Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. michuzi, uongozi wa diamond jubilee hall ulitakiwa kurekebisha yale maneno gents to let na sio kukulazimisha uondoe. au kama ulipata picha iliyofanyiwa kanyaboya, basi tueleze.

    ReplyDelete
  2. Nashangaa kwamba hatujaambiwa kwamba tunakatiwa umeme ili kuunga mkono jitihada za kuhifadhi mazingira. Si tunaambiwa kwamba matatizo yetu ya kiuchumi yanatokana na krediti kranchi ya uchumi wa dunia na tunahitaji bailout.

    ReplyDelete
  3. kp kaipatia hii

    ReplyDelete
  4. KP si mchezo! yaani nimecheka sana!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...