Home
Unlabelled
sasa hii ni rasmi: kigamboni kupigwa sopusopu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Vyoyote itakavyokuwa lakini Serikali imetuvurugia sana mipango yetu wakazi na wawekezaji wa Kigamboni, leo hii kiwanja ambacho miaka miwili iliyopita mtu ungeweza kukiuza fasta kwa sh. 10m ukikinadi hata kwa laki tano mtu hakitaki!! yote ni kwa sababu Serikali inaendesha zoezi zima kwa siri bila kujali maslahi ya wananchi. Kama huo mpango ni mzuri kina Chiligati si mpeleke kwenye majimbo yenu ili mwaka 2010 wananchi wawachagueni!
ReplyDeleteKuna taarifa kwamba marekani chini ya rais george bush iliingia mkataba na serikali ya tanzania chini ya raisi kikwete ili marekani ijenge kituo cha kijeshi cha marekani hapo Kigamboni. Wadau mlishasikia tetesi hizo? Au ndo Chiligati kauanza rasimi mchakato huo? Kama tetesi hizo ni zakweli, je ni sahihi kwa tanzania kuwa kituo cha jeshi la marekani? Naomba mnmisaidie katika hili wadau.
ReplyDeleteHizi jitihada si zilitakiwa ziwe zinafanyika Dodoma? Mnataka kummegea nani Kigamboni tena? Nyie endeleeni tu, 2010 ipo jirani mtatutambua na kura zetu.
ReplyDeleteWatanzania kwa Mipango? Watakaa semina, Watapita huko na huko kunadi hiyo mipango mpaka bajeti yake inaisha! Mipangao ya daraja la Kigamboni, Mipango ya mabasi yaendayo lkasi, Mipango ya kuhamishia soko kuu, Stendi nk Mbezi...Miaka nenda Rudi, Mbona Mipango?!!
ReplyDeletehamna kituo cha jeshi la marekani wala nini!!hapo zitapigwa hoteli za kitalii kwa fujo tena zenye hadi ya kimataifa na barabara zitakuwa mkeka mtupu kigamboni yote,hizi nyeti ninawapa za ukweli kabisa sababu wawekeza wako tayari kuanza ujenzi,bongo new york shauri zenu!!!
ReplyDeleteMie nilisikia Bush anataka kushusha marekani ndogo hapo, ndio maana alipotembelea TZ aliinsist that he will come back for visiting sometimes when he will be no longer a president
ReplyDeleteMcheck Capt.Chili amekaa mbali na wananchi akiogopa kuzabwa kibao...
ReplyDeleteJamani hivi Mradi huu utafika kule KIBUGUMO KWA MADADI?
ReplyDeleteMwenzenu nina kaplot kangu kule, hapa nilipo roho juu juu.
Naommba mwenye taarifa za uhakika anifahamishe tafadhali nisije nikakosa vyote maana mimi niko huku ughaibuni.
Naomba msaada wa taarifa hiyo kwa mwenye kufahamu tafadhali sana. Utafika KIBUGUMO KWA MADADI?
Mama T,Sipajui Kibugumo lkn naweza kukupa mwanga!!! Ni eneo lote lililopo kati ya Kigamboni na Kimbiji KM 30 hivi kwa marefu!Halafu kwa mapana kuanzia kisiwa cha Sinda hadi mto mpiji kama KM 30 nyingine... ule upitao Mbagala... ila cha kufurahisha hawatagusa maeneo ya Mradi wa viwanja Elfu 20!!! kama Kibada,Kisota na Tuangoma!!! kwa walioendeleza watalipwa fidia lakini wasioendeleza ndo ivo tena kama kulikuwa na Miti ya minazi,embe nk. utalipwa fidia pamoja na kupewa eneo jingine... nadhani nimefafanua japo ki-shalow shalow Mama T.
ReplyDeleteWashauza nchi hao, wazawa wanafukuzwa makwao kama kuku.
