US President Barack Obama named Vivek Kundra (pictured above), a 34-year-old, as the federal chief information officer at the White House to advance the administration's technology agenda. 

In a statement announcing Kundra's appointment, Obama said, "I have directed him to work to ensure that we are using the spirit of American innovation and the power of technology to improve performance and lower the cost of government operations." 

In his new job, Kundra will direct policy and planning for federal IT investments, according to the White House. The CIO will also be responsible for the disbursal of $80 billion that US federal government agencies spend annually on technology, as well as ensuring information security and privacy across government. 

Incidentally, the appointment of Kundra to the Federal post crowns a recent trend in the US, where CTOs in four states have been of Indian origin. Minnesota, Virginia, Alaska and the District of Columbia, all have had Indian Americans as CTOs. 

New Delhi-born Kundra formerly served in Washington DC Mayor Adrian Fenty's cabinet as the chief technology officer (CTO) for the capital city, responsible for technology operations and strategy for 86 agencies. 

Here, Kundra introduced several popular consumer tools to smoothen bureaucratic processes. He is credited of slashing the city's IT costs by shifting government mail and work applications to Google Apps and bringing in transparency by posting online the lists of jobs that government contractors have been hired to perform. His work earned him a place among the top 25 CTOs in the US and bagged him the title of IT Executive of the Year for 2008. 

The 34-year-old has also won recognition for his leadership in public safety communications, cyber security and IT portfolio management. His plans include allowing drivers to pay parking tickets and renew driver's licenses on Facebook. 

Kundra has also served as vice president of marketing for identity management specialist Evincible Software and as CEO of Creostar, where he advised clients in government and industry on IT governance and strategy. 

Kundra spent large part of his childhood in Tanzania and considers Swahili as his first language. He moved to the US with is parents 23 years ago. He did his Master's of Science in information technology from the University of Maryland. 
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 48 mpaka sasa

  1. Ukiingia ikulu ya white house sasa hivi unaweza ukaongea kiswahili!!! safi sana, Obama anaongea kiswahili nilimsikia kwenye documentary moja alipotembelea keanya wakati bado hajawa rais akiwasalimia watu wa kisutu kwa kiswahili

    ReplyDelete
  2. Ile discussion ya nani mswahili endelezeni hapa. Huyu jamaa ni mhindi, kazaliwa India, lakini he is a proud mswahili!
    Nyiye kina Kalabagaho mtasema eti ni gabacholi!
    Ni uchokozi tu!

    ReplyDelete
  3. ni kweli kaishi bongo namkumbuka sana kwao upanga akiwa bado dogo kabisa.anauhusiano na mzee wa cooper motors corporation, masikini wee sijui atanikumbuka!!!!

    ReplyDelete
  4. joni mashaka tunakusubiri wewe sasa

    ReplyDelete
  5. Akiula - Mswahili
    Akifisadi - Gabacholi!!!!!

    ReplyDelete
  6. Tunarudi kule kule kwa kung'ang'ania watu...kama alispent iinatuhusu nini sisi.Maisha ni yake kivyake wala hana msaada wowote kwtu-Tusiwe kama wakenya kumng'ang'ania obamaeli.Mdau-Kafanabo

    ReplyDelete
  7. Mbona watanzania sasa tunaanza kuwa kama akina nanhii? huyu kawaje mswahili? oh nimesahau anasema kiswahili, right? come on my fellow brothers and sisters.

    ReplyDelete
  8. Nilikuwa namfagilia sana Obama na hata wewe bwana michuzi lakini sio siri Obama anachemsha sio kawaida. Wamarekani sio wavumilivu job approval rating kutoka 61 percentage to 40 .Popularity ni kutoka 81 mpaka 56 percentage.Najua michuzi unamfagilia sana Obama naomba uweke post yangu.Mkitaka kuamini foxnews ile ya republicans ni cable no 2 hii nainclude cable zote.CNN no 22. na MSNBC na 28 .Wamarekani raisi sana kukata tamaa

    ReplyDelete
  9. WABONGO BWANA TUNAPENDA KUJI-ASSOCIATE NA VITU VIZURI.... DUH...SASA KAMA ALIISHI TANZANIA SO WHAT? THE GUY HAS WORKED HARD ON HIS OWN WAY...TZ IMEMSAIDIA NINI? ANGEKUWA HAPA ANGEKUWA ANAPIGWA VITA KWAMBA NI MUHINDI FISADI....LEO KWA VILE KAENDA KATIKA JAMII INAYOTHAMINI HARD WORK NA INTERGRITY..BASI TUNAONA..NI MWENZETU..

    MI NAONA HII INAONYESHA TULIVYO OPPORTUNISTIC NA WAPENDA VYA MTELEMKO.

    JUZI JUZI MISS TANZANIA ALIPEWA MUHINDI RICHA ADHIA... WATU KIDOGO WAANDAMANE KWAMBA SIYO MBONGO MWENZETU..LEO MTU AMBAYE SIYO TUU KWAMBA HAKUZALIWA TANZANIA LAKINI HANA AFFINITY YOYOTE NA TZ ZAIDI YA KWAMBA WAZAZI WAKE WALIISHI HAPA (KWA MDA MFUPI)..TUNASHANGILIA. WHEN SHALL WE BE SERIOUS WE BLACK SKINNED PEOPLE?

    KIFUPI, TUACHE UNAFIKI. KAMA TULIWEZA KUMSIMANGA RICHA AMBAYE NI MTOTO MDOGO TUU ALIYEZALIWA HAPA KWETU SIMPLY KWA AJILI YA RANGI YAKE..SIDHANI KWAMBA LEO "TUMEOKOKA" TUWEZE KUMSHANGILIA HUYU JAMAA ALIYE "WIN".

    SASA NAAMINI, NDO MAANA WAAFRIKA WENGI TULIFURAHI TULIPOONA OBAMA ANAINGIA WH, NA HATA WENGINE KUTAKA KUMU-OWN AS THEIRS...WAKATI KIUKWELI HUYU OBAMA ANGEKUJA KUKAA MIONGONI MWETU KAMWE ASINGEKUBALIKA KAMA MWENZETU..ANGEONEKANA KAMA WA KUJA TUU!

    MATATIZO YA WAAFRIKA NI MAKUBWA KULIKO TUNAVYODHANIA.

    ReplyDelete
  10. ....Unadhalilisha neno 'Mswahili'..!!! teh teh.

    ReplyDelete
  11. NAPENDA KUKUJIBU WEWE ANONY WA 12:28PM

    USIDHANI MICHUZI AKIANDIKA HAPA MSWAHILI INAIMANISHA NI WA TANZANIA WOTE HUO NI UTANI TU NA OBAMA SI MKENYA ILA NI UTANI TU KTK NCHI ZILIZOENDELEA MTOTO NI WA MAMA HIVYO OBAMA NI MU IRISH SIO MKENYA. NA HUYO JAMAA HAPO JUU NI GABACHORI KI UKWELI KWANI WEWE KIPOFU HUONI?? AU KWAVILE WAHINDI WAMETULETEA VIBAJAJ VINAUA NDUGU ZETU NDIYO TUFURAHI??

    JE NA WEWE GABACHORI

    ReplyDelete
  12. Mdau wa March 30, 2009 12:28 PM
    Unaonekana una upeo mkubwa wa fikra nafikiri umekwenda shule na kuelewa, manake kuna watu walienda shule wameshidwa kuelewa.
    Comment yako n kweli 100%
    keep it up

    ReplyDelete
  13. MSAHILI NI NINI??
    NA WABONGO NI NINI??
    MIMI NI MU AFRIKA NA SI MSWAHILI JAPO NAONGEA KISWAHILI
    WATOTO WANGU WANAONGEA KIINGEREZA JE NI WAINGEREZA??

    MICHUZI UTANI WAKO BWANA LEO UTASABABISHA WA HINDI WATUCHAMBE YA BULE HATUWA MIND KI HIVYO NA SISI TUNAWASOMI WETU AMBAO TUNASTAHILI KUJIVUNIA AS WELL

    ReplyDelete
  14. sasa wewe kaka michuzi? unaanza uchokozi tena ! ngoja wenyewe wasiotaka uswahili wao kugawana na mtu yoyote !wakirudi kazini kubeba mabox utawasikia vinywa vyao!
    mie simo akaaaaa!!!!sipo !baraza hilo

    ReplyDelete
  15. "Anonymous 12:28" I support your views 100% and you are so right! Sisi Watanzania tuna matatizo sana, tunasumbuliwa na "double standards" na ni wanafiki wa hali ya juu. Tunapaswa tubadilike tuache hiyo attitude, it's so lame! People, we need to work hard, study hard, and moreover, improve our productivity standards rather than engorge our lame attitudes with hypocrisy and opportunism! Atakayenitukana na anitukane - someone had to say something!! Besides, I'm not deterred by abuses and profanity - as longer as I know that I am speaking the truth here.

