MKUU WA UDHAMINI NA MAWASILIANO WA KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA VODACOM TANZANIA, GEORGE RWEHUMBIZA ,AKISAINI MAKUBALIANO YA UDHAMINI WA SHINDANO LA VODACOM MISS TANZANIA 2009 NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA LINO,HASHIM LUNDENGA.KAMPUNI YA LINO NDIYO WAMEKUWA WAKIANDAA MASHINDANO HAYA KWA MIAKA MINGI.
MKUU WA UDHAMINI NA MAWASILIANO WA KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA VODACOM TANZANIA,GEORGE RWEMBIZA AKIBADILISHA MKATABA WA MAKUBALIANO NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA LINO HASHIM LUNDENGA,AMBAPO VODACOM ITAKUWA MDHAMINI MKUU WA SHINDALO LA KUMSAKA VODACOM MISS TANZANIA 2009. KATIKATI NI VODACOM MISS TANZANIA 2008 NASREEM KARIM.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nasreem...tumbo mamaa, mashaallah

    ReplyDelete
  2. Nasreem Mashallah umeolewa au bado? inshallah utaolewa ngoja nimalize BOX Singida nitakuzukia.

    ReplyDelete
  3. Hivi hii kampuni ya Lundenga ina trademark na hili zoezi la kuendesha contest ya miss TZ? mbona kila mwaka ni wao tu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...