ReplyDeleteaibu serikali yetu haijali wananchi wake, wanachojali ni matumbo yao wachache. Mambo kama hayo huwezi kusikia hata siku moja katika nchi za ulaya kwamba serikali inawahamisha wananchi wake kwa nguvu kwa ajili ya kuwauzia wageni ardhi. Choooooooooooooooooooooooooooooo
Hawa jamaa ni wapuuzi, maendeleo yanatakiwa yapelekwe kusikoendelea, tanzania kubwa maeneo mengi tu wakawekeze huko.ndugu zetu wa namanyere, makongorosi na hata kule nachunyu na sudi kuna beach nzuri sana wakawekeze huko kwa kuwa hawatapoteza pesa nyingi za kufidia, kama ipo hiyo fidia. wasilete usanii kigamboni wazee wetu walifukuzwa mjini na nyerere eti biashara ya njugu haiwafai, sasa leo mnataka kuwatoa lazima kiwake!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKiukweli kabsa sisi hatuna serikali inayojali wananchi bali inajali wala nchi, hebu fikiria wangapi wapo huko kigamboni tangu enzi na enzi, leo hii panaonekana HOT CAKE ndo mnataka kuwatoa wazawa, hao wawekezaji kwanini wasiende nje ya mji wakawekeze? kuna maana gani iwe kila siku mnawahamisha watu maeneno waliyokuwa miaka mingi na kuwapa wageni? ANGALIENI SANA, MAANA MI NINAVYOJUA WATU WATAVUMILIA SANA NA MWISHO WAKICHOKA KITAWAKA TU, kama ni mipangomiji kwanini msipime na mkawauzia tena hao wamiliki wa mwanzo kwa gharama za upimaji? VIONGOZI WA AFRIKA NDIO WANAOSABABISHA VITA, NDO MAANA NAMKUBALI SANA JONGWE Sir Robert Mugabe.
ReplyDeleteNia yao kutuharibia maisha, maana mtu umeshastaafu au iwe kipato chako ni kidogo umeshajipanga ulipokaa hupandi gari mpk feri unavuka uko mjini leo wanakuharibia mipango yako yote ya miaka zaidi ya 30 na pia bajeti yako.Haya leo wanadai wanatuletea huo mradi watoe picha na ramani watakavyo,halafu waache hao wawekezaji wenyewe waje tupatane nao sio tulipwe na serikali ni wizi mtupu atalipwa mtu mwenye shamba au kiwanja kitupu milioni 50 au 100 lakini mwenye nyumba akalipwa milioni 10 wametuharibia kila kitu viwanja havina bei, majumba hayana tena thamani ni balaa kweli
ReplyDeleteMohammed
Nakushukuru sana Anony wa March 19, 2009 10:46 PM.
ReplyDeleteJe walishapiga zile picha zao za angani za improvements zilizopo hapo ambazo ndio watazolipa? Au hata nikianza kupaendeleza/kujenga leo nitakuja kulipwa fidia siku ya siku?
Nilipokuwa mdogo nadhani katika miaka ya mwisho ya 70 na mwanzoni ya 80!! Kulikuwa na wimbo uliokuwa unapigwa katika RTD enzi hizo...
ReplyDeleteuliokuwa unahimiza waTanzania waliokuwa wanauza njugu na korosho wahamie Kigamboni...
Nanukuu...
"Gezaulole mama gezaulole mama wee Biashara ya Njugu na Korosho haitufai mama weee "Gezaulole gezaulole mamaa"
Sasa hivi GEZAULOLE ni HOTCAKE!!! Wakati huo ilikuwa mahali pa kupeleka Machinga!!!
Serikali yetu bado sana katika swala la kujali maslahi ya wananchi tena ambao ndio walipa kodi inayowafanya watembee kwenye magari ya kifahari na kusinzia au kutokutetea hija za msingi bungeni...until today u can see how they making a fool of tax payers......this is the goverment not of the people not for the people by the people...
