Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. samahani nauliza kwa kutaka kuelimishwa, hivi tsh 1900 mlala hoi anaweza kujinunulia nini? nilikuwa nataka kuangalia na namna mlala hoi awezavyo kuitumia £1

    ReplyDelete
  2. Mbona sioni Zimbabwe Dollar au hiyo dollar hapa Bongo hakuna?

    ReplyDelete
  3. kweli bongo kuna soko ibia sorry soko huria ($1=1000 kuuza ukitaka kununua $1=1344 faida= 344, 34% profit!)
    Hakika masikini ni tajiri!
    Eeeh masikini ni tajiri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...