Mr Michuzi,
Tafadhali naomba kama kuna anaemjua kijana aneitwa Mcharo Michael Msuya ambae aliwahi kuishi Abidjan, Cote d'ivoire, amuarifu kumuandikia kwa email bibi Lydia Mwebesa -
Mama wa kijana huyu na mama wa Lydia walikuwa best friends kwa hivyo wanamtafuta.
Shukran

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ndugu yangu huyo Kina mcharo..... it is a small World.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...