    ReplyDelete
  16. we acha tu Michuzi haya yote umeyatafuta wewe! si unaona sasa! waswahili wenyewe wanamkana Mswahili mwenzao?

    ReplyDelete
  17. Maneno mengi, vitendo vichache, hii ndio hulka yetu. Ikifikia kumuelezea mtu, tutamchambua nje ndani, na hata mbali na yeye!
    Hii inanikumbusha pia wakati tukiwa watoto wadogo, tukiona gari zuri linapita, tunaanza kulimiliki,kuwa lile gari langu,na hata kupigana kwakugombea gari linalopita. Huu ulikuwa utoto.
    Sasa jamani, ile hali ya utoto inaturejea tena! Hapana, lazima kuna sababu, nayo ni hii ya `kupenda kuongea sana bila vitendo'
    M3

    ReplyDelete
  18. ukitaka kujua waswahili ni akina nani ..soma post hizo juu!

    This is old story...


    tayari mhindi kachaguliwa long time..na sio MTZ!

    waswahili kwa kung'ang'ania mtu aki--win!

    ohoo yule namjua/mwenzetu...
    So what...kama unamjua/mwenzetu!

    ReplyDelete
  19. Namuunga Mkono 100% mdau wa March 30, 2009 12:28 PM. Umesema Ukweli kabisa, Mi nina Sera Moja Kubwa na naishikilia kila siku, Maendeleo ya jirani Yako Yanakusaidia Nini? Akila mchele au kauzu wewe inakuhusu nini au unashiba wewe,Akitembelea gari zuri wewe linakuhusu nini, Jitazame mwenyewe na uone umefika wapi kimaendeleo, ndio Wale wale watu wanaosema "Bongo Tambarare kwa mahammer ya wachache na VX za wasiowajua" Kama wao wanatembea kwenye kiyoyozi nyie inawahusu nini? Jiangalie wewe unasimama wapi kwenye maendeleo... Kama serekali haifanyi kitu au utendaji kazi wa taasisi flani haukuridhishi, je wewe na taasisi yako mmesimama wapi na mna tofauti gani na wao... Watu wakibadilika wakaweka soler power wenyewe Wao ndio watakuwa na umeme na sio serekali ya mafisadi, Watoto wenu wakisoma shule na kuwa na elimu ni ya kwenu na watoto wenu, sio kusifia mtoto wa fulani ana kadha wa kadha... Sasa maendeleoya huyu Muhindi aliyeishi TZ kwa muda yashakuwa ya kupigiwa soga Humu, vipi watoto wa MABALOZI WA NJI NYINGINE, wakirudi makwao wakashika nyadhifa mbali mbali mtasema ni waswahili??

    Watu BWANA!!!

    Mdau UK.

    ReplyDelete
  20. Anonymous wa 12:28 nakuunga mkono kwa asilimia zote kabisa,kwani umeongea point ya hali ya juu.

    ReplyDelete
  21. Anonymous wa 12:28 ningekuwa nakujua basi ningekupa zawadi.

    ReplyDelete
  22. mimi nipo huku kwa wabeba maboksi muda mrefu sana. ni mara chache sana utakutana na Mhindi anayejitambulisha kama Mtanzania. Sasa elewenihivi ndugu zangu kwamba hawa jamaa wanazaliwa bongo na kukulia bongo sema wakiondoka hapo hawajitambulishi tena kama raia watz, watasema wamezaliwa India na wameishi tz. Wewe jiulize, Inakuwaje unapokwenda kuomba Viza za kuja Marekani au Ulaya Wahindi wenye passport za TZ ni wengi tu na ndio wanaongoza kupata Viza lakini ukija huku wala hugongani nao. hii imekaaje?

    ReplyDelete
  23. HUYU KUNDRA MSIPATE SHAUKU SANA ANAWEZA AKATEMWA SABABU ANA SCANDAL ZA WIZI TAYARI. WADAU BOFYENI HAPO CHINI MJIONEE WENYEWE

    http://www.businessinsider.com/fbi-raids-vivek-kundras-old-offices-arrest-2-2009-3

    ReplyDelete
  24. Haya yamekuwa Maradhi kwa WATANZANIA poleni kifuwa kimepata mkohozi endeleeni

    ReplyDelete
  25. Huyu Mswahili mwenzetu atumiwe kiushikaji(kama mtandao wa serikali ya Bongo) kama lobbyist wa serikali yetu hapo White House na kwingineko atapokuwa akila mzigo ktk serikali ya Obama.

    Mataifa kama Israeli n.k huwatumia 'lobbyist' wao kuganga (ku-influence) wakitakacho Israel toka utawala wa Marekani.

    Tutizame jambo hili kwa manufaa ya Waswahili wote wa Bongo.

    Si unaona lugha hii ya kishkaji hata wale watani wa jadi watatoka kapa, wakishituka tuko mbele-kwa-mbele kunufaisha Bongo,maana hii ni meseji ya Ki- Bongo.

    Mdau
    Kwa Msisi Tanga.

    ReplyDelete
  26. WEWE ANONY WA 2:26PM
    WEWE KAMA NI MNAFIKI KI VYAKO USIWAJUMLISHE WATANZANIA WOTE AU UMEDATA?? USITULETEE UCHIZI WAKO HAPA

    NATAKA NIKUULIZE KUNA NCHI GANI HAPA AFRIKA INAPENDA WAGENI KAMA TANZANIA??? AU ULITAKA WATANZANIA WAFANYENINI??

    KAMA HUWAPENDI WA TZ KI VYAKO ILA NI TAIFA LA KWANZA AFRIKA LINAPENDA WAGENI KAMA HUJATEMBEA BASI NAKUSHAURI TEMBEA UONE ACHA KUBWABWAJA

    ReplyDelete
  27. sisi wabongo bwana kwa kufagilia watu ambao ni wezi. kwa taarifa yenu huyu mdosi sasa hivi FBI wanam-investigate for doin some dubious deals. soma chini:

    http://www.businessinsider.com/obama-puts-new-cio-vivek-kundra-on-suspension-2009-3

    ReplyDelete
  28. habari zaidi za huyu mdosi

    Kundra Takes Leave Over CTO Office Procurement Investigation
    Nancy Scola | March 13, 2009 - 8:57am | ShareThis| Email This!
    The fallout from yesterday's FBI raid on the Office of the Chief Technology Officer had put the brakes on Barack Obama's appointment of Vivek Kundra as U.S. Chief Information Officer, according to several news reports. Kundra has gone on leave while the federal investigation into bribery in OCTO (called "ock-toe") continues. There's been no sign that Kundra has been implicated. But the investigation -- which involved some pretty elaborate alleged schemes having to do with overbilling and "ghost" employees -- is arguably more damaging for Kundra than it would be for another appointee. How's that? By the White House's own announcement, his White House nod at the tender age of 34 was due to his "pioneering work to drive transparency, engage citizens and lower the cost of government operations." White House spokesperson Robert Gibbs called it "a serious matter."

    Politico's Ben Smith notes that the main target of the investigation inside OCTO, security official Yusuf Acar, is said in the FBI's affadavit to have been monitoring the emails that flowed in and out of the office in a bid to protect his doings. (Photo credit: ckramer)

    ReplyDelete
  29. na nyie hopo juu mnao jifanya %100
    nyinyi ni wanafiki wakubwa na hata ktk ku coment bado wanafiki tu kweli nyie balaa pigeni basi na mswaki sio kutuletea vinywa vilivyo oza hapa

    ReplyDelete
  30. Baada ya kusoma kashfa za wizi na takrima zinazohusishwa na ofisi yake ya zamani nimeamini kwamba huyo mdosi kweli ni mswahili.

    ReplyDelete
  31. Prof. Ken (Mkhululi)[marehemu] aliamuwa kuhamia na kuitumikia tanzania. Akanyimwa uraia, leo mhindi kaikimbia bongo kawini anapewa uraia wa tanzania informally.

    Angekuwa hapa angeitwa fisadi bila kufisidi, angebaguliwa pia, na nagepata nafasi kubwa serikalini kama angefadhili timu hata moja kwa muda.

    Hata wataalamu wazawa wa bongo hawatumiwi, wakikimbilia majuu, kelele nyingi mno.

