Kilimanjaro Stars
Wichita
Timu ya KILIMANJARO STARS imepanga kupiga kambi ya takribani mwezi mmoja kwa ajili ya kujiandaa kikamilifu na michuanao ya AFRICAN CUP MINNESOTA na yale ya timu ziishio U.S.A.
Habari zinasema kwamba vijana wote wapo tayari kwa lolote. Na timu ambayo ipo tayari kukipiga na KILIMANJARO STARS wametakiwa kuwasiliana na uongozi wa timu MINNESOTA.
Go Kilimanjaro Starts..ila vitambi vinabidi kupungua
ReplyDeleteJezi zinaashiria Kili Stars watawachabanga Wichita
ReplyDeleteHiyo si Wichita ni Minnessota.
ReplyDelete