kiongozi wa timu ya dailynews/habari leo joyce macha akitangaza zawadi ya kibajaji waliyomzawadia bi harusi mtarajiwa, swichi na kadi kashika mkononi

watarajiwa edward na regina waking'ara katika send-off ya bibie usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa hellenic club jijini dar. bibie anafanya kazi daily news na bw. harusi mtarajiwa yuko CCM makao makuu

baadhi ya wafanyakazi wenzie bi harusi mtarajiwa kwenye mnuso huo

masela wanaofanya kazi na bi harusi mtarajiwa wakipata vilaji wakati wa mnuso wa regina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Aaahh mzee wa nanhii, CCM makao makuu ndio kazi gani?

    ReplyDelete
  2. They look stunning bride and groom!! Mithupu usisahau kutuwekea na za harusi i think watapendeza zaidi ya hapo!! Maana Mungu alifanya kazi ya ziada kwa viumbe hawa 2 na kawakutanisha!!

    ReplyDelete
  3. Naomba physical adress ya Hellenic kama na bei zake nikipata nitashukuru

    ReplyDelete
  4. Nashukuru kama umeamua kuolewa dada na kwa mumeo ukatulie sasa


    by
    Mangi wa K'kooo

    ReplyDelete
  5. nice! where is that venue hellenic club in Dar?

    ReplyDelete
  6. Hongera sana Monisa, Mola awaongoze katika kila jambo.

    Waefeso

    ReplyDelete
  7. Hongera mke anaonekana mzuri sana kwa umbo la nje sasa ndani sijui ila kama mmeelewana jitahidi sana mtunze kweli hakika una chombo man hapo najua hutaogopa hata kutoka nae siku za weekend maana wengine tumeoa sasa tatizo ukupata mwaliko unaogopa kwenda na mkeo kwanza mkali ,pili mitungi kwa sana na akilewa achelewi kuvua nguo so all the best man big up!

    ReplyDelete
  8. Michuzi tusaidiane, naomba e-mail ya huyo dada anayetangaza zawadi, tafadhali shehe!

    Kama kaolewa basi acha tu nitaugulia mwenyewe yaishe!

    ReplyDelete
  9. hivi ni yule Edward Mpogolo au Edward mwingine?

    ReplyDelete
  10. mkuu wa wilaya ya nanihii huyo aliyekushika mkono ndo first lady wa wilaya ya nanihii?????
    usinibanie please

    ReplyDelete
  11. mmewapa bajaji? mh jamani kwamba baada ya harusi waende keko kisa dreva kaua halafu kayeya/? jamani zawadi zingine kama watu mmeshindwa kufikiri bora muwape gift voucher wakaamue wenyewe

    ReplyDelete
  12. BWANA HARUSI KUMBE MSELA? MAANA WASELA WENZAKE WANAKULA KA-TU-BIA KWENYE MEZA YAO! PHWOAAAR

    ReplyDelete
  13. tupe za harusi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...