Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Muhammad Seif Khatibu akiongea katika hafla ya kuwatunuku wanamichezo bora wa mwaka 2008 katika ukumbi wa Kilimanjaro Kempinski usiku wa kuamkia leo ambapo mwanariadha Mary Naali aliibuka kidedea kwa kuwa mshindi wa tuzo ya jumla na kujinyakulia kombe, cheti na kitita cha shilingi laki sita.
Home
Unlabelled
khatibu awaasa waandishi wa michezo (video)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mgeni rasmi anatoa anatoa hotuba watu wanapiga stori kivyao hata hawasikilizi anaongea nini. Kihotuba cha dakika saba waandishi wanashindwa ku pay attention.
ReplyDeleteJapo na yeye Waziri nae haeleweki eleweki. Anadai uwanja mpya hautumiki, ina maana mechi za zilizokuwa zinafanyika uwanja wa Taifa wa zamani siku hizi zinachezewa wapi, shule ya Uhuru?