Mtandao wa JamiiForums wakati ukiendelea kukupasha kinachoendelea nyumbani huku ukikupa fursa ya kutoa maoni yako unakupa fursa ya kipekee kuweza kuburudika mtandaoni.

JamiiForums (zamani JamboForums) kwa sasa ina miziki ya rika mbalimbali na za kila aina. Dhamira ya JF si kujitangaza kupitia Michuzi Blog bali kukufahamisha kuwa kuna zaidi ya kile kilichokuwepo mwanzo.

Kuburudika chagua aina ya muziki uupendao:




au


Na endapo utakumbana na tatizo usisite kuwasiliana na wahusika kwa kubonyeza CONTACT us.

Wenu
Invicible

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. sijui kaka utaiweka hii au kuitupia kapuni lakini lazima niseme tu....Watu wengine wanahitaji communication skills......hiii sentensi ina maana gani?????? Dhamira ya JF si kujitangaza kupitia Michuzi Blog bali kukufahamisha kuwa kuna zaidi ya kile kilichokuwepo mwanzo. sasa kama sio kutangaza ni nini?

    Siku hizi watu wakija na matangazo yao waambie possibility ya wewe kuedit tangazo ipo. Ni hayo tu

    ReplyDelete
  2. Nakuunga mkono Mdau wa kwanza.Watanzania wengi tunaongea kiswahili kisichofasaha(Grammatically) tunaandika/kuengea staili ya "bora liende" ili mradi ujumbe ufike.Cha ajabu mtu akikosea kuandika/kuongea Ung'eng'e tunamcheka.Cha kwanza tujali na kupenda kuongea kiswahili fasaha sio kuburuza buruza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...