JK na Marais Paul Kagame wa Rwanda na Mh. Mwai Kibaki wa Kenya wakizindua rasmi ujenzi wa barabara ya Arusha-Namanga-Athi river Road huko Lengijabe nje ya Arusha jioni jana
Toka shoto ni Balozi wa Japan nchini Makoto Ito, Rais Pirre Nkurunzinza wa Burundi, JK, Rais Paul Kagame wa Rwanda, Rais Mwai Kibaki wa Kenya, Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda, Rais wa African Development Bank Donald Kaberuka na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Juma Mwapachu katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa barabara hiyo ambayo ni mwanzo wa juhudi wa kuunganisha miundombinu ya nchi za jumuiya hiyo.
JK na izo suruari na suti?????
ReplyDeletetudumishe east afrika isiyo na chokochoko la ardhi,citizen ID,employment nk
ethiopia,eritrea,DRC congo,na nini ile nchi nimesahau,nao wanafikiriwa baadae ktk mujiunga na EA
aya
Ndgu Mwanakijiji:
ReplyDelete**
Nadhani hiyo posti ni yako, na ningependa kukuuliza swali au maswali machache, kwani umelileta swala la Mashaka katika muda muafaka.
Wewe mwenyewe kama mwandishi wa Habari, kuna matukio mengi tu ya kitaifa mema na mabaya ambayo yametendeka katika nchi yetu.
Mimi binafsi umenihoji na jina sitataja, ila napenda kukