




MPIRA UMEISHA SASAHIVI HAPA NESHNO NA TAIFA STARS IMETOKA SARE TASA YA 0-0 OUVER WHITE CAPS TOKA CANADA KATIKA MPAMBANO WA KIRAFIKI WA KIMATAIFA AMBAO VIJANA WAPYA WA MAXIMO WAMEONESHA NDINGA LA HALI YA JUU NA KUTOA MATUMAINI KWAMBA BONGO INA HAZINA YA VIPAJI, ILA BASI TU...
HUU NI MCHEZO WA MWISHO KWA WAGENI HAO AMBAO WALIANZA KWA KUPIGWA 3-0 YANGA KABLA YA KUIBANJUA SIMBA 2-1.
WAGENI HAO KESHO WANAELEKEA A-TAUN AMBAKO WATATEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA NA VIVUTIO VINGINE VYA UTALII
We Mithupu wewe kwani taifa stars wapo? Si nimesikia kuwa taifa stars wapo misri leo wanacheza na al ahly ya huko mwa mafarao?? Hahahaha kazi ipo
ReplyDeleteWilly hapa
hiyo picha ya katikati nilizani ni benchi la vancover hapo jukwaani,
ReplyDeletekumbe ni wazee wazima ALBINOS WHITE CAPS, wametoka vizuri sana hapo,kwani wamefana sana na kaka zao wa VANCOVER.
Linki ya kutazama mechi free online mechi ya Yanga Vs Al Ahly: http://www.tv2free.com/ahly_tv.php
ReplyDeleteMatokeo dakika mpaka ya 20 ni Al Ahly 2 Yanga 0
Mdau
Rocky
london
Dakika ya 53 Al-Ahly 3 Yanga 0. link live free online: http://www.tv2free.com/ahly_tv.php
ReplyDelete