    ReplyDelete
  32. Aliyesema nyie mnao jifanya 100% ni wanafaki sio uongo, Sababu ukichunguza wanaompigia kwamba jamaa wa Anonymous wa 12:28 Comment zao wanajifunga anarudia mara mbili mbili mpishano wa dk 2 au 3 Anon utaona 3:26 alivyomaliza akaamuwa kuingia tena comment nyengine 30 march 2009 muda 3:38 speed yake ya F1 akaandika kipande kifupi kengine 3:39 shaurizako ndio nyie mnafungwa. Green Passport yetu inachukuliwa sana na wahindi tena hawajazaliwa kutimia kwamuda mfupi uraia alafu wanaendea Canada na USA bila kurudi

    ReplyDelete
  33. Hivi mtuma post hii kasema mswahili sio Mtanzania kaingia Ikulu, Waswahili ni Watu wanaongea kiswahili kama upo kwenye kundi hilo basi wewe ni mswahili kama vile wakenya, waganda , watanzania hata baadhi ya wazaire n.k. wanaweza kujiita waswahili, hivi ndio mwalimu Nyerere alitaka Afrika iwe na lugha moja ya kiswahili ili sote tuwe waswahili, watanzania wezangu jivunieni kama kuna watu wanakipenda kiswahili ili kiswahili kikuwe

    ni mdau queens ny

    ReplyDelete
  34. KIVYAKE MHINDI TU HUYO HANA LOLOTE NA KUITOA BONGO

    ReplyDelete
  35. Kiswahili hakizungumzwi TZ peke yake na Mswahili si MTZ only.Kwa hiyo msijipigize ukutani bure.Lugha si identity ya mtu.

    ReplyDelete
  36. E BWANA JAMAA YUKO JUU KWA KUFAGILIA KISWAHILI.

    KISWAHILI NI LUGHA YETU TUIENZI.

    KUMBUKENI JAPOKUWA KISWAHILI HAKIZUNGUMZWI TANZANIA PEKE YAKE, WATANZANIA TUNA FURSA KUBWA SANA YA KUKITAWALA.

    TUSIPOTEZE FURSA HIYO.


    Kuna jamaa aliwahi kuandika hapa kuhusu tatizo la watu kukandia lugha ya Kiswahili.

    Hebu tujikumbushe...

    http://issamichuzi.blogspot.com/2009/01/mswahili-na-uswahili.html

    ReplyDelete
  37. Angemchagua mswahili wa kweli ndo ningekua proud of.Wapo tele akina Kingwendu,King Majuto,......you name!!
    Sasa huyo mswahili wa kuungaunga huyo hata flavour za uswahili labda keshasahau.

    Mkulima-Gezaulole.

    ReplyDelete
  38. sasa sijui ni uswahili au ni ugabacholi, lakini jamaa alishikwa kwa kuiba mashari JC penney. check hapo: http://en.wikipedia.org/wiki/Vivek_Kundra

    ReplyDelete
  39. chonde chonde isiwe kele mpaka muanzishe siku ya mapumziko eti kusherehekea 'mswahili' kupata kazi ikulu amerikani.

    ReplyDelete
  40. BENIN KUNA CHUO KIKUU KIMEPEWA JINA LA OBAMA.

    INDONESIA KUNA SHULE ALISOMA OBAMA KWA MIAKA MIWILI LAKINI SHULE NA NCHI NZIMA ILIFARIJIKA NA MAFANIKIO YA OBAMA.
    FAIDA YA MHINDI KUSEMA ALIKAA TANZANIA KUNA ITANGAZA NCHI YETU.

    UJANJA WA WENZETU WAHINDI MTU ANAKUWA NA PASIPOTI ZAIDI YA MOJA AKIFANIWA TUNACHONGA SANA KAMA SHAYO WA UK.YEYE SIO MBUNIFU ILA KULALAMIKA TU SERIKALI INGEFANYA IMESHINDWA.BILA KUTOA SOLUTION.

    MHINDI HATA KAMA ALIKAA MWEZI.JK AKIENDA HANA TABU KWANI NCHI YETU ANAIJUA VYEMA.

    TUMSUBIRI MWANAKIJIJI NAE ACHUKUE SHAVU KWA OBAMA KAMA MWANDISHI WA WHITE HOUSE.

    ReplyDelete
  41. Nimeikuta hii sehemu......

