
HONGERA SANA MKE WANGU MARIAM SHOMARI au MAMAA SABRANAMSHAMBA a.k.a MAMAA ZAI a.k.a MAMAA FATMA KWA KUJIFUNGUA SALAMA MTOTO WETU NA HAPO NI SIKU SABA TU TOKEA UJIFUNGUE SAME HOSPITAL - SAME KILIMANJARO NA MTOTO WETU ANAITWA FATMA. TAREHE (ITATANGAZWA) KUTAKUWA NA SHEREHE YA KUMTOA MTOTO NDANI ITAFANYIKA NYUMBANI KWAO DAR ES SALAAM.
BIG UP MY WIFE
MDAU MASSUDI



mudau!!uko busy!!hao watoto naowaona hapo wote wako?mbona ka kuku mwenzetu!!unafikili ni business eeeeh!
ReplyDeletejamani mtoto mdogo lakini mzuri yaani ana siku saba tu utafikiri mwezi mmoja, hongera sana,
ReplyDeletena wewe hapo juu unasema ana watoto wengi una uhakika gani kwamba ni watoto wake wote amekuambia?
Hongera mwaya. Mungu akupe nguvu, uhai na uwezo uwezo kumlea mtoto. Akuepushe na Balaa...Sina hakika kama unauwezo wa kifedha kiasi gani kama uwezo mdogo zingatia uzazi wa mpango kama hao watoto wote ni wako dada watoto wapate malezi bora na elimu.
ReplyDeleteWe hapo juu vipi? Hata kama akizaa kama kuku wewe inakuhusu nini? Sibora azae kuliko atoe...Unajuaje kama anauwezo wa kuwalea...Kama wewe hunafedha unafikiri ni wote?...Timua hebu
ReplyDeletesii unajua hawa viwango duni wanazaa tuu wanaamini kila mtoto anakuja na liziki yake ati
ReplyDeleteWatoto watatu unasema business unajuaje kama ameamua azae haraka haraka then aache? Muache dada wa watu. Hongera dada anakuonea donge huyooo
ReplyDeleteumtoe mtoto?! wakati keshatoka kwa blog
ReplyDeletembona watoto wamepishana vizuri tu na manajuaje plan za watu watz kitu kidogo tu kukosoa hongera mdau naona watu wasio na mayai hapa wanakuonea wivu.
ReplyDeleteWatu wasiokosa la kuongea utawaona, yaani watoto watatu ni issue? Si ajabu mkihesabu baba wadogo wenu na mashangazi wanafika 13!
ReplyDeleteMtoto mashallah, siku saba tu lakini afya murua, mungu awaongoze mumkuze ipasavyo...
ha ha ha!!mtoto mzuri mtoto mzuri,ukweli unabaki palepale,mdanganyeni mwenzenu alimwage nao atawakimbia!!!maisha ni mipango,na mipango ni pamoja na spacing!!karibu karibu namna hiyo!!
ReplyDeletemdau unachekelea!! umecheck DNA?
ReplyDeleteMashaallah, Inshaallah Mwenyezi Mungu amuepushe na husda!
ReplyDeleteKazaeni wakwenu! Siajabu huyo mtu hapo juu anayemkashifu mwenzie aliyefuata uzazi wa majira ni mgumba! Pole weeee. Hongereni wazazi wenzetu, watoto watamu mweeeeee. Zaa mama kama kizazi unacho hata 10 ukiweza bado mwali mbichi? Wenye nyodo zao wakatafute wakwao. Na watoto mnawaona wana afya, wamezuri na wanaonyesha kuwa na matunzo mazuri angalia hata nguo zao aliyewaambia kuwa anashida ni nani mswahili haachi kusema! Hongereni sana.
ReplyDeleteHongera sana Mwenyezi Mungu awajaalie kheri na afya muwalee watoto wenu,hao wanaosema watoto wengi ujue wameshatoa wakwao sasa wanaona donge.Hakuna asiyependa watoto ukuina hivyo ni maneno ya mkosaji tu.
ReplyDeleteMheshimiwa mkuu wa wilaya ya nanihii...mbona mtoto huyu anafanana na wewe kwa sana? Mna ukoo?
ReplyDeleteona waswahili:
ReplyDeleteeti husda!hawana mayai,mgumba!!
mnacheka wezenu?ngoja Muumba awachukue ulionao then huzai tena!!
mtoto kapakwa WANJA??kwanini?????
uyu mama ana moyo kakubali kutundikwa humu?alilipwa au shurti la mumewe??
