
JK, Dk. John Malecela na Anne Kilango Malecela wakiinua glasi kwa pamoja kumtakia maisha mema Dk. Malecela katika hafla ya kutimiza miaka 75 ya kuzaliwa iliyofanyika nyumbani kwake Sea View, Dar
Kaka wa Dk maelecela balozi Job Lusinde, akiwapungia mkono waalikwa katika hafla ya dina la mchana alilandaa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samwel Malecele kwenye kituo chakulelea watoto yatima Kurasini jijini dar kwa ajili ya kutimiza miaka
Mama wa mzee malecela (shoto) akiwa katika hafla hiyo na nduguye.
Mmoja wa watoto wa Mzee Malecela katika hafla hiyo ya aina yake. watoto watatu wameshatangulia mbele ya haki, nao ni Senyangwa Malecela, Dk. Irene Malecela na Mkwavi Ipyana Malecela. Waliopo ni William Malecela, Dk. Mwele Malecela, Dk. Seche Malecela, Mwendwa Malecela-Bisendo, Samuel Malecela, Tully Mwaipopo Malecela na Nyagwa Malecela.
Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Malecela, akimweleza jambo mtoto wake Dk Mwela (aliyesimama) katika hafla ya chukula alichokiandaa kwenye kituo cha kulelea watoto yatima Kurasini kwa ajili ya kutimiza miaka 75. Katikati ni Mkewe Anne pembeni yao ni mmoja wa watoto yatima wanaolelewa kituoni hapo.


KUMBE JOHN BADO MDOGO HIVYO HONGERA SANA NGOJA NIKUIMBIE KIDOGO
ReplyDeleteHAPPY HAPPY HAPPY B,DAY X2
UKUWE UKUWE X2
HAPPY B,DAY JOHN MALESELA HAPPY B,DAY TO YOU HOW OLD ARE YOU NOW? X2 BY THE WAY LOVE YOU AND WE WISH YOU LONG LIFE MIND YOUR SELF
Michu unaweza tupatia picha ya mzee na mama malecela wakiwa wamesimama, kuna kitu nataka kuunganisha dots..... kama kuna ka last born ka mzee malecela vile kapo on process to the world! teh teh teh!!!. Uzee dawa mjomba!
ReplyDeleteAisee, huyo kaka wa malecela jina lake linfanana na ubini wa dada mmoja nilisoma nae pale Kazima 1993, Alikuwa akiitwa "Ndekwa Job Lusinde Bahati mbaya walifariki na wenzake akina Crista Mkoka, Mwanaiba Masoud na dada mmoja nimemsahau alikuwa head girl wetu kwenye ile ajali ya MV Bukoba wakati wakitoka Lugambwa secondary kumalizia kidato cha sita. Walikuwa class mates wangu O-level pale Kazima Tabora. Nafikiri huyu atakuwa ni baba yake Ndekwa japo majina yanafanana.
ReplyDeleteKaka Michuzi naomba kuirekebisha habari yako hapo juu kuhusu watoto wa Mzee Malecela, kama ifuatavyo:-
ReplyDelete1. Watoto wake waliaotangulia mbele ya haki ni watatu nao, Senyagwa Malecela, Dk. Irene Malecela, Mkwawi Ipyana Malecela, wakiume wawili Senyagwa na Mkwawi, na wa kike mmoja yaani Dk. Irene.
2. Watoto wake waliobaki ni:-
1. William Malecela.
2. Dk. Mwele Malecela.
3. Dk. Seche Malecela.
4. Mwendwa Malecela Bisendo.
5. Samweli Malecela.
6. Tully Mwaipopo Malecela.
7. Nyagwa Malecela.
Kati ya hawa watoto wawili ni wa kiume, na wengineo ni wa kike.
Kwako Ndugu Michuzi, ni vyema kama unaweza ni ukairekebisha hiyo habari uliyoiweka, kwa sababu haijakaa sawa.
Ahsante Sana.
Kaka michuzi, marekebisho kidogo:
ReplyDelete1. ni balozi Job Malecela Lusinde sio Lucinde
2. kwenye hio picha ya kina mama wawili sio "baadhi ya wanandugu bali wa kushoto ni mama mzazi wa mh. Malecela" anatakiwa kupewa heshima yake.
ni hayo tu.
MDAU flani
Mimi nina Swali Huyo mliyemuita "TULLY MWAIPOPO MALECELA" ni mtoto wa Malecela mwenyewe au mdogo wake???maana mnatuchanganya wananchi..........
ReplyDeleteMdau flani, kweli tutajuuuuta kukufahamu.
ReplyDeletemaana ulianzia kule kwenye jamvi ambako unajulikana kwa majina mawili jina lako halisi na lile alilojipa Nduli mvamizi wa nchi yetu miaka ileeeeeee
Tutajuuuuuuuuuuuuuta kukufahamu Lol!!!
