Assalaam alaykum,
kwa niaba ya wote waliosimamia msiba wa ndugu yetu Ilyas Ibrahim, wangependa kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila kitu na kuwashukuru wote waliochangia katika msiba huu kwa njia moja au nyingine.
Tungependa kuwajulisha kuwa mchango uliopatikana umetumika kwenye matayarisho ya maziko na mpaka mwisho wake inshallah, na mapeni yaliyobaki yatatumika kwa njia ya kumjengea Sadaqatul Jaariya marehemu nyumbani Tanzania, na wote waliojitolea inshallah wana malipo yao kwa Allah (S.W).
Kwa niaba ya wasimamizi wa msiba.

Zenjydar Community Association

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ndugu zangu poleni, nimetembelea website yenu na nimekuta matangazo ya maziko mawili, kilichonishangaza ni kuwa yote yanafanyika siku moja lakini katika misikiti tafauti, jee ni kwa nini hamkufanya msikiti mmoja au wakati tafauti? naamini kuna ambao wangelipenda kuhudhuria maziko yote mawili. Pia haileti picha nzuri kwa jumuia yenu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...