Home
Unlabelled
From Russia With Love. Absolutely Amazing. ARS 4 LIFE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wasubiri kipigo jumatano hapo kutoka kwa ManU mambo ya UCL
ReplyDeletehahahaha,,,wewe acha ushabiki huo angalia kiwango hicho! kashindwa liverpool je hao manU wataweza? Ujue liver hakuna Kipa mule watu wanaogopa jina tuu,,,sasa vijana wa Arsenal wamedhihirisha na kuwanyamazisha japo kwa droo,,,
ReplyDeleteArsenal Oyeeeeeeeeeeee
Mdau April 22, 2009 9:42 AM,kwa kulinganisha mechi kama tano zilizopita kwa Manure na Ars (premier, CL na FA), 'you wish!'..mark my words..chambilecho Shekhe Yahya: mipambano yote miwili itakuwa migumu (nani asiyejua kwamba wakutanapo kama hawa lazima mechi itakuwa ngumu!).. lakini kibano cha jumla chawanyemelea Man U, bila kokoro..
ReplyDeleteNani kakudanganya we hapo juu,man u sis gunerz tunapiga nyiny!!ina maaana mmesahau kipigo cha evarton!!We utaambulia patupu subir kiama kinakujia!!
ReplyDeleteGunerz oyeeeeeeeeeeeee!!!!man kaeni mkao wa kula tunataka tuwafundshe mpira!!!
ReplyDeleteLove or loathe him I think Arshavin was phenomenal last night. Without his individual skills - Arsenal would have been gone down in disgrace. I still remember the way he demolished the mighty Dutch in Euro 2008 and the fact that the always price tag sensitive Arsene Wenger added him to his shopping basket speaks loads. Having said that, Arsenal defense was awful, to say the least and, before you say it, I agree it was a game of awful defending on both sides and skillful finishing too...
ReplyDeletesuali moja tu kwa wapenzi wote wa mpira walioangalia mechi hii nzuri, kuna anaeweza kuniambia refarii alipata wapi dakika tano za majeruhi? kuna rumour kuwa huyu webb ni bwawa la main mkubwa sana.
ReplyDeletemdau wa bridge
Jamani jamani Michuzi pole sana kwa kichapo ndio utuuzima huo pamoja na kupumzika siku kama 5 hivi na wenzenu mbili pamoja nakusafiri from london to Liverpool na uchovu bado wamewaomesha kweli inabidi kuweka mikono juu.Pili Mimi kama Mshabiki wa manchester united naweza kusema kombe tutalichukua bila wasi wasi ilimradi tufunge magoli zaidi. zimebaki mechi chache sasa hivi manchester anaweza ku loose 2 games na bado akashinda Premier league kwajili ya 2 games on hand.Na imani tutashinda league ila kwenye champions league kazi ni pevu jamani arsenal watahakikisha Emirate watulisha mabao hadi tuharishe lakini inaenda defence yetu ina nani tena babu asidhubutu kumuweka Gary neville bora Fabio.Kipigo cha everton hakijanishtua sana kama nilivyotegemea ingeniuma.Chelsea sasa hivi is the team to watch!!!!!
ReplyDeleteNi maoni tu na ni buree
William UK(United for life) Ila nimesharudi bongo nchi ya marahaaaa
Arsenal nusura wamwage mafuta bwawani yaani vyura wote wangededi jana, Tunageuza mzinga wetu kwa Shetani mwekundu lazima tusambaratishe ngome kongwe ya trafford tutatumia kwanza "A.A 47" toka Urusi kabla ya kumalizia kwa mzinga!
ReplyDeleteGo Gunners
In Arsenal we Trust...shamiezo!!
ReplyDeleteaa..kwakweli janaa arshavin kaonesha kiwango..bora hachezi uefa mwaka huu..lkn zeganaz mjue wk ijayo ndo mwaaga rasmi kombe la wanaume washoka la uefa..fainali itakuwa man yoo na bercelona..man yoo awa bingwa mara 2 mfululizo
ReplyDeletebwawa nao sio haba..kwani mpaka sasa tumewapa Real Madrid 4by4 by far..
ReplyDeleteman uTD nao 4by4 by far..
chelsea nao 4by4 by far..
Arsenal jana nao,
4by4 by far..
usiulize mangapi yaliingia kwetu..
Habri ndiyo hiyoooooo
*Ni AAA (Arsenal's Andrey Arshavin)…
ReplyDeleteKAMA WEWE UNAIPENDA MAN U KAA KIMYA MAANA YATAKAYOWAPATA HATA YA FULHAM YANA NAFUU
ReplyDeleteWilliam Uk unajua unachoongea au una bwabwaja tu.Eti Man U wanaweza kupoteza mechi 2 halafu washinde zilizosalia na ubingwa wachukuwe.Man U wakifungwa mechi 2halafu Liverpool washinde walizobakiza,Man U hawatalibeba kombe.Tambua points mko sawa vile vile Arsenal tunakuja kuwapiga ubaya ndani ya Old Typhoid.
ReplyDeleteR.I.P the great SAHAU KAMBI,
ReplyDeleteвот что делает наш человек..... kishoka kaingia kwa kasi sana na mambo yake yanaanza kuonekana...subirini jamaa yuko talented sana sema ndiyo hivyo alikuwa anakosa exposure akiwa zenith....
ReplyDeleteNaona wenger kalamba tano..
Mdau wa kamachumu...
We annoni wa April 22, 2009 7:55 PM Sahau Kambi yule aliyekua golikipa wa Yanga na Timu ya Taifa? Bro Michuzi eti ni kweli Sahau Kambi kafariki?
ReplyDeleteMashabiki wa arsenal...you don't have any clue and you forgot what ManU capable of..!!
ReplyDeleteManU they probably be champion before playing Arsenal in PL.Liver pool next match a draw,that is it manU they are going to win nex 3 match for sure.
Halooooooooooo Kuna jamaa hapo juu wa arsenal ameuliza najua nachoongea haya tumemfunga portsmouth tupo 3 points clear 1 game on hand.Do you really know what your talking about au kubwata bwata haya Chelsea ame draw naye kwahiyo do u think manchester united will loose 3 games straight and win 3 .Its inevitable so Ukweli ni kwamba Inabidi mkubali kuwa 99% league tunachukua labda Itooke miujiza.
ReplyDeleteNdio maisha lazima ukae,Utambae,Ushike ukuta kisha uanze kutembea sasa arsenal bado hamjamaliza process zote hizo
Hayaaa
William Uk United for life