
Bw. Clement Mshana (kulia) akiongea na mtangazaji maarufu wa BBC Charles Hilary wakati wa sherehe za miaka 50 ya idhaa ya kiswahili ya BBC jijini dar mwaka juzi. kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa leo Bw. Mshana ndiye bosi mpya wa idara ya habari a.k.a Maelezo, akijaza nafasi ya Mzee Kassim Mpenda ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. kabla ya hapo Bw. Mshana alikuwa mmoja wa mabosi wa Shirika la Utangazaji a.k.a TBC.
HONGERA MR.MSHANA, ULIKUWA BOSSI WANGU RTD chumba cha Habari, I know U r perfect Guy for the Job, U r one of the Smartest Guys I've met., kila la Kheri.
ReplyDeletebwana hcehals hilary eebwana wewe ni mkonweg wa nysiukngi anas! nakumbuka enzi zile za simba na kiduchu!! alafu unapo waelezaga baadhi ya wtangazaji wasio kwenda shule waende sio wanatngaaza mradi rabo ut! wewe twakufagilia!!!!
ReplyDeletekeep it up Big!!
phd!!!!!