Kabadi's team
Mandela's team
Captain Mandela akiwa na ghadhabu baada ya team yake kufungwa
Captain Kabadi na team yake baada ya ushindi

Hawa ni wadau wa kubwa wa blogu ya jamii  wa mwaka wa 3 Bcom chuo kikuu cha dar es salaam katika match iliyopigwa hapa hapa chuoni . 

Ilikua match kali kati ya Kabadi and friends Vs. Mandela and friends. Team ya Kabadi and friends walishinda kwa 3 - 1. 

Zawadi kwa mshindi ilikua crate ya soda kwani kila team ilicontribute crate moja ya soda so mshindi aliondoka na crate zote mbili.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mjombaaaaa Mandela..pole sana kwa kichapo.....safi lakini unaonesha unajali mazoezi na michezo pia...
    Cape Town...

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu Mandela na Kabadi acheni mambo ya kihuni bwana hivi mlishaona kutoka kwenye glob za jamii ndiyo dili, we know you all your profession kwanini msilete challenge za muhimu ndani ya blog, mnaleta ubishi wa Simba na Yanga pmoja na Man U na Arsenal we tired of such stories. Take an example of a person like Sunday Lema, sereki na hilary anayekenua meno kwenye picha hiyo, mpira ameujulia wapi nakumbuka tulikuwa naye Minaki high school alikuwa hajui chochote! So mehope you all you need to come with new interectuals rhetorics zitakazosaidia jamii, mabo ya ubishi na kelele muwaachie watoto wa secondary bwana. change your minds guys from fool ideas yap .....

    Kijana wangu sunday badilika bwana
    Mdau wa Zurich Ex minakian boy PCB

    ReplyDelete
  3. mzee wa mbwembwe nyingi naona ulimi nje! mbwembwe zote zimeisha. hahahahahahaha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...