mwanamuziki nguli amerejea juzi kutoka marekani ambako yeye na mwanamuziki mwingine anania ngoriga walikuwa katika ziara ndefu ya maonesho katika miji kadhaa huko. usiku wa kuamkia leo aliibuka new msasani club na kuungana na kundi lake la the kilimanjaro band 'wana njenje' na kuendeleza burudani yao ya kila jumamosi hapo mahali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Penyee hapo Mwagito umepiga li Gitaa haswa! Hongera sana mtani kipaji unacho.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...