
Hasheem Thabeet
Hasheem amechaguliwa kuwa finalist wa Mens College Player of the Year awards.
Kwa wale walioko marekani wanaweza kupiga kura kwa kutuma sms 51234 ukiwa na ujumbe VOTE.
Asilimia 25% za kura zitatokana na na kura za washabiki. Michuzi irushe hii ktu ili watu wampigie kura Hasheem.
Kwa habari zaidi bofya hapa
http://www.thehrr.com/HRR_blog/2009/
03/four-finalists-named-for-naismith-award.html


ALL THE BEST THABEET
ReplyDeleteNaamini mambi yatakua shwari, ukiachilia kigezo hicho cha kura ambapo watu kibao watakudondoshea, naamini utaweza kuchukua nafasi hiyo kwa kuangalia vigezo vingine pia.Ni kukomaa na game zilizobaki kuzidi kuongeza ushawishi dakika hizi za mwisho za March Madness.Mi nimeshapiga kura yangu, umeipata.
ALL THE BEST
MAKULILO Jr,
www.makulilo.blogspot.com
WATANZANIA TUPENDANENI JAMANITUSIWE KAMA WAAFRIKA WENZETU WALIVYO MNAJUA WAAFRIKA SIE TUNACHUKIANA SANA NA NDIO MAANA WAZUNGU WANATUDHARAU SANA KWANI WANAJUA KUWA HATUPENDANI ,TUNASHUKURU KIJANA KAZA KAMBA NA MOLA AKUTANGULIE SANA.WABONGO MSIJE MKAMPIGA MAJUNGU HUYU KIJANA WETU MLIOKARIBU NAYE MSAIDIENI USHAURI SIO KUFURAHIA MKIMUONA AMEKOSEA HATA KUZAMA KWENYE STAREHE UKAISHIA KUMCHEKA NA KUSEMA TULIJUA MSHAURINI SANA AKOMAE NAMCHEZO HUU AITANGAZE TZ NASHULE PIA AKOMAE NAYO .AKSANTE
ReplyDeleteHUYU DOGO SIO MCHEZO KATIKA GEMU, HAWA MABANIANI WA HUKU WENYEWE WANAMKUBALI NA WANAMPIGIA KURA KAMA NJUGU. SHIME NA SIE AKINA KALUME KENGE TUMPIGIE KIJANA WETU ASHINDE HAKO KAZAWADI WAJAMENI.
ReplyDeletehiyo itakuwa ni cheating kama tutampigia kura ilhali hata hatufatilii mchezo huo, hatuujui mchezo huo na hata hatkuwahi kumuona akicheza. kura za haki ni za wale wanaomjuwa kimchezo, wanamuona au wamemuona akicheza sio kila mtu hiyo sio fair kabisa!!!!
ReplyDelete@ 8:41 ndio nyie nyie..acha hizo. Flavia matata alivyoenda kule Mehico tukajiunga kumpigia ulikua uajau ani nanai at athat time? Ulishawahi kumwona hata kidogo? Acha hizo kama unabeef lako na maisha yako hayaendi according to your wishes kaa chini umwombe Mungu wako akusaidie labda kuna siku na wewe utafanikiwa na utahitaji watanzania wakupush up kwa lolote lile.
ReplyDeleteKama kura zetu zitamsaidia shime shime wivu tueke pembeni..
ALL THE BEST YOUNG MAN HASHEEM...
ReplyDeleteNAFIKIRI WASIOM-HATE WATAMPIGIA KURA TU HATA KAMA MARA 100. THIS IS SOMETHING FOR THE ALL OF US, THIS YOUNG MAN IS PUTTING OUR/YOUR COUNTRY ON THE SPOT AND ITS AWESOME TO SEE WATCH HIM PLAY. TUNE ON THAT CBS CH AND WATCH THE TOURNAMENT. YOU WILL LIKE HIS GAME WHICH WILL HELP ON YOUR VOTES.