
Marehemu Ahabokile Malele
Jumuia ya watanzania waishio Kansas City, Missouri. wanasikitika kutangaza kifo cha mtanzania mwenzao Ndugu Ahabokile Malele kilichotokea Jumamosi 03/21/2009 kwenye hospitali ya Truman Medical Center.
Shughuli za mazishi bado zinaendelea.
Marehemu ameacha mke Ms Angela Malele (816) 308-0086 Email: angela_malele@yahoo.com
Msiba utakuwa nyumbani kwa mfiwa kuanzia kesho jumapili 03/22/09 saa tisa (3pm) jioni na pia siku ya Jumatatu siku nzima.
Anwani:-
930 Paseo Blvd
#202
Kansas City, MO 64106
~~MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI - AMINA~~
Kamati
Mfinanga (816) 694-3425
Rutabana (816) 812-5495
Mambali (816) 606-1604
----------------------------
Katibu SERA
(816) 606 1604 & (816) 616 0275
e-mail:
seraktb@hotmail.com
or
katibu.sera@yahoo.com


CHAMA CHA MAPINDUZI (LONDON-UK)KINASIKITIKA KUPOKEA TAARIFA ZA MSIBA WA NDUGU YETU AHABOKILE MALELE.
ReplyDeleteAIDHA CCM(UK) INATOA SALAAM ZA RAMBIRAMBI KWA MJANE WA MAREHEMU BI ANGELA MALELE,FAMILIA,NDUGU,JAMAA NA WATANZANIA WOTE USA,HASA WAKATI HUU MGUMU KTK KUFANIKISHA MAPUMZISHO YA NDUGU YETU MALELE.
MOLA AIPUMZISHE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA MBELE ZA HAKI.AMEN
Maina Owino
CHAMA CHA MAPINDUZI-UK
salamu za rambirambi kwa mke wa marehemu kutoka kwa watanzania tunaoishi MYSORE INDIA mungu ailaze roho ya marehemu mahalipema peponi
ReplyDeleteMungu alilaze mahali pema roho ya mpiganaji Ahobokile Malele.
ReplyDeleteHakika fikra zake zitadumishwa milele. Kwa niaba ya wanafunzi waliosoma nae Sangu Sec /Mbeya Tanzania.
JAMANI NDUGU ZETU WA CCM-UK NA WATANZANIA MLIOKO MYSORE INDIA MKONO MTUPU HAURAMBWI, TUSAIDIENI CHOCHOTE KITU KITUFAE WENZENU KUKABILIANA NA MSIBA HUU. HABA NA HABA HUJAZA KIBABA NA USHIRIKIANO HUFANIKISHA MAMBO JAMANI.
ReplyDeleteRoho za marehemu wapate rehema kwa mungu wapumzike kwa amani, AMEN. Bwana ametoa...bwana ametwaa...Jina la bwana lihimidiwe. Rest in Peace brother A. Malele. Pole nyingi kwa mjane bi Angela, na wote walioguswa na msiba huu mzito. Poleni sana wana Kansas City, Missouri. Mungu awape nguvu haswa katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDelete