Ndugu Michuzi,
Kwa kupitia mtandao huu wa jamii kwa mara nyingine tena ninapenda kuwajulisha watanzania wenzangu katika jiji hili la Dallas na vitongoji vyake kwamba, hatimaye Pastor Mkasa amekubali kuwa nasi siku ya jumapili.
Baada ya maombi kutoka kwa wanajumuia wa kanisa la Umoja,hatimaye mchungaji amelikubali ombi letu na atatuhudumia tena kwa neno la Mungu na maombi siku ya jumapili kuanzia saa kumi nambili jioni.
Tunaomba wale wote ambao watahitaji private prayer,wawasiliane na uongozi wa kanisa mapema ili wapangiwe muda maalumu.Kwa wengine wote tunaomba maombi yenu muandike na tutayaombea yakiwa katika box.
Tunaomba kila moja atakae soma tangazo hili amkaribishe mwingine.
Umoja Church
12727 Dallas Texas,
75230.
Simu:
214 554 7381.
682 552 6402
469 279 1762.
Uongozi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...