Bendi ya Mziki Inafrikainategemea kutua nyumbani wakati leo baada ya ziara ndefu hoku ughaibuni. Inafrika wanarudi nyumbani wakiwa na album mpya iliyobeba jina la "Mbereko" ambayo imeshyeheni muziki swafi wa kitanzania.
unaweza kuwasikiliza hapa

.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wimbo 'Mbeleko' ala za muziki kama saxfoni, 'manyanga n.k zasikika vyema. Na maneno ktk wimbo ni maneno haswa yetu 'waswahili' kuelezea hisia na mazingira ya Mtanzania.

    Sasa wazee wazima msiogope angalau kutundika wimbo mmoja ktk video ndani ya YOUTUBE.com, dunia wawatambue umahiri wenu kama bendi ya muziki iliyokamilika.

    Mdau
    Maduka Mawili Changombe DSM

    ReplyDelete
  2. KARIBUNI NYUMBANI MKAWASHITAKIE WAPENZI WA MUZIKI KUH ILE KESI YA PAKA MKOLOFI AU PAKA MROHO ALIE BANANA NANYI UGHAIBUNI

    ReplyDelete
  3. Eee bwana Michuzi hebu watuambie watakuwa wanapiga wapi huku Bongo?
    Palepale SWEET EASY au?

    Wadau tumewamiss kinoma hapa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...