
watarajiwa edward na regina waking'ara katika send-off ya bibie usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa hellenic club jijini dar. bibie anafanya kazi daily news na bw. harusi mtarajiwa yuko CCM makao makuu

baadhi ya wafanyakazi wenzie bi harusi mtarajiwa kwenye mnuso huo

masela wanaofanya kazi na bi harusi mtarajiwa wakipata vilaji wakati wa mnuso wa regina
Aaahh mzee wa nanhii, CCM makao makuu ndio kazi gani?
ReplyDeleteThey look stunning bride and groom!! Mithupu usisahau kutuwekea na za harusi i think watapendeza zaidi ya hapo!! Maana Mungu alifanya kazi ya ziada kwa viumbe hawa 2 na kawakutanisha!!
ReplyDeleteNaomba physical adress ya Hellenic kama na bei zake nikipata nitashukuru
ReplyDeleteNashukuru kama umeamua kuolewa dada na kwa mumeo ukatulie sasa
ReplyDeleteby
Mangi wa K'kooo
nice! where is that venue hellenic club in Dar?
ReplyDeleteHongera sana Monisa, Mola awaongoze katika kila jambo.
ReplyDeleteWaefeso
Hongera mke anaonekana mzuri sana kwa umbo la nje sasa ndani sijui ila kama mmeelewana jitahidi sana mtunze kweli hakika una chombo man hapo najua hutaogopa hata kutoka nae siku za weekend maana wengine tumeoa sasa tatizo ukupata mwaliko unaogopa kwenda na mkeo kwanza mkali ,pili mitungi kwa sana na akilewa achelewi kuvua nguo so all the best man big up!
ReplyDeleteMichuzi tusaidiane, naomba e-mail ya huyo dada anayetangaza zawadi, tafadhali shehe!
ReplyDeleteKama kaolewa basi acha tu nitaugulia mwenyewe yaishe!
hivi ni yule Edward Mpogolo au Edward mwingine?
ReplyDeletemkuu wa wilaya ya nanihii huyo aliyekushika mkono ndo first lady wa wilaya ya nanihii?????
ReplyDeleteusinibanie please
mmewapa bajaji? mh jamani kwamba baada ya harusi waende keko kisa dreva kaua halafu kayeya/? jamani zawadi zingine kama watu mmeshindwa kufikiri bora muwape gift voucher wakaamue wenyewe
ReplyDeleteBWANA HARUSI KUMBE MSELA? MAANA WASELA WENZAKE WANAKULA KA-TU-BIA KWENYE MEZA YAO! PHWOAAAR
ReplyDeletetupe za harusi
ReplyDelete