Makamu Mwenyakiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Mazingira Mh. Hassani Khatib akimsikiliza Mwenyekiti wa Kikundi cha Ushirika wa Ufugaji wa Samaki Katika Kijiji cha Chongoleani Mkowani Tanga wengine Wabunge wa Kamati hiya Wakiwa Katika Ziara ya Mkoa wa Tanga. Picha na  mdau Ali Meja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kaka michuzi nataka kuuliza kidogo mambo ya kigamboni naona kimya kinazidi na hao wazungu wanaoitaka kigamboni wapo
    au tena mambo ya ufisadi uanapita

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...