBC kutoa irrelevant programme na kupersonalise vita ya kagera. Tatizo ni nyinyi kwenda kinyume na kanuni na misingi ya uhandishi wa habari na utangazaji. Ndiyo mnayo haki ya kuamua nini mtangaze lakini kama mnachotangaza au mnachotaka kutangaza ni pumba hadhira - wasikilizaji wenu wanayo haki ya kuwakosoa na kuwasahihisha.
Wanao andika uchafu hapo Dar wanawajibishwa kwa kukemewa kama tunavyowakemea nyinyi BBC sasa. Mifano ipo ya wanaochafuana na hatua zinazochukuliwa. Usiseme vitu bila ushahidi. Juu hayo kuchafuana kwa magazeti ya Tanzania wapi na wapi na programme hii ya BBC?
BBC-Kiswahili inaikumbusha Dunia au Afrika Mashariki? Umuhimu gani hii programme inao kwa mtu wa Peru au Hawaii au Bulawayo-Zimbabwe au Abuja n.k. Think about proximity (geography) Hicho si kipindi cha Dunia.
Ni kweli Nyerere alitoa maamuzi mazito ya kuikomboa Uganda ambayo yaliiacha Tanzania ikiwa Masikini. Zaidi ya US$ 500 milioni za wakati huo zilitumika katika vita hivi na hueanda gharama ni kubwa zaidi hizo. Je Tanzania ingekuwa katika hali gani kama Nyerere asingeingia katika vita hivi? Si semi Maamuzi ya Mwalimu yalikuwa na makosa ila nataka kukuonyesha upande wa pili wa mambo ambavyo yange kuwa.
Generation mpya unamaanisha nini na nani? na Generation ya wapi? Kama ni ya Tanzania, hakuna mtoto kitanzania ambaye yuko shule asiyejua habari ya vita vya kagera, viko katika historia na watoto wetu wanaisoma. Kama unataka kuwaelimisha wakenya na labda wanyarwanda, warundi na wakongo hilo ni suala lingine na programme moja haitoshi.
Unaongelea Legacy ya Nyerere na Amini katika mtazamo wa kifamilia au kisiasa? Maana Madaraka si mwanasiasa na wala hayuko serikalini. Sasa utaka legacy ipi kutoka kwake? Sijui huyo mtoto wa Amini anafanya nini lakini kumuuliza legacy ya Amini hutapata la maana zaidi ya kumuona Amini kama baba yake. Waulizeni wanazuoni ambao watatupa hoja ambazo haziko bias na zisizo na upendeleo. Ndio maana nasema BBC-Kiswahili Journalism sasa ni ZERO.
Anony wa march 27, 2009 4:29 umelonga mwanangu. Wawakutanishe hao pande mbili ulizotaja. Nani naongezea wawakutanishe watoto wa Yasser Arafat na Netanyahu kama kweli wa nia safi na siyo kufanya majaribio yao Afrika. Lakini jamani pia tukumbe fedha fedheha Hao wote wawili madaraka na huyo jaffer choko mbaya sasa njaa zao ndio ndizo zimewavalisha mkenge.
ReplyDeleteChuki za wasiopenda mapatano na amani utaziona. Wako hasi (neg) hapo juu.
ReplyDeleteWatoto hawa wana haki ya urafiki hata kama wazazi wao walikuwa maadui.
President Mugabe speech at the 62nd UN General assembly (part2)
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=OLTQetl9cHM
It is about saying a 'broom is a broom' to the so called superpowers.
Only General Amin, Mwl Nyerere and Comrade Robert Mugabe could say without fear what they believe is correct to the 'Superpowers'.
Unfortunately nowadays Comrade Robert Mugabe is alone in expressing Africans disatisfaction with the current imbalance in the 'world trade organisation' double standards.
WOTE WATOTO WAMADICTATOR.....NYERERE NA IDI AMIN WOTE THEY ARE DICTATOR'S
ReplyDelete"I want to assure that i love you very much.If you were a woman,i would have considered marrying you although your head is full of gray hairs"- Idd Amin
ReplyDeleteWe are all welcome to our personal opinion if we disagree with those of others. I am looking forward to watching the documentary on 09 April 09. Call me naive, but I am one of those who believe that Idi Amin was not that bad after all. The British media painted him in dark colours throughout the 70s and the 80s and we all know why.
ReplyDeleteIt would be interesting to get the director of the movie The Rise and Fall of Idi Amin - which I watched as a youngster and believed it all but which I now believe was based on made-up events - notably Amin's cannibalism. He may have cruelly treated the Asian community in Uganda, but surely he was nowhere near cannibalism neither could he have sanctioned the drowning of disabled people into the Nile.
Madaraka, please have a nice cup of tea with Jaffer and enjoy it.
I hope this Jaffer guy is coming to apologise on behalf of of his father to apologise to Madarka. Otherwise it does not make sense.
ReplyDeleteNaona kuna akili kama ya kufanya kila kitu kama ile show ya 'big brother'.This is some sort of reality journalism and it is trivialising our dear Mwalimu Nyerere, the war and Tanzania.
If you can change your mind Madaraka, don't do it please.
Hivi Mada ni yule handsome boy aliyekuwa akigombaniwa tulipokuwa Zanaki Sec? Basi mie nasubiri kuiangalia documentary nimwone huyo Mada kama bado ni handsome boy. Hayo mambo yenu ya siasa sina habari nayo wakikutana sawa wasipokutana sawa. Vita vilituulia ndugu zetu wengi sana. Nakumbuka kuhudumia maaskari wengi waliokatika miguu shauri ya vita. Kama ilikuwa vita vya panzi basi sie tukae pembeni.
ReplyDeleteHAKUKUWA NA UGOMVI WOWOTE KTI Y NYERERE NA IDD AMIN, UGOMVI ULIKUWA KATI YA SERIKALI YA UGANDA YA WKATI ULE NA SERIKALI YA TANZANIA Y WKATI ULE, ILITOKEA TU KUWA MARAIS WAKE WALIKUWA HAWA WAWILI, CLASH ILIKUWA YA IDEALOGY NA POLICIES ZA NCHI HIZI MBILI SI ZA HAWA JAMAA. BBC HAPA WAMEPOTOKA, SO IT IS UP TO US TO FILE OUR COMPLAINS TO BBC AND IKIBIDI TUNAANDAMANA KWA NGUVU ZETU ZOTE KUPINGA HILI, AU TO TAKE DIRECT CIVIL ACTION ON THE DY KUZUWIA HILI LISITOKEE, TAFUTENI EMAIL ADDRESS ZA BBC NA TUWONYESHE KUTORIDHIKA N UPUUZI HUUU, LABDA WAKAKUTANE HUKO LONDON BBC HED OFFICE SI BONGO. HATA KIKWETE AOMBWE AZUWIE HUU UPUUZI
ReplyDeletePresident Mugabe speech at the 62nd UN General assembly (part2)kweli yeye anajiamini kuwaapasha 'wakubwa' wa dunia hii. tunahitaji watu wa namna hii kusema yale waafrika tunayoona kuwa yatatukwamua toka ktk mfumo wa 'Ukoloni mamboleo- yaani neo-colonialism' wa ukiritimba wa kiuchumi, masoko, fedha/benki na 'uhamiaji-control of free movement of people' cheki link :
ReplyDelete*[http://www.youtube.com/watch?v=OLTQetl9cHM Robert Mugabe speech]
Hiyo labda ilitakiwa itoke keshooo, au?
ReplyDelete