ini edo, mmoja wa waigizaji maarufu wa filamu za ki-nigeria akiwa na mai hazbendi wake mara baada ya kumeremeta huko houston marekani. wadau kibao wameomba kuona harusi hii na globu ya jamii bila hiyana nawapeleka kwenye ukurasa wenye mapicha kibao ya siku hiyo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Wamependeza sana... keki ya harusi ilikuwa nzuri sana

    ReplyDelete
  2. mshikaji kafaidi kweli manake hilo jicho na mdomo wa huyo INI EDO si mchezo. Mtoto anahusika sana sipati picha wakiwa kny maluv davi.
    Ngoja tule kwa macho sie...........

    mdau,
    mla kwa macho.

    ReplyDelete
  3. mshikaji kafaidi kweli manake hilo jicho na mdomo wa huyo INI EDO si mchezo. Mtoto anahusika sana sipati picha wakiwa kny maluv davi.
    Ngoja tule kwa macho sie...........

    mdau,
    mla kwa macho.

    ReplyDelete
  4. very gorgeous couple bt ini has put on some weight still beautiful though i loved the cake to

    ReplyDelete
  5. MAKE UP ZA MACHONI SIYO? WANGEMPAKA VERY LIGHT. SISI HUKU HUWA TUNASEMWA SANA NA WABEBA MABOX VIP SASA. ANY WAYSHE LOOKS CUTE

    ReplyDelete
  6. Alieuza cheni bandia kapewa noti bandia.. kazi kweli kweli...

    ReplyDelete
  7. Huwa nampenda sana huyu dada. Kanenepa kiasi ila bado ni mrembo.
    Cake ni nzuri mnoooooooo!

    ReplyDelete
  8. kapendeza lakini kanenepa.

    ReplyDelete
  9. TANZANIA MJIFUNZE HIZO NDIO CLASS CAKE SIO MICAKE MIREFU HAINA MBELE WALA NYUMA WENYEWE NDIO MANJUA FASHION.

    ReplyDelete
  10. anon wa March 17, 2009 5:15 PM...
    HI HATER...(now u see me)
    ...
    ...
    ...
    ...
    ...
    ...
    ...
    BYE HATER!
    (now u don't)

    mtoto

    ReplyDelete
  11. Ini Edo is from Calabar Nigeria( south east of the country). kunenepa ni jadi ya akina dada kutoka Calabar kabla ya kuolewa. traditionally wanawake wanaotoka Calabar wamenona, hivyo mwanamke akishachumbiwa kama bado hajawa na mwili, atawekwa ndani atalishwa mpaka ahakikishe amenenepa ili kum-attract bwana. kama hajanenepa hatakuwa qualified kuolewa. bofya the link below for more info on Calabar brides.


    http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/6904640.stm

    ReplyDelete
  12. Wanaigeria mie wananiacha tu hoi!They are so over the top and eccentric-its too much.

    ReplyDelete
  13. Katika waigizaji wa kike wa kinaijeria huyu nampenda sana, akiwa anaigiza na kutumia jina la ULIMMA huwa anamaanisha kabisa, na pa kutoa machozi hata wewe utalia, na kama anaigiza housegirl au mschana wa kijijini humaanisha haswa, na kama anaigiza sehemu ya sister do humaanisha pia ukichanganya na uzuri na jinsi anavyoweka makeup zake utapenda hasa lipstick na jinsi lips zake zilivyo na macho ya kichokozi, ukweli anavutia mno

    MMependeza sana,Kila la kheri kwenye ndoa yenu, ila mkumbuke kuwa ndoa si maigizo, mzae watoto wa kike na wa kiume muwalee katika maadili mema.

    ReplyDelete
  14. Mungu ibariki hii ndoa idumu manake isije kuwa Bibi kafuata Green Card na bwana Kafuata umaarufu wa Ini.

    ReplyDelete
  15. Mtoto jicho jicho!! lips lips!!! soft!!!! hakika harusi ilikuwa poa, mume mzuri anaonekana pia ana roho nzuri sio huyu wa kwangu roho mbaya kaa makaanga sumu.

    ReplyDelete
  16. Pole annon.mar 18,1:05 unakumbuka wahenga walituusia kuwa kizuri chako kibaya cha mwenzako? Pia kumbuka hulka ya mtu ni silka ya mtu, hiyo ni H/W yakya leo usiniulize ninamaana gani wajuzi wameelewa.

    ReplyDelete
  17. anon wa March 18, 2009 1:05 PM...

    kumbe tuko wengi. mie mume wangu ana roho ngumu kama jiwe. uzuri akina kaka wa ki-west hata aki-cheat wanawaheshimu kweli wake zao. ndo maana nimeamua kuvuta side kick ya ki-west maana I need a break!

    ReplyDelete
  18. Lovely cake......wedding so cute......... groom bomba, bride ndo usiombe. Mbarikiwe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...