waziri wa habari, utamaduni na michezo mh. george mkuchika na rais wa tff leodegar chilla tenga wakifurahia zawadi ya uzi ambao wamepewa na viongozi wa vancouver white caps ya canada baada ya gemu lao na taifa stars
picha ya pamoja ya wachezaji na viongozi wa timu zote mbili
kikosi cha albino unite kikiangalia mpambano
vancouver white caps
taifa stars

MPIRA UMEISHA SASAHIVI HAPA NESHNO NA TAIFA STARS IMETOKA SARE TASA YA 0-0 OUVER WHITE CAPS TOKA CANADA KATIKA MPAMBANO WA KIRAFIKI WA KIMATAIFA AMBAO VIJANA WAPYA WA MAXIMO WAMEONESHA NDINGA LA HALI YA JUU NA KUTOA MATUMAINI KWAMBA BONGO INA HAZINA YA VIPAJI, ILA BASI TU...

HUU NI MCHEZO WA MWISHO KWA WAGENI HAO AMBAO WALIANZA KWA KUPIGWA 3-0 YANGA KABLA YA KUIBANJUA SIMBA 2-1.
WAGENI HAO KESHO WANAELEKEA A-TAUN AMBAKO WATATEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA NA VIVUTIO VINGINE VYA UTALII

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. We Mithupu wewe kwani taifa stars wapo? Si nimesikia kuwa taifa stars wapo misri leo wanacheza na al ahly ya huko mwa mafarao?? Hahahaha kazi ipo
    Willy hapa

    ReplyDelete
  2. hiyo picha ya katikati nilizani ni benchi la vancover hapo jukwaani,
    kumbe ni wazee wazima ALBINOS WHITE CAPS, wametoka vizuri sana hapo,kwani wamefana sana na kaka zao wa VANCOVER.

    ReplyDelete
  3. Linki ya kutazama mechi free online mechi ya Yanga Vs Al Ahly: http://www.tv2free.com/ahly_tv.php

    Matokeo dakika mpaka ya 20 ni Al Ahly 2 Yanga 0
    Mdau
    Rocky
    london

    ReplyDelete
  4. Dakika ya 53 Al-Ahly 3 Yanga 0. link live free online: http://www.tv2free.com/ahly_tv.php

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...