    Vivek Kundra was born in New Delhi, India. His parents immigrated to Tanzania with him. Kundra speaks Swahili as his first language. His family moved to the United States when he was 11 and he grew up in Gaithersburg, Maryland. [4] [5]

    In 1997, at age 22, Kundra pleaded guilty to a petty theft charge for stealing dress shirts from a JC Penney store in Maryland. He was fined $500, but the sentence was suspended, and he only had to pay $100 plus court costs; he also was sentenced to 80 hours of community service.

    Daily News, New York.

    ReplyDelete
  42. Huyu dogo nimeamini kwamba ni Mswahili, cheki kwenye Wikipedia utakuwa aliiba mashati alipokuwa na miaka 22, halafu sasa hivi ana noma ya kulipa wafanyakazi hewa kama ilivyokuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wakati fulani na mishahara ya walimu. Huyu ni mwenzetu jamani, tusimkwepe.

    ReplyDelete
  43. Vivek Kundra (Hindi: विवेक कुंद्रा) is the current Federal Chief Information Officer (CIO) of the United States of America.[1][2] He has indicated that he will also have the role of the Office of Management and Budget administrator for e-government and information technology.[3] He served in Washington, D.C. Mayor Adrian Fenty's cabinet as the Chief Technology Officer for the District and, before that, as Virginia's Assistant Secretary of Commerce and Technology in Governor Tim Kaine's cabinet.

    Contents [hide]
    1 Early Life
    2 Career
    3 Education
    4 See Also
    5 References
    6 External Links



    [edit] Early Life
    Vivek Kundra was born in New Delhi, India. His parents immigrated to Tanzania with him. Kundra speaks Swahili as his first language. His family moved to the United States when he was 11 and he grew up in Gaithersburg, Maryland. [4] [5]

    In 1997, at age 22, Kundra pleaded guilty to a petty theft charge for stealing dress shirts from a JC Penney store in Maryland. He was fined $500, but the sentence was suspended, and he only had to pay $100 plus court costs; he also was sentenced to 80 hours of community service.[6]


    [edit] Career
    He has been recognized by InfoWorld among the top 25 CTO's in the country[7] and as the 2008 IT Executive of the Year[8] for his pioneering work to drive transparency, engage citizens and lower the cost of government operations. In 2007 he assembled the largest United States trade delegation ever to visit India, comprising over one hundred business leaders, which resulted in a $99 million investment for the state of Virginia.

    He has been recognized for his work in developing programs to spur open source and crowdsourced applications using publicly accessible Web services from the District of Columbia with an initiative called Apps for Democracy. His efforts to use cloud-based Web applications in the District government have been considered innovative within government.[9]

    Mr. Kundra advised President Barack Obama's transition committee on technology issues.

    He was reportedly considered as one of the possible candidates for the position of Federal Chief Technology Officer[10] as well as other positions.[11] However he was officially named by President Obama on March 5, 2009 to the newly-created post of Federal CIO.[2] (The Chief Technology Officer and the Chief Information Officer have different roles.)

    On March 12, 2009, Kundra's former DC CTO offices[12] were raided by the FBI as part of an "ongoing investigation." [13] The office is being scrutinized for evidence into corruption charges against a subordinate [14] involving the procurement process of software. Mr. Kundra was not a part of the investigation.[15] Kundra took a leave of absence pending results of the investigation[16] and returned to his position on March 17, 2009.[17]


    [edit] Education
    Kundra earned a degree in psychology and a masters degree in information technology from the University of Maryland. He is a graduate of the University of Virginia's Sorensen Institute for Political Leadership.

    ReplyDelete
  44. PILIPILI USOLA YAKWASHANI?
    HUYO GABACHOLI TU AONGEE KISWAHILI AU ASIONGEE MI SIJALI SIO MWENZETU.
    BABA YAKE NA BABU YAKE WALIKUJA TANZANIA KUTAFUTA RIZIKI TU NA SIO KUJENGA NCHI TZ.
    FUNGUWENI MACHO MAGABACHOLI TULIONAO TANZANIA SI WENZETU MAPENZIYAO YAKO INDIA WAKO TZ KUCHUMA, WAKISHAPATA WALICHOKIPATA WANAHAMIA UK AMERIKA CANADA NA TUKIKUTANANAO HUKU OLEWAKO UMUITE MSWAHILI AU MTAZANIA ANAWEZA KUKUPIGA NGUMI TA USO.
    MAPENZI YAO YAKO INDIA SIWALAUMU KWA KWA HILO.
    SISI TULIOKO MAJUU LEO TUKIJIITA WAINGEREZA AU WAMAREKANI MTASEMAJE???

