
Mmoja wa wazee wasiojiweza wa kambi ya Funga Funga ya Mjini Morogoro, ( kushoto) akipokea msaada wa nguo mpya kutoka kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ambaye amehamishiwa Mkoa wa Tanga, Meja Jenerali Mstaafu , Said Kalembo, leo alipowatambelea wazee hao kutoa msaada huo na kuwaanga rasmi.

Baadhi ya wazee wasiojiweza wa Kambi ya Funga Funga ya Morogoro , wakiwa wamepokea nguo mpya kutoka kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro , Meja Jenerali Mstaafu , Said Kalembo leo. picha na mdau wa mji kasoro bahari John Nditi


wakati mwingine umaskini wetu uko akilini na sio mwilini. Huyu mzee akifunga vifungo vya shati kuna ubaya gani au ndio ukivaa holela unaprove umaskini? na hapo wanapowaweka wanawawezeshaje kujikimu kimaisha au ndio kuwapa samaki kila siku badala ya ndoana? tuamke tutafute njia mbadala za kuupiga vita umaskini. msijeona nawakebehi la hasha
ReplyDeletebadala kuwapa
ReplyDeletendoano
majembe ya trekta,au zile zilizoingia sasa
mitaji
nk nk
ila angalau waajiri vibarua wawavulie,wauze samaki au wawalimie wapate mazao wauze,mitaji waanzishe vijibiashara ata genge nk ili wajikimu maisha!!
UNAWAPA NGUO??NGUO?? ambazo zinachanika tu apo akijikwaa msumari????
kweli jamani??
acheni tu
Pamoja na kuwapa Nguo....angewapa pia na (kama alivyosema Annun wa pili) Ndoano, Majembe, Matrekta n.k. pamoja na mitaji...Uwezekano huo upo ila inategemea na mawazo ya viongozi....pamoja na nia ya kutoa....na pia kama wanawajali hao wana vijiji wa huko kunakohusika....
ReplyDelete