Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Joseph Sinde Warioba akimzungumzia Mwalimu wakati wa wiki ya wanazuoni ya Nyerere iliyoanza jana mlimani UDSM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mkereketwa Yombo VitukaApril 15, 2009

    MUNENE RAIS MSTAAFU NDUGU JAJI YOSEFU SINDE WARIOBA, WAFISADI PAMOJA NA PETER NALITOLELA WA MUZUMBE NA WA OKSFODI US BLOGGER INABIDI WAWEKWE KWENYE MACHO YA TAIFA KWA MAANA WANA VYETI FEKI NA WATAKUJA KULETA UFISADI WAKIPEWA MADARAKA

    MIMI KAMA MKEREKETWA NA MPINGA UFISADI NA USENENE NAMBA WANI, BADO NAWAPIGIA DEBE MWANAHRAKATI GENIUS, RAIS MTAJARIWA 2015 MT. YHANNA MASHAKA NA WAZIRI MUKUU DR. HILDEBAND SHAYO WA KULE RONDONI NA MACHO YA MUNENE JK JANUARY MAKAMBA

    LICHA YA KUSAKAMWA NA WAOSHA VINYWA KUTOKANA NA LUGHA YAO, NIMEPENDEZWA JINSI UNAVYOCHAMBUA MAMBO HASA KUHUSU MAENDELEO YA TAIFA LETU.

    NADHANI MIMI NITAIPELEKA HII MAKALA KWA WABUNGE WETU KULE DODOMA
    MHESHIMWA RAIS MTARAJIWA, TUNAKUUNGA MKONO, NA TUTAZIDI KUKUOMBEA DUA, ILI MUNGU AKULINDE DHIDI YA MAADUI AMBAO PIA UMEONYESHA UNA UPENDO NAO KAMA VILE US- BLOGGER

    MZEE WA PAMBA, JAKAYA MRISHO KIKWETE TUNAMPA KURA TENA, 2010 KWA MASHARTI KWAMBA LAZIMA ATUPE MIBARAKA YAKE KWA AJILI YA 2015.

    MZEE MZIMA, MZEE WA BAGAMOYO, MZEE MTANASHATI, MZEE WA PAMBA, TUNAOMBA UWABARIKI WANAO.

    MBARIKI MT. YOHANNA MASHAKA AMABYE PETER NALITOLELA NA US-BLOGGER WA OKSFODI ANAMUWANGIA, MBARIKI, SHAYO, MBARIKI JANUARY PAMOJA NA RIDHWANI

    Mh. MT. Mashaka, January, Dr. Shayo na Ridhwani. Kwa hiyo naomba msinisahau ifikapo 2015 HAMNA MSHABIKI MWINGINE NCHINI TANZANIA ZAIDI YANGU .

    ZIDUMU FIKRA ZA MZEE WA PAMBA JK
    ZIDUMU

    KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
    KIDUMU

    KIDUMU FIRKA ZA LAIS MTARAJIWA 2015
    ZIDUMU

    ZIDUMU FIKRA ZA MAKAMU 2015
    ZIDUMU

    MAFISADI YOTE NAYO YACHAPWE MBOKO
    YACHAPWE
    MKEREKETWA, YOMBO VITUKA !!!!
    -----------------------------------
    Dakika 30 za Internet Café Zimekwisha

    ReplyDelete
  2. NIMESOMA KWENYE ARABIAN NEWS KUHUSU ZIARA YA RAIS KIKWETE.GAZETI HILO LINASEMA KUWA KIKWETE ATAWAPA WASAUDIA EKARI NUSU MILIONI(EKARI LAKI TANO)ILI HAO WASAUDIA WAWEZE KULIMA KWA AJILI YA KULISHA WANANCHI WA SAUDIA ARABIA.WAMEPANGA KULIMA MPUNGA NA NGANO,GAZETI HILO LIMEENDELEA KUSEMA KUWA MMOJA WA MAAFISA WA TANZANIA AITWAYE JANUARI MAKAMBA ALISEMA KUWA WATAPEWA LEASE YA MIAKA 99 YA ARDHI YA TANZANIA.SASA MIMI KAMA MTANZANIA NAJIULIZA YAFUATAYO:JE HAO SAUDI ARABIA KWA SABABU TUNAWAPA ARDHI YETU WALIME ILI WAWEZE KULISHA WATU WAO,JE WANAWEZA KUTUPA SISI ARDHI YAO YENYE MAFUTA ILI TUYACHIMBE KUWASAIDIA KIUCHUMI WANANCHI WETU?
    JE NI NCHI NGAPI DUNIANI ZINAWEZA KUWAPA NCHI ZINGINE ARDHI YAO ILI WAIENDELEZE KWA FAIDA YA HAO WANAOCHUKUA ARDHI?
    KINGINE AMBACHO KIMENISHANGAZA PIA NI KUWA SIJAELEWA UWEKEZAJI WA KWENYE ARDHI UKOJE? MAANA KWA MUJIBU WA HILO GAZETI WAMESEMA KUWA RAIS ALISEMA KUNA ARABLE LAND KUBWA KAMA EKARI MILLIONI 40 NI KAMA VILE ALIKUWA AKITANGAZA UWEKEZAJI.NAOMBA WANANCHI TULIJADILI HILO

    ReplyDelete
  3. Kwanza kabisa,Rais hana mamlaka ya kuitoa ardhi ya nchi kwa raia wa nje bila ya ridhaa ya bunge au tuseme wananchi wenyewe.Hata ikiwa chini ya kivuli cha uwekezaji.Lazima bunge letu liwe makini sana katika hili.Pili,kutoa lease ya miaka 99 kwa umilikishwaji wa ardhi ni makosa makubwa.Huko ni sawa na kuiondoa kabisa ardhi hiyo katika matumizi ya kila siku kwa watanzania wengine.Wenzetu walioweka utaratibu wa lease ya miaka 33 sio wajinga!Mtu atakaye pewa lease ya miaka 99 yeye mwenyewe hana uwezo wa kuishi kipindi hicho na wakati atakapo kuwa akichukua lease hiyo umri wake tayari utakuwa umetimia miaka isiyopungua 35 au 40 hivi.Akipewa lease ya miaka 33 hadi lease imalizike atakuwa kafikisha umri wa miaka 70 na zaidi.Baada ya hapo bado yuko huru kurefusha tena lease yake lakini wakati huo mambo mengi yatakuwa yameshabadilika.Tuwe waangalifu na baadhi ya viongozi wajanja lakini walafi na wachoyo watakao pindisha taratibu za kumiliki ardhi zilizo kuwepo kwa kipindi kirefu.Wana wa Saudia iwapo watapenda kuja kuwekeza kwenye Kilimo basi ni hapo watakapo kuja na kila mwekezaji ashughulikiwe mmoja baada ya mwingine na pande zote mbili Saudia na Tanzania zinufaike na si vinginevyo.La hasha,kwa nini serikali yetu isiingie mkataba na Saudia kwamba Wakulima wa Kitanzania wawe na mikataba ya kuzalisha mazao maalum chini ya usimamizi maalum wafikie kiwango kitakachohitajika na mazao hayo yawe maalum kwa mahitaji ya Saudia?Badala ya kuwaengua watanzania katika ajira hiyo ya Kilimo kwa Mauzo ya Nje na kuwanufaisha Watu wa nje kwa kila kitu?Lini Watanzania watakomaa na kupata uzoefu wa kuzalisha kwa ajili ya masoko ya nje?

    ReplyDelete
  4. Leo wapewe ardhi waSaudi,kesho atokee Mugabe mpya:-(

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...