Mama Salma Kikwete akipozi na baadhi ya wanafunzi wa madrasa ya Konde huko pemba alikokwenda kusherehekea Maulid mwishoni mwa wiki
Mama Salma Kikwete akimkabidhi moja ya baiskeli tano alizotoa kwa madrasa ya Alfanurania Maalim Abdallah Rashid Juma iliyopo Dodo Pujini, chake Chake Pemba.Mama Kikwete alikuwa mgeni Rasmi katika Maulid ya Kusherehekea Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad(SAW) iliyofanyika Konde, Pemba, wikiendi hii


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mungu awazidishie na kuendeleza madili wamependeza kwa kivazi kilichohiwahifadhi mili yao

    ReplyDelete
  2. Mimi nina swali kwa nini wanaume hawavai hijabu kuhifadhi miili yao pia? Kwa nini na sisi kina mama tunavutiwa na sura na ndevu zao

    ReplyDelete
  3. Mama wa kwanza wa sasa hivi anajitahidi kwa mazawadi, ana mkono wa kata, sio kama aliopita alikuwa na mkono wa birika, asante mama.Bi kidude

    ReplyDelete
  4. Anon wa pili juu soma biblia vizuri upate majibu kabla ya kuuliza. Au hudhuria mihadhara.

    ReplyDelete
  5. mie nasikiaga kuwa ma-ustaadhi au masheikh uwa awapeani mikono na wanawake ambao sio wake zao!yaani Mke wa mtu ? sasa hapa naomba nielimishwe kidogo?! maana naona kuna ustaadhi anapeana mkono na Mama kwanza vipi?

    ReplyDelete
  6. ni kweli kupeana mikono na wanawake haifai kabisa inachochea zinaa

    ReplyDelete
  7. KAMA UNA UHAKIKA KWA KUTOA MKONO WAKO HUTAPATA HISIA TOFAUTI UNAWEZA UKATOA, IWAPO UNA UDHAIFU USITOE KWANI ADHABU YAKE NI KUBWA, LAKINI WENGI SASA HIVI HAWAELEWI AU KWA JINSI WATU WANAVYOKAA UCHI WAMEJIONEA BORA MKONO KULIKO KUANZA KUJIELEZA. USHAPANDA DALADALA WAKAINGIA WATOTO WA KIKE? UNAWEKEWA TAKO MGONGONI, KWAPA USONI YAANI ACHENI WATOTO HAWA. HUWA NAWAULIZA UMETOKA MAJUMBANI MWENU?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...