Home
Unlabelled
bungeni dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hawa woote walikuwa wahadhiri university.
ReplyDeleteAngalia elimu inavyopoteza nguvu kazi kwa siasa. Hamna taifa lililoendelea kwa kujali siasa zaidi ya mapinduzi ya kielimu.
Tutafika?
Wasomi walifanya utafiti wakagundua kwamba siasa inalipa. Sasa hivi wanatumia matunda ya utafiti wao katika vitendo.
ReplyDeleteUkiwa mbunge kila baada ya miaka mitano unapewa kiinua mgongo cha milioni zaidi ya 20. Ukiwa profesa mlimani baada ya miaka 30 au zaidi ya kufundisha unapewa kiinua mgongo cha laki kadhaa. Huhitaji hata PhD kuona unatakiwa kufanya nini.
huko ndo kuna hela watafanyaje!imewabidi wafanya siasa
ReplyDeleteJamani, siamini kuwa Prof Kapuya aliyenifundisha "Microbial Physiology" miaka ya 90'S eti ni mwanasiasa. He was a big time lectures pale department ya Microbiology Mlimani, na alikiwa mwalimu safi sana. Siyo kama maprof wengine kazi ni kukamatia watoto wa watu na kuwageuza vimada vyao. I really learnt a lot from him na alikuwa anajiheshimu sana na kupiga mkeka wake safi! Congrats Prof Kapuya! Najua unaliwakilisha jimbo lako kiuhakika.
ReplyDeleteMheshimiwa Juma Kapaya kila akihalikwa kwenda Burundi aka Buja
ReplyDeletemzee anakwepa,kutokana na uvumi kuwa watu wenye vipara,vichwa vyao ni mali huko Buja
Anony7:01pm. Hiyo ni njia pekee ya kuwavutia wasomi wetu walioko nje kurudi nyumbani,Kuongeza baraza la mawaziri na majimbo ya ubunge.
ReplyDeleteHivi mtu anawezaje kubebea jukumu la ubunge na umkuu wa mkoa at the same time?! Sipati kabisa picha hapo
ReplyDeleteNaungana na mtoa hoja hapo juu. kwa kweli inasikitisha sana kuona mtu mmoja anakuwa mbunge halafu wakati huohuo ni mkuu wa mkoa. hivi kwani nchi imeishiwa wasomi?hapa si ndipo tungegawana umasikini wetu kwa mmoja kuwa mbunge na mwingine mkuu wa mkoa.
ReplyDeleteNamuomba muheshimiwa Rais kuliangalia jambo hili, vinginevyo wengine watakosa nafasi ya kutumikia nchi yao kikamilifu.
Tatizo lao hawa, wanajua kabisa kuwa Elimu yetu inshuka kwa wataalamu kukimbia nchini au kuingi kwenye siasa, lakini wakifika huko kuwa waamuzi wanasahau kuboresha mazingira ya wenzao ambao bado wanashika chaki.
ReplyDeleteDr. Msekele mtaalamu wa High Voltage leo hii ninaamini kabisa atakuwa amesahau hata terminologies za kiumeme. Kapuya nae ndiyo kabisaaa, basi jamani tupiganieni sisi wenzenu malupulupu yaendane na elimu yetu yaani hata darasa la saba waliopo bungeni wanatushinda?. Ngoja nasi tuanze kutembelea majimbo sasa maana ndiyo iliyobakia tubanane hukohuko.
sasa akiwa mbunge+mkuu wa mkoa ANALIPWAJE??ya kibunge na mkoa?au anaongezewa dau la kofia 2 azonazo?
ReplyDeleteelimu inashuka sana,mwenyezi tu ajuae kutuokoa ,
shida hawawajali/kuthamini WALIMU NA WATU WA AFYA wanalipwa kiduchu sana!!
Kuna taarifa zinasema asilimia 33 ya Watanzania hawajui kusoma na kuandika. Yaelekea na walimu wa shule za misingi nao wamekimbia fani za kufundisha.
ReplyDelete