andrei arshavin

HAPA WADAU INABIDI NIKUBALI. 
JAMAA KATUPATA KWELI....DAH!
-MICHUZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Wasubiri kipigo jumatano hapo kutoka kwa ManU mambo ya UCL

    ReplyDelete
  2. hahahaha,,,wewe acha ushabiki huo angalia kiwango hicho! kashindwa liverpool je hao manU wataweza? Ujue liver hakuna Kipa mule watu wanaogopa jina tuu,,,sasa vijana wa Arsenal wamedhihirisha na kuwanyamazisha japo kwa droo,,,
    Arsenal Oyeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  3. Mdau April 22, 2009 9:42 AM,kwa kulinganisha mechi kama tano zilizopita kwa Manure na Ars (premier, CL na FA), 'you wish!'..mark my words..chambilecho Shekhe Yahya: mipambano yote miwili itakuwa migumu (nani asiyejua kwamba wakutanapo kama hawa lazima mechi itakuwa ngumu!).. lakini kibano cha jumla chawanyemelea Man U, bila kokoro..

    ReplyDelete
  4. Nani kakudanganya we hapo juu,man u sis gunerz tunapiga nyiny!!ina maaana mmesahau kipigo cha evarton!!We utaambulia patupu subir kiama kinakujia!!

    ReplyDelete
  5. Gunerz oyeeeeeeeeeeeee!!!!man kaeni mkao wa kula tunataka tuwafundshe mpira!!!

    ReplyDelete
  6. Love or loathe him I think Arshavin was phenomenal last night. Without his individual skills - Arsenal would have been gone down in disgrace. I still remember the way he demolished the mighty Dutch in Euro 2008 and the fact that the always price tag sensitive Arsene Wenger added him to his shopping basket speaks loads. Having said that, Arsenal defense was awful, to say the least and, before you say it, I agree it was a game of awful defending on both sides and skillful finishing too...

    ReplyDelete
  7. suali moja tu kwa wapenzi wote wa mpira walioangalia mechi hii nzuri, kuna anaeweza kuniambia refarii alipata wapi dakika tano za majeruhi? kuna rumour kuwa huyu webb ni bwawa la main mkubwa sana.

    mdau wa bridge

    ReplyDelete
  8. Jamani jamani Michuzi pole sana kwa kichapo ndio utuuzima huo pamoja na kupumzika siku kama 5 hivi na wenzenu mbili pamoja nakusafiri from london to Liverpool na uchovu bado wamewaomesha kweli inabidi kuweka mikono juu.Pili Mimi kama Mshabiki wa manchester united naweza kusema kombe tutalichukua bila wasi wasi ilimradi tufunge magoli zaidi. zimebaki mechi chache sasa hivi manchester anaweza ku loose 2 games na bado akashinda Premier league kwajili ya 2 games on hand.Na imani tutashinda league ila kwenye champions league kazi ni pevu jamani arsenal watahakikisha Emirate watulisha mabao hadi tuharishe lakini inaenda defence yetu ina nani tena babu asidhubutu kumuweka Gary neville bora Fabio.Kipigo cha everton hakijanishtua sana kama nilivyotegemea ingeniuma.Chelsea sasa hivi is the team to watch!!!!!

    Ni maoni tu na ni buree

    William UK(United for life) Ila nimesharudi bongo nchi ya marahaaaa

    ReplyDelete
  9. Arsenal nusura wamwage mafuta bwawani yaani vyura wote wangededi jana, Tunageuza mzinga wetu kwa Shetani mwekundu lazima tusambaratishe ngome kongwe ya trafford tutatumia kwanza "A.A 47" toka Urusi kabla ya kumalizia kwa mzinga!
    Go Gunners

    ReplyDelete
  10. In Arsenal we Trust...shamiezo!!

    ReplyDelete
  11. aa..kwakweli janaa arshavin kaonesha kiwango..bora hachezi uefa mwaka huu..lkn zeganaz mjue wk ijayo ndo mwaaga rasmi kombe la wanaume washoka la uefa..fainali itakuwa man yoo na bercelona..man yoo awa bingwa mara 2 mfululizo

    ReplyDelete
  12. bwawa nao sio haba..kwani mpaka sasa tumewapa Real Madrid 4by4 by far..
    man uTD nao 4by4 by far..
    chelsea nao 4by4 by far..
    Arsenal jana nao,
    4by4 by far..

    usiulize mangapi yaliingia kwetu..

    Habri ndiyo hiyoooooo

    ReplyDelete
  13. *Ni AAA (Arsenal's Andrey Arshavin)…

    ReplyDelete
  14. KAMA WEWE UNAIPENDA MAN U KAA KIMYA MAANA YATAKAYOWAPATA HATA YA FULHAM YANA NAFUU

    ReplyDelete
  15. William Uk unajua unachoongea au una bwabwaja tu.Eti Man U wanaweza kupoteza mechi 2 halafu washinde zilizosalia na ubingwa wachukuwe.Man U wakifungwa mechi 2halafu Liverpool washinde walizobakiza,Man U hawatalibeba kombe.Tambua points mko sawa vile vile Arsenal tunakuja kuwapiga ubaya ndani ya Old Typhoid.

    ReplyDelete
  16. R.I.P the great SAHAU KAMBI,

    ReplyDelete
  17. вот что делает наш человек..... kishoka kaingia kwa kasi sana na mambo yake yanaanza kuonekana...subirini jamaa yuko talented sana sema ndiyo hivyo alikuwa anakosa exposure akiwa zenith....
    Naona wenger kalamba tano..
    Mdau wa kamachumu...

    ReplyDelete
  18. We annoni wa April 22, 2009 7:55 PM Sahau Kambi yule aliyekua golikipa wa Yanga na Timu ya Taifa? Bro Michuzi eti ni kweli Sahau Kambi kafariki?

    ReplyDelete
  19. Mashabiki wa arsenal...you don't have any clue and you forgot what ManU capable of..!!

    ManU they probably be champion before playing Arsenal in PL.Liver pool next match a draw,that is it manU they are going to win nex 3 match for sure.

    ReplyDelete
  20. Halooooooooooo Kuna jamaa hapo juu wa arsenal ameuliza najua nachoongea haya tumemfunga portsmouth tupo 3 points clear 1 game on hand.Do you really know what your talking about au kubwata bwata haya Chelsea ame draw naye kwahiyo do u think manchester united will loose 3 games straight and win 3 .Its inevitable so Ukweli ni kwamba Inabidi mkubali kuwa 99% league tunachukua labda Itooke miujiza.

    Ndio maisha lazima ukae,Utambae,Ushike ukuta kisha uanze kutembea sasa arsenal bado hamjamaliza process zote hizo

    Hayaaa

    William Uk United for life

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...