wasanii wa kundi la wanne star wakitoa burudani ya ngoma na kucheza na nyoka wakati wa gemu kati ya taifa stars na vancouver white caps ya canada neshno jana. jamaa humtia mdomoni
ngogoti na sindimba
chatu ni mkali, porini wamwogopa
chatu akitolewa toka kwenye boksi lake
jamaa akicheza na chatu











Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Michuzi,

    Samahani Tupe MADAFU yanasemaje leo hii, I suppose KESHO insh.

    ReplyDelete
  2. au kama utatundoshea Pound na Euro zinanuliwa kwa ngapi huko? Samahani lakini ?

    ReplyDelete
  3. Naona kama kuna ka-UFA kwenye running track ya huu uwanja mpya......?!! Sijui ndo mambo ya "mfuko mmoja wa sementi matofali 30 ama........."?!!

    ReplyDelete
  4. Game la Yanga unaweza kulipata hapa live http://www.tv2free.com/ahly_tv.php

    ReplyDelete
  5. hili la huyo myama kiwanjani yamevuka mpaka. sasa ni usanii gani huu? kwani waganga wa kienyeji si wamenyimwa leseni? hawa jamaa wasiruhusiwe kutuaribie uwanja wetu. hiyo sight ya huyo myama inatisha.

    ReplyDelete
  6. Animal Abuse! Huyo nyoka kaleweshwa au ajalishwa kwa miezi..i bet atakufa tuuu... uwongo mtupu!!

    ReplyDelete
  7. Mchuzi sasa utatumwa mpaka kuanua chupi kwenye kamba

    ReplyDelete
  8. duniani kuna mambo.

    ReplyDelete
  9. WASWAHILI BWANA ANGALIA WANAVYOHARIBU UWANJA SASA !

    USTAARABU UPO WAPI ?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...