HONGERA SANA MKE WANGU MARIAM SHOMARI  au  MAMAA SABRANAMSHAMBA a.k.a MAMAA ZAI a.k.a MAMAA FATMA  KWA KUJIFUNGUA SALAMA MTOTO WETU NA  HAPO NI SIKU SABA TU TOKEA UJIFUNGUE  SAME HOSPITAL - SAME KILIMANJARO NA MTOTO WETU ANAITWA FATMA. TAREHE (ITATANGAZWA) KUTAKUWA NA SHEREHE YA KUMTOA MTOTO NDANI ITAFANYIKA NYUMBANI KWAO DAR ES SALAAM.
 BIG UP MY WIFE
MDAU MASSUDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. mudau!!uko busy!!hao watoto naowaona hapo wote wako?mbona ka kuku mwenzetu!!unafikili ni business eeeeh!

    ReplyDelete
  2. jamani mtoto mdogo lakini mzuri yaani ana siku saba tu utafikiri mwezi mmoja, hongera sana,
    na wewe hapo juu unasema ana watoto wengi una uhakika gani kwamba ni watoto wake wote amekuambia?

    ReplyDelete
  3. Hongera mwaya. Mungu akupe nguvu, uhai na uwezo uwezo kumlea mtoto. Akuepushe na Balaa...Sina hakika kama unauwezo wa kifedha kiasi gani kama uwezo mdogo zingatia uzazi wa mpango kama hao watoto wote ni wako dada watoto wapate malezi bora na elimu.

    ReplyDelete
  4. We hapo juu vipi? Hata kama akizaa kama kuku wewe inakuhusu nini? Sibora azae kuliko atoe...Unajuaje kama anauwezo wa kuwalea...Kama wewe hunafedha unafikiri ni wote?...Timua hebu

    ReplyDelete
  5. sii unajua hawa viwango duni wanazaa tuu wanaamini kila mtoto anakuja na liziki yake ati

    ReplyDelete
  6. Watoto watatu unasema business unajuaje kama ameamua azae haraka haraka then aache? Muache dada wa watu. Hongera dada anakuonea donge huyooo

    ReplyDelete
  7. umtoe mtoto?! wakati keshatoka kwa blog

    ReplyDelete
  8. mbona watoto wamepishana vizuri tu na manajuaje plan za watu watz kitu kidogo tu kukosoa hongera mdau naona watu wasio na mayai hapa wanakuonea wivu.

    ReplyDelete
  9. Watu wasiokosa la kuongea utawaona, yaani watoto watatu ni issue? Si ajabu mkihesabu baba wadogo wenu na mashangazi wanafika 13!

    Mtoto mashallah, siku saba tu lakini afya murua, mungu awaongoze mumkuze ipasavyo...

    ReplyDelete
  10. ha ha ha!!mtoto mzuri mtoto mzuri,ukweli unabaki palepale,mdanganyeni mwenzenu alimwage nao atawakimbia!!!maisha ni mipango,na mipango ni pamoja na spacing!!karibu karibu namna hiyo!!

    ReplyDelete
  11. mdau unachekelea!! umecheck DNA?

    ReplyDelete
  12. Mashaallah, Inshaallah Mwenyezi Mungu amuepushe na husda!

    ReplyDelete
  13. Kazaeni wakwenu! Siajabu huyo mtu hapo juu anayemkashifu mwenzie aliyefuata uzazi wa majira ni mgumba! Pole weeee. Hongereni wazazi wenzetu, watoto watamu mweeeeee. Zaa mama kama kizazi unacho hata 10 ukiweza bado mwali mbichi? Wenye nyodo zao wakatafute wakwao. Na watoto mnawaona wana afya, wamezuri na wanaonyesha kuwa na matunzo mazuri angalia hata nguo zao aliyewaambia kuwa anashida ni nani mswahili haachi kusema! Hongereni sana.

    ReplyDelete
  14. Hongera sana Mwenyezi Mungu awajaalie kheri na afya muwalee watoto wenu,hao wanaosema watoto wengi ujue wameshatoa wakwao sasa wanaona donge.Hakuna asiyependa watoto ukuina hivyo ni maneno ya mkosaji tu.

    ReplyDelete
  15. Mheshimiwa mkuu wa wilaya ya nanihii...mbona mtoto huyu anafanana na wewe kwa sana? Mna ukoo?

    ReplyDelete
  16. ona waswahili:
    eti husda!hawana mayai,mgumba!!

    mnacheka wezenu?ngoja Muumba awachukue ulionao then huzai tena!!

    mtoto kapakwa WANJA??kwanini?????

    uyu mama ana moyo kakubali kutundikwa humu?alilipwa au shurti la mumewe??