Hongera Mzee Lusinde kwa besidei! Kitendo cha kushiriki na watoto yatima ni kitendo cha uungwana na cha kuigwa...ILA Michuzi kaamua kubana picha za hao watoto yatima waliojumuishwa kwenye hiyo sherehe...AU HAWAKUSHIRIKISHWA?
ReplyDeletePicha ya wanandugu wawili ni dada zake Mzee Malecela. Mdala Hefsi na Mdala Pelestachi, ni the only ndugu wawili wa tumbo moja na Mzee Malecela walio hai.
ReplyDeletehongera kwa mfano bora wa kufanya sherehe, badala ya kufanyia kwenye makumbi ya bei kali muzilete hizi sherehe zenu kwa hawa mayatima angalau nao wajisikie kwa siku kwa mlo mnono.
ReplyDeletemzee wangu Malecela, hongera sana mungu akuzidishie uhai, nimeguswa sana nakitendo cha kushiriki na watoto yatima ...kwa hili hongeara sana kama msanii mmoja aliposema tule majalalani na watoto yatima...wenzangu hili ni funzo kuu kwetu tuwakumbuke watoto yatima kwa kila jambo la furaha linalotuhusu..asante kwa kutuonyeha njia ....kweli uzee ni dawa...
ReplyDeleteKaka Michuzi hizi picha umezipata kutoka kwenye chanzo kilichotumwa na familia au ni mmoja wa waalikwa tu alienda na simu yake akaanza kukutwangia? Kwa nini kuwe na maelezo mara oh huyu ni fulani mara aha! Proffesionalism ni muhimu kwenye kila jambo mtu analotenda. Unapokuwa makini na mfanyaji mambo kitaalamu watu wanaendelea kukuheshimu sio wewe binafsi bali kazi uzifanyazo. Kwenye tukio kama hili ungetuwekea picha moja inayojuimuisha familia nzima ya Mheshimia wetu kwani hizi wenzetu huziweka kwenye archives kwa vizazi vya baadae juu ya maisha na historia ya viongozi wetu.na sio kuweka picha shaghalbaghala kama za ubarikio wa Pasua au Njoro.
ReplyDeleteJamani kaka yake Malecela ni Job Lusinde, haya majina mbona hayafanani? Naomba kuuliza ni kaka kivipi?
ReplyDeleteWanawake wa Kinbongo kwa VITAMBI !!! Kazi kujiachia tu?
ReplyDeleteMi Sisemi.
Hongereni sana Seche my dear for preparing such a posh and memorable birthday celebration for your beloved father.
ReplyDeleteMay Our Lord Bless you all with many more years of happiness and prosperity.
J. T.O.
Hongereni sana kwa shughuli nzuri sana ya kumuenzi Mzee wetu! nimewaaminia Mwele, Sece, Mwendwa, mko juu! pamoja na wadogo zenu Tully, Samuel na Nyagwa.
ReplyDeletewee mdau wa tarehe 20 saa4:45 acha kulianza jina la MUNGU kwa herufi ndogo hivi hata sunday school,madrasa hukujifunza mana labda shule dunia hukusoma.swali kwa wadau hivi hata hili ni lakukumbushwa?
ReplyDeleteHabarini za sahizi Ndugu zanguni, Bw. Michuzi na wote wasomaji wa Blogger hii, nigependa kusema neno kidogo kuhusiana na Issue iliyoshika vichwa vya Habari wiki iliyo pita kuhusu kukamatwa kwa mmiliki wa ZE UTAMU BLOGGER ambate jina lake lilitajwa kusema kuwa ni mtoto wa Mheshimiwa mmoja hapa nchini. Jamani ndugu zanguni tusipende kushadadia na kuandika vitu msivyokuwana na uhakika navyo, na tusipende kuwachafulia watu wengine kwa aajili ya manufaa binasfi, zile habari ni ZA UZUSHI tena zilikuwa na nia ya kuwachafua baadhi ya watu kwa makusudi kabisa. kama mliweza kusoma habari ile line after line, Mh. Balozi aiwakilishae Tanzania nchini Uingerza alisema namnukuu " mimi sina taarifa kuhusiana na habari hizo" mwisho wa kumnukuu. swali ni kwamba iweje mtu kama Balozi asiwe na habari hizo na wengine (watu wasio rasmi) kuthibitisha kuwa eti mmiliki wa hiyo Blogger ni huyo walomtaja? na kwanini wasi wataje hao wengine wanaosema wako Marekani inamaana huko hao Interpol hawapo? Tuwe makini jamani, huyo mheshimiwa alitumikia Taifa kwa moyo wakizalendo na tusitumie watoto au ndugu wa huyo mheshimiwa katika kumchafua au kuleta chuki kati ya serikali ( viongozi wa Juu) na Mheshimiwa huyo. Tuwe makini.
ReplyDelete