Marehemu Ahabokile Malele

Jumuia ya watanzania waishio Kansas City, Missouri. wanasikitika kutangaza kifo cha mtanzania mwenzao Ndugu Ahabokile Malele kilichotokea  Jumamosi 03/21/2009 kwenye hospitali ya Truman Medical Center.
Shughuli za mazishi bado zinaendelea. 
Marehemu ameacha mke Ms Angela Malele (816) 308-0086 Email: angela_malele@yahoo.com
 
Msiba utakuwa nyumbani kwa mfiwa kuanzia kesho jumapili 03/22/09 saa tisa (3pm) jioni na pia siku ya Jumatatu siku nzima.
 
Anwani:-
 
930 Paseo Blvd
#202
Kansas City, MO 64106
 
~~MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI - AMINA~~
 
Kamati
Mfinanga (816) 694-3425
Rutabana (816) 812-5495
Mambali (816) 606-1604
 
----------------------------

Katibu SERA
(816) 606 1604 & (816) 616 0275
e-mail:
 seraktb@hotmail.com 
or 
katibu.sera@yahoo.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. CHAMA CHA MAPINDUZI (LONDON-UK)KINASIKITIKA KUPOKEA TAARIFA ZA MSIBA WA NDUGU YETU AHABOKILE MALELE.
    AIDHA CCM(UK) INATOA SALAAM ZA RAMBIRAMBI KWA MJANE WA MAREHEMU BI ANGELA MALELE,FAMILIA,NDUGU,JAMAA NA WATANZANIA WOTE USA,HASA WAKATI HUU MGUMU KTK KUFANIKISHA MAPUMZISHO YA NDUGU YETU MALELE.
    MOLA AIPUMZISHE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA MBELE ZA HAKI.AMEN

    Maina Owino
    CHAMA CHA MAPINDUZI-UK

    ReplyDelete
  2. salamu za rambirambi kwa mke wa marehemu kutoka kwa watanzania tunaoishi MYSORE INDIA mungu ailaze roho ya marehemu mahalipema peponi

    ReplyDelete
  3. Mungu alilaze mahali pema roho ya mpiganaji Ahobokile Malele.
    Hakika fikra zake zitadumishwa milele. Kwa niaba ya wanafunzi waliosoma nae Sangu Sec /Mbeya Tanzania.

    ReplyDelete
  4. JAMANI NDUGU ZETU WA CCM-UK NA WATANZANIA MLIOKO MYSORE INDIA MKONO MTUPU HAURAMBWI, TUSAIDIENI CHOCHOTE KITU KITUFAE WENZENU KUKABILIANA NA MSIBA HUU. HABA NA HABA HUJAZA KIBABA NA USHIRIKIANO HUFANIKISHA MAMBO JAMANI.

    ReplyDelete
  5. Roho za marehemu wapate rehema kwa mungu wapumzike kwa amani, AMEN. Bwana ametoa...bwana ametwaa...Jina la bwana lihimidiwe. Rest in Peace brother A. Malele. Pole nyingi kwa mjane bi Angela, na wote walioguswa na msiba huu mzito. Poleni sana wana Kansas City, Missouri. Mungu awape nguvu haswa katika kipindi hiki kigumu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...