ReplyDeleteni aibu kubwa a utajiri wa maliasili tuliokuwa nao kusubori mgeni toka nje aje kutupendezeshea nyumbani kweli....shame on us!..
hapo kigamboni hako kadaraja tu kanatushinda, hao viongozi hawana hoja za kimsingi kuleta maendeleo yetu na ya kigamboni, utakuta siku zinapita wanastuka wanakurupuka wanasema eti swala la daraja lipo kwenye hatua ya mchakato....si tunataka daraja bwana sio maneno nenda ruudi kama lile swala la mabasi yaendayo kasi ya usafiri jijini dar.
TUNATAKA VIONGOZI WATEKELEZAJI NA WATENDAJI SIO MANENO MENGI MDOMONI..
A GOOD LEADER SHOULD BE THE ONE WHO DOES MORE THAT TALKING....HE SHOULD BE GRATER THAT JUST A SPEECH.
Look here! hadi leo pale eneo la Magogoni, kigamboni umeme ni mdogo (low voltage, about 100Volts) badala ya 220-230 ambazo ndio standard kwa matumizi ya majumbani na vifaa vya umeme majumbani hapa nchini..... ikifika jioni unapungua kabisa taa zinawaka mwanga hafifu kibatari kina afadhali.....what is the MP and the responsible doing about such a small problem.....they simply dont know and/or care the needs of the people..................
WE DONT NEED BLAA BLAAZ and spending the our scarce budgets on doing the unnecessary pre 2010 election compains through the umbrella of "ziara ya siku tatu ya ufafanuzi wa mpango wa serikali kuhusu maendeleo kigamboni" we need to witness changez taking place and not leaders making useless speechez!!!
Iwapo huu mradi hautagusa maeneo ya mradi wa Makamba wa viwanja elfu 20...basi hili eneo linalozungumziwa halitafika 30Km...kwa maana hiyo sithani kama mradi utafika Kibugumo. Mama T usikose usingizi bure.
ReplyDeleteWapeleke mradi kusikouwa na majumba mbona maeneo yaliyo wazi tena ukanda wa bahari yapo mengi? aunganishe ukipita boko mpaka bagamoyo au aende Mbwa maji mpaka kisiju lazima Kigamboni?Maana hata lugha ya Chiligati si ya kistaarabu anadai mradi upo iwe isiwe hakuna wa kuuziwiya, maana hata Mungu hayupo!!? Mheshimiwa Raisi aliwahi kutamka makazi na maeneo ya asili na ya kale hayatavunjwa wala watu kuhamishwa sasa iweje mji wa Asli MZIZIMA ni kigamboni wawahamishe? Hivi mpk lini tunarudishwa nyuma kimaendeleo? tokea enzi ya vijiji vya ujamaa watu wakavunjiwa miji yao wakawekwa porini wengi wakaliwa na wanyama ikaja bomoabomoa barabara mara bandari leo tena mji wa kisasa hatwendi mbele Jambo jema ni kuuboresha kuweka mabenki, maji mpk leo wanakunywa maji ya Visima waweke barabara pana za maana,umeme ni mbovu kabisa tunasubiri wawekezaji wa umeme waje kwetu,hii siasa haina maana wanajijenga wao na wageni wanawaumiza wengi.Mradi Kata 4, Mjimwema,Kibada,Vijibweni na Kigamboni haufiki Kibugumo ila visiwa vyote vinachukuliwa waweke ufuska huko na mmomonyoko wa maadili
ReplyDeleteKigamboni Magogono
mimi nina uhakika kuwa mradi huu haufiki Gezaulole, maana ni juzi tu nimepata hati ya eneo langu kule Gezaulole. Kama kweli mradi ungekuwa unafika kule wasingenipatia HATI MILIKI
ReplyDeleteHali ya kimataifa inavyokwenda kuhusu uchumi sidhani kama tanzania wapo tayari kupoteza mapesa yote kwa malipo ya fidia wakati uchumi umeyumba kuanzia umarekani. ma-Invester hawana pesa tena hadi
ReplyDelete