Msanii Chiddy Benz (mwenye gogoz) akiwa tayari kubonyeza kitufe cha kutafuta mshindi wa draw hiyo akiwa na Msimamizi wa michezo ya kubahatisha Abdallah Hemedi kutoka Gaming Board Of Tanzania na meneja masoko wa kampuni ya Selcom Gaming ndugu Juma Mgori
Msanii Chiddy Benz akitoa hundi kwa mshindi wa mchezo huo JIRES YORAM FUMBELE kutoka TABORA (pili kulia) ambaye aljipatia kitita cha shilingi milioni 3. wanaoshuhudia ni Mtangazaji wa TBC FM Esher Muhidin na Mtangazaji wa michezo Ephraim Kibonde
Mtangazaji wa TBC FM Esher Muhidin na Mtangazaji wa michezo Ephraim Kibonde wakiwa na Chid Benz wakati wa kuchezesha draw hiyo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hivi huyu Esher Muhidin siyo Mrs Mkuu wa wilaya ya nani kweli?

    Mimi nina wasiwasi anaweza kuwa Mrs wadau hebu tufuatilie

    ReplyDelete
  2. Eshe ni mke wa Maulid Kitenge

    ReplyDelete
  3. WIZI MTUPU, TUKIO LOTE HIKI KINAHITAJI LIUNDIWE TUME ILI TUJUE IWEJE MTOKA TABORA AWEPO KWENYE UCHEZESHAJI WA BAHATI NASIBU WAKATI WA DAR HAWANA HABARI KISHA ASHINDE YEYE HUYOHUYO MTAZAMAJI PEKEE. LAKINI BAADHI YA WATU HAPO HATUELEWI WALIKUWEPO KWA NYADHIFA GANI, WIZI MTUPU HII SAWA NA DECI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...