kwa katuni zake zaidi nenda www.nathankatuni.wordpress.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. This is realy creative!!kwa kweli meseji senti. Nathan u r talented.
    Koku

    ReplyDelete
  2. "Pesa za mafisadi zitavipeleka pabaya baadhi ya vyombo vya habari". Katuni inajieleza vizuri mno, heko Nathan.

    ReplyDelete
  3. Big Up Nathan. Hii katuni imetulia. Naona kichwa chako sasa kimeanza kufanya kazi mara mbili ya hapo awali.

    ReplyDelete
  4. Wizi mtupu, Nathan umesema kweli tupu. Hawa waandishi njaa tupu, ukiwaita kwenye press release/conference hawaji bila vibahasha, au wakija haripoti hata kama yaliyojadiliwa ni ya muhimu kwa jamii. Ukishawapa pesa wanabadili ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli. Morale ya kusoma magazeti yetu imeshuka kabisa kwangu binafsi. Naomba kwa ujumbe wa Nathan mbadilike.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...