kuna wadau wametaka kuona neshno jipya linavyojaa siku simba ikicheza na yanga.l nawasilisha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Na kuna wadau tunataka utuwekee habari za vodacom premier league , msimamo ukoje?

    ReplyDelete
  2. Onyesha mpira katika picha hii!!!

    ReplyDelete
  3. Michuzi tunaomba kujuwa sababu habari za mchezaji huyu naona zinatokea Dar411 tu mara Ngassa anaweza kwenda monaco sasa mpya nyengine imekuja WEST HAM ya Uwengereza Mjini London. Dar411.com wanasema kwamba Ngassa wa Yanga kaalikwa na WESTHAM UNITED kwa muda wa WIKI 2 majaribio wakiona anafaa Mwezi wa 7 wanaweza kumchukuwa je ni kweli? tunaomba ufatilie utuwekee hapa. Kama kweli tunamuombea kila la Kheri japo mie nimshabiki wa Simba na Pan African.

    ReplyDelete
  4. Watu wameomba uwawakee nyomi la watazamaji, wewe unaonyesha hatari langoni mwa Simba!!

    ReplyDelete
  5. hii picha uliyoweka unatutania nadhani ni matani na masihara yako bwana Michuzi.Yeah huu unaonekani ni Uwanja wa Taifa lakini hiyo kadamnasi kwangu ni kama kitendawili.Photoshop inanukia hapa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...