MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yeah...na kule nyuma namuona Hayati Sokoine...!!Labda walikuwa wanabishana kuwa nani atakuwa mkubwa Nyerere akisafiri...kila mmoja anasema nipe mimi..Nyerere anasema Wewe Jumbe sikuamini..hupendi muungano..na wewe Kawawa Mfupi mno watu hawatakuheshimu..!!
ReplyDeletekwa kweli huku ni kupoteza muda na rasilimali za taifa.
ReplyDeleteunakuta makamu, waziri mkuu, spika, na mawaziri karibu wote, wanakwenda kumuaga au kumpokea raisi.
hawa hawatilii maanani muda wao wa kazi. ni utamaduni mbaya ambao tunapaswa kuachana nao.
Jumbe: 'Ndugu Rais kabla hujaondoka malizana kabisa na huyu Mmakonde(Samora) vinginevyo akae na vijana wake kule Nachingwea mpaka urudi'.
ReplyDeleteNyerere: 'Hayo hayakuhusu, maagizo yote nimemwaachia Moringe'.
Kibalaghshia hicho kinaonyesha kuwa JKN alikuwa habagui dini. Watanzania wengi bado hawajaelewa mafunzo ya JKN kuhusu udini na ukabila. Mungu atujaaliye tuelekee usawa, tushirikiane kujenga nchu bila kuandalia paji la uso, kidevu, kichwa wala kifua.
ReplyDeleteWalikuwa wanaongelea kuhusu ukombozi kusini mwa Afrika.
ReplyDeleteBalozi si unakumbuka mwalimu alikuwa mwenyekiti wa nchi tano zilizo mstari wa mbele ( Tanzania, Zambia, Angola, Msumbiji na Botswana)
Jumbe:Mwalimu kawawa anapiga mno overtime kiasi kuwa cheki zake ni kubwa mara mbili za ya kwangu mimi.
ReplyDeleteMwalimu:Nimemwambia Rashidi kuwa kuanzia wiki ijayo apumzike ili operesheni vijiji usimamie mwenyewe kidogo cheki yako iende juu ili msizidiane sana, halafu nikirudi nataka taarifa ya ASP kama wameafiki kuungana na TANU.
Mdau Msolopogazi USA.
Hapo hata viongozi wenyewe unawaona kwanza wote ni wakweli,pili waaminifu na tatu wanaupendo kwa watu wao ,enzo hizo hapo NENO FISADI LILIKUWA HALIJULIKANI,wala msamiati huo ulikuwa haupo,hapo Baba wa taifa alikuwa anawakabidhi majukumu yake kila mmoja,siyo leo mara jaji mkuu anabishana na spika,mara waziri na katibu mkuu wanabishana kupitia vyombo vya habari ,hakuna kabisa maadili ya uongozi VURUGU TUPU!MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE WOTE
ReplyDeleteyaelekea Samora alikuwa mtiifu na mnyeyekevu sana R.I.P Comrade ALUTA CONTINUA!
ReplyDelete