    ReplyDelete
  17. KWANZA HONGERENI WAZAZI, POLE MAMA.MIMI pia ni MAMA NAJUA KAZI HIYO NGUMU.NA BABA HONGERA NA NIMEKUPENDA KWA MAPENZI MAKUBWA NA HESHIMA ULIYOWAPA KINA MAMA WOTE KWA KUMPA PONGEZI MKEO, UNAONYESHA UNA MAPENZI YA KWELI NA UNATHAMINI MKEO. MUNGU AWAKUZIE NA MBARIKIWE KATIKA MAISHA YENU,MAANA DUNIA HII NGUMU SI KWA WAZAZI TU PIA NA WATOTO TUNAOWAKUZA.hongereni WOTE WAWILI,Say Hi kwa Dogo mpya na nduguze.
    NB-WATOA maoni msiongee Pumba kuhusu WATOTO.

    ReplyDelete
  18. WALIMWENGU WANAMAMBO SANA USIPOZAA MGUMBA UKIZAA WATOTO WENGI
    HII YOTE NI WIVU MTU ANAFANYA KILE ANAPENDA.
    MIMI NINAWATOTO WATU WALIJIFANYA KUNIPANGIA ETI MAISHA MAGUMU FUNGA UZAZI SIKUWASIKILIZA HIVI SASA MIMI NINAMAISHA MAZURI KUWAZIDI WAO WALIOFUNGA UZAZI WAMEBAKI MIDOMO WAZI
    WEWE KAMA UNATAFUTA PESA MTOTO HAKUZUII KUPATA NA KUTOKUZAA HAINA MAANA NDIYO UTAPATA PESA NI PESA NA WATOTO NI WATOTO WATOTO HAWAZUII MTU KUPATA PESA

    ReplyDelete
  19. KWETU TULIKUWA 8 BABA YETU AKAFIWA NA MDOGO WAKE MWENYE WATOTO 7 WAKALETWA KWETU, KAKA YAKE NA MAMA AKAACHANA NA MKE WAKE NAO WALIKUWA NA WATOTO WATANO WA KUFATANA FATANA NAO WAKALETWA KWETU
    SASA UNAFIKILI WAZAZI WANGU MAISHA YAO YALIRUDI NYUMA JIBU SIO NIKWELI KABISA KILA MTU NA RIDHIKI YAKE NAKUMBUKA MZEE WANGU BIASHARA ZAKE ZILIMUENDEA VIZURI SANA YANI TULIKUWA TUKILA KUKU KILA SIKU KUZIDI HATA MTU MWENYE WATOTO 2 CHA MSINGI PUNGUZENI KUONGEA SANA NA BADALA YAKE TAFUTENI SANA

    ReplyDelete
  20. mhhhhhhhh jamani hii kid ukiambiwa ni michuzi akiwa mdogo hubishi jamani DNA hoyeeee maana mhh siiiiimo.

    ReplyDelete
  21. THE SMALL VERSION OF MICHUZI.

    ReplyDelete
  22. Kuna wendawazimu wengine, we nanai alikwambia kuna sheria ya kuzaa wangapi?

    Kila mtu na mapenzi yake, acheni ukiranja.

    ReplyDelete
  23. Hongera sana ndugu yangu mwenyezi mungu awakuzie nae awaletee wajukuu warembo kama yeye wenye husda mchimbe shimo mjifukie.
    mdau
    kisiju pwani.

    ReplyDelete
  24. Weye unayeuliza kwa nini mtoto kapakwa wanja ni kwa sababu ni "suna" kwa mtoto wa Kiislam kupakwa wanja. Rejea Khadithi za Mtume Muhammad (S.A.W). Mtoto awe wa kiume au wakike hutiwa wanja haswa siku ile anayotoka arubaini. Nadhani nimejibu swali, kama unakaa na Sheikh au mwanazuoni karibu uliza na watakupa hadithi yake.

    ReplyDelete
  25. hakuna haja ya DNA ,kitanda akizai halam

    ReplyDelete
  26. Very BBB ....Beautiful Breathtaking Baby ...lovely... she is so cute.

    ReplyDelete
  27. HONGERA MAMA FATMA !!!!!MWENYEZI MUNGU AKUSAIDIE NA AKULINDE.FATMA,MWENYEZI MUNGU AKULINDE NA WAZANDIKI,MAHAYAWANI NA MAPUNGUAANI. MBARIKIWE SANA!!
    NI MIMI MAMA WAWILI.SALAAM KUTOKA(MARIETTA-GA)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...