JK anapokea zawadi ya kapu kubwa la asili kutoka kwa bi Leseko Lekaukau,afisa muuguzi mwandamizi wa hospitali ya kumbukumbu ya Letsholathebe II iliyoko katika mji wa Maun nchini botswana katika siku ya pili ya ziara ya rais kikwete nchini humo
"NIMEPENDEZA"? JK anamuliza bi Leseko Likaukau,afisa muuguzi wa hospitali mara baada ya kumkabidhi rais zawadi ya kofia wakati wa sherehe ya uzinduzi wa hospitali hiyo huko Maun nchini Botswana
JK na mwenyeji wake Luteni Jenerali Seretse khama Ian khama wa botswana wakishangilia mara tu baada ya rais kufungua rasmi hospitali ya kumbukumbu ya Letsholathebe II yenye vitanda zaidi ya 200 iliyojengwa mjini maun huko botswana
JK na wenyeji wake wakila nyama ya kuponda ya asili iitwayo Setswa. Nyama hiyo hupikwa na kuliwa na wanaume pekee. Kulia kwa JK ni Kgosi au chifu Tawana Noremi na aliyekaa shoto kwa Luteni Jenerali Khama ni naibu waziri wa botswana mh. G. Matlahabaphiri.
mmh mbona kazi wanaume bado wana mambo hayo ya uroho uroho kama zamani baba wa nyumba ndo mlaji paja la kuku na firigisi ole wako zitoweke
ReplyDeletemtume JK wetu hayo ni makende ndio maana wanakula wanaume watupu mwee,sio steki
ReplyDeleteRais wa Botswana ni kichwa mtu niliwahi kumsikiliza ana malengo na mikakati kabambe. halafu ni msela kwa hiyo ombeni namba
ReplyDeletemh.jk umeulizia hiyo nyama kama ni halal?usijilie tu wewe ni muumin
ReplyDeleteJamani mie nimeishi Botswana kwa miaka kadhaa. Ni kweli Setswa ni chakula ambacho huandaliwa na wanaume. Lakini hiyo ilkiwa zamani. Nimehudhuria funerals kibao za Watswana, Setswa inaliwa na kila mtu sasa hivi, hata ukienda supermarket, ipo inauzwa. Kwa hiyo habari ya kwamba inaliwa na wanaume tu, hasa katika karne hii ni misleading!
ReplyDeleteMhe Michuzi...Seswaa (siyo setswa) ni nyama inayoliwa kwenye sherehe..iwe msiba, harusi n.k.. Kwa uzoefu wangu sijawahi kufika kwenye sherehe yeyote nikakuta kwamba eti seswaa inaliwa na wanaume tu. Hiyo siyo kweli kabisa. Hata watoto wanakula. It is really delicious. Hasa ukitilia maanani kwamba nyama Botswana ina taste tofauti sana na ile ya TZ. Karibuni Botswana!
ReplyDeletemajiko yanayoonekana picha ya chini kabisa yanaitwa BUSH BABY ni maarufu sana nchi za kusini hasa Botwana na Namibia
ReplyDeleteRais amerudi... tumbo vipi Mh. rais halisumbui?
ReplyDeleteAngalia jinsi Jk na mwenzake walivyokula "Boots" babkubwa!
ReplyDeletendio mdau kumbe na wewe umezisoma hizo boots eh babkubwa
ReplyDeleteJK mshkaji sana,poa sana!!
ReplyDeletesasa na apo chini ya mti na "suti za western vipi"
safi sana kaenda zindua hospitali botswana jina linabaki pale.