    MIMI NINAWATOTO WATATU NIMEWAZAA HAPA MAREKANI NAJITAHIDI KUWAFUNDISHA KISWAHILI LAKINI HAKIPANDI ILA WANAJUWA WAO SI WAMAREKANI NA WANAIZIMIA WANAIPENDA SANA TZ NA WANAJUWA TZ DO KWAO.NA SIKUMOJA TUTAFUNGA MANYANGA KURUDI TZ.
    US NI WAGENI TU.

    TANZANIA TUNAPENDA SANA KUWAKUMBATIA WAGENI KWA SABABU YA UJINGA NENDENI NCHI ZA WATU UONE KAMA WATAKUKUMBANIA SANASANA WANAONA UNAZIDISHA IDADI YA WATU TUKO TU HUKU KWAS SABABU YA MAISHA UZALENDO WANGU UKO TZ NA HUYO MUHINDI UZALENDO WAKE NI HUKOHUKO INDIA HATA KAMA HAJAWAI KUFIKA HABARI NO HIYO.


    NASHANGAA SANA HABARI YA KUTUITA SISI WA NJE WABEBA BOX JE NYINYI MNAFANYA NINI? BABA ZENU NA MABABUZENU WALIFANYA NINI.

    KALAGABAHOOO ENDELEENI TU KUTUITA WABEBABOX.

    ReplyDelete
  45. watanzania tujifunze kuwa chanya tuache u-hasi.

    ReplyDelete
  46. m naomba nipatiwe maana halisi ya mswahili, hawa wenzetu wenye asili ya kihindi ni waswahili au laa, na kwa nini wamarekani weusi wanakubalika km wamarekani? n sio wao tu, kuna watu wenye aslili ya uafrika lkn wanaishi nje ya bara la afrika kwa miaka sasa, je hao ni waafrika au wana asili ya uafrika?

    ReplyDelete
  47. HUYU JAMAA ANAWAFUNDISHA WALE WATUMWA WA FIKRA KUJIVUNIA USWAHILI WAO.
    MAANA WALE WASIOJUA KUNAWA WANAJIVUNIA UTUMWA WAO WA KIMAWAZO.
    SIO HUYU ALIYEJIVUNIA KISWAHILI NA USWAHILI HATA PRINCE WA U.K ALISHASOMA KISWAHILI NA KUJIFUNZA USWAHILI UNIVERSITE U.K
    NA WEWE MWANAKIJIJI MWANDISHI WA NGONJERA NANI AKUCHAGUE UWE MWANDISHI WA RAISI LABDA WEHU WENZIO.
    KISWAHILI NA USWAHILI HOE MAANA UNAWAFUNDISHA WATU USTAARABU NA NDIO MAANA MSWAHILI ANAWEZA KUISHI NA MTU YEYOTE YULE LKN WALE WENZANGU NA MIMI MHHHHHHH

    ReplyDelete
  48. Hapa Uingereza huwasikia Waswahili kibao wa asili mbalimbali kama 'Wamatumbi','WaZenji' 'Wahindi', 'Waarabu', 'Wasomali','Wakenya', 'Wakongomani', 'Waganda','Washihiri/Wamanga(Yemeni/Omani) n.k

    Na unaambiwa Kiswahili ni lugha kubwa hapa Uingereza, hivyo unapokuwa ktk usafiri wa umma(pamoja) ndani ya treni, basi au unakatiza mitaa inabidi uchunge unachoongea ama sivyo utaadhirika.

    Hivyo 'Mswahili' inaweza kuwa na maana kubwa, kwamba ni wale wote wanaotoka sehemu inayoongea Kiswahili, sio ajabu kusikia watu wenye asili ya Kimanga/Baniani/ Kishihiri wakiongea kiswahili baina yao hapa jijini London, nimekutana nao sana, na pamoja mie ni 'Mmatumbi' huwa tuna changamkiana kwa vile wote ni 'Waswahili' na tunaona raha kuongea lugha yetu tamu ya Kiswahili.


    Mdau
    Wesminster London.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...