Habari za leo kaka Michuzi.
Naomba niitambulishe hii site yangu ya vipamba nyumba vya kisasa kutoka China.
Kazi njema.
http://nicehouse-nicehouse.blogspot.com
 --------------------------------------------------------------------

Hi
karibu kaka katika blog yetu mpya ambayo ni 
www.dodoma-tanzania.ning.com
Tafadhali Tunaomba utusaidie kuitangaza hii blog katika blog yako
            tunakutakia Kazi Njema
---------------------------------------------------------------------------------
Pole na kazi Mr Michuzi.
Mimi naitwa Richard na ni mdau mkubwa wa blogspot yako.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo nina soma Information Technology.
Nimetengeneza tovuti ya mnada na matangazo inayo patikana kupitia http://www.auctionmart.co.tz
Hii tovuti inawezesha watanzania kunadi au kutangaza vitu vyao kwenye mtandao ili watumiaji wa mtandao wengine wapate kuviona.Kujiunga na hii web na kutangaza ni bure.
Ningependa watanzania wapate kuijua na kuitumia kwani wachache ndo wanaijua.Naomba uirushe kwenye blogspot yako ili iweze kujulikana zaidi.
Nitafurahi sana kwa msaada wako kwani nitakua nimefanikiwa na kitu nilicho kuwa nikitamani kufanya toka zamani.
Wako Richard

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi wasaidie kuelimisha wabongo blogs siyo website bali unaweza ita ni open Email.Mtu anablogs anaita website.

    ReplyDelete
  2. Ujumbe kwa:

    www.dodoma-tanzania.ning.com

    Kushona shona kwa picha ya Dodoma kunashiria "fakeness".

    Weka picha moja tu. pengine kama kuna picha ya alama ya Dodoma, kwa mfano, hayo majumba na mlima hapo nyuma!

    ReplyDelete
  3. Wewe mdau wa kwanza kutoa comment usikurupuke mambo usiyoyajua..eti michuzi afundishe watu kuwa ku-blog sio website.Nini maana ya website?au kwanini huwa ktk address wanaanza na WWW?Kinachofanya waite WWW au WEBSITE ni coverage yake ie WORLD WIDE SITE (WWW).Sasa kwani blogsoite ya Michuzi coverage inakwenda hadi wapi?Usichangwanywe na hilo neno blogspot, au kwakuwa ni bure kuwa na blog ndio basi.

    Unakumbuka Michuzi alishwahi kuibadili hii blog ya jamii kwa kuondoa hilo blogspot?Ni rahisi tu, unalipia dola 10 kwa mwaka kufanya mfano iitwe www.issamichuzi.com, kwa hiyo usishangae sana.Ukiangalia site ya z ze utamu nayo ni blog kama hii ya michuzi, naye analipia kuiita zeutamu.com na ameondoa ile blogspot.com tu.

    MDAUZIIIIII

    ReplyDelete
  4. wewe ulieponda ndiyo mshamba,kwanini unafikria wenye akili wakaiita blog na website ikabaki website? dont touch word www

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...