KWANZA HONGERENI WAZAZI, POLE MAMA.MIMI pia ni MAMA NAJUA KAZI HIYO NGUMU.NA BABA HONGERA NA NIMEKUPENDA KWA MAPENZI MAKUBWA NA HESHIMA ULIYOWAPA KINA MAMA WOTE KWA KUMPA PONGEZI MKEO, UNAONYESHA UNA MAPENZI YA KWELI NA UNATHAMINI MKEO. MUNGU AWAKUZIE NA MBARIKIWE KATIKA MAISHA YENU,MAANA DUNIA HII NGUMU SI KWA WAZAZI TU PIA NA WATOTO TUNAOWAKUZA.hongereni WOTE WAWILI,Say Hi kwa Dogo mpya na nduguze.
ReplyDeleteNB-WATOA maoni msiongee Pumba kuhusu WATOTO.
WALIMWENGU WANAMAMBO SANA USIPOZAA MGUMBA UKIZAA WATOTO WENGI
ReplyDeleteHII YOTE NI WIVU MTU ANAFANYA KILE ANAPENDA.
MIMI NINAWATOTO WATU WALIJIFANYA KUNIPANGIA ETI MAISHA MAGUMU FUNGA UZAZI SIKUWASIKILIZA HIVI SASA MIMI NINAMAISHA MAZURI KUWAZIDI WAO WALIOFUNGA UZAZI WAMEBAKI MIDOMO WAZI
WEWE KAMA UNATAFUTA PESA MTOTO HAKUZUII KUPATA NA KUTOKUZAA HAINA MAANA NDIYO UTAPATA PESA NI PESA NA WATOTO NI WATOTO WATOTO HAWAZUII MTU KUPATA PESA
KWETU TULIKUWA 8 BABA YETU AKAFIWA NA MDOGO WAKE MWENYE WATOTO 7 WAKALETWA KWETU, KAKA YAKE NA MAMA AKAACHANA NA MKE WAKE NAO WALIKUWA NA WATOTO WATANO WA KUFATANA FATANA NAO WAKALETWA KWETU
ReplyDeleteSASA UNAFIKILI WAZAZI WANGU MAISHA YAO YALIRUDI NYUMA JIBU SIO NIKWELI KABISA KILA MTU NA RIDHIKI YAKE NAKUMBUKA MZEE WANGU BIASHARA ZAKE ZILIMUENDEA VIZURI SANA YANI TULIKUWA TUKILA KUKU KILA SIKU KUZIDI HATA MTU MWENYE WATOTO 2 CHA MSINGI PUNGUZENI KUONGEA SANA NA BADALA YAKE TAFUTENI SANA
mhhhhhhhh jamani hii kid ukiambiwa ni michuzi akiwa mdogo hubishi jamani DNA hoyeeee maana mhh siiiiimo.
ReplyDeleteTHE SMALL VERSION OF MICHUZI.
ReplyDeleteKuna wendawazimu wengine, we nanai alikwambia kuna sheria ya kuzaa wangapi?
ReplyDeleteKila mtu na mapenzi yake, acheni ukiranja.
Hongera sana ndugu yangu mwenyezi mungu awakuzie nae awaletee wajukuu warembo kama yeye wenye husda mchimbe shimo mjifukie.
ReplyDeletemdau
kisiju pwani.
Weye unayeuliza kwa nini mtoto kapakwa wanja ni kwa sababu ni "suna" kwa mtoto wa Kiislam kupakwa wanja. Rejea Khadithi za Mtume Muhammad (S.A.W). Mtoto awe wa kiume au wakike hutiwa wanja haswa siku ile anayotoka arubaini. Nadhani nimejibu swali, kama unakaa na Sheikh au mwanazuoni karibu uliza na watakupa hadithi yake.
ReplyDeletehakuna haja ya DNA ,kitanda akizai halam
ReplyDeleteVery BBB ....Beautiful Breathtaking Baby ...lovely... she is so cute.
ReplyDeleteHONGERA MAMA FATMA !!!!!MWENYEZI MUNGU AKUSAIDIE NA AKULINDE.FATMA,MWENYEZI MUNGU AKULINDE NA WAZANDIKI,MAHAYAWANI NA MAPUNGUAANI. MBARIKIWE SANA!!
ReplyDeleteNI MIMI MAMA WAWILI.SALAAM KUTOKA(MARIETTA-GA)