Home
Unlabelled
mama salma katika sherehe za maulid pemba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mungu awazidishie na kuendeleza madili wamependeza kwa kivazi kilichohiwahifadhi mili yao
ReplyDeleteMimi nina swali kwa nini wanaume hawavai hijabu kuhifadhi miili yao pia? Kwa nini na sisi kina mama tunavutiwa na sura na ndevu zao
ReplyDeleteMama wa kwanza wa sasa hivi anajitahidi kwa mazawadi, ana mkono wa kata, sio kama aliopita alikuwa na mkono wa birika, asante mama.Bi kidude
ReplyDeleteAnon wa pili juu soma biblia vizuri upate majibu kabla ya kuuliza. Au hudhuria mihadhara.
ReplyDeletemie nasikiaga kuwa ma-ustaadhi au masheikh uwa awapeani mikono na wanawake ambao sio wake zao!yaani Mke wa mtu ? sasa hapa naomba nielimishwe kidogo?! maana naona kuna ustaadhi anapeana mkono na Mama kwanza vipi?
ReplyDeleteni kweli kupeana mikono na wanawake haifai kabisa inachochea zinaa
ReplyDeleteKAMA UNA UHAKIKA KWA KUTOA MKONO WAKO HUTAPATA HISIA TOFAUTI UNAWEZA UKATOA, IWAPO UNA UDHAIFU USITOE KWANI ADHABU YAKE NI KUBWA, LAKINI WENGI SASA HIVI HAWAELEWI AU KWA JINSI WATU WANAVYOKAA UCHI WAMEJIONEA BORA MKONO KULIKO KUANZA KUJIELEZA. USHAPANDA DALADALA WAKAINGIA WATOTO WA KIKE? UNAWEKEWA TAKO MGONGONI, KWAPA USONI YAANI ACHENI WATOTO HAWA. HUWA NAWAULIZA UMETOKA MAJUMBANI MWENU?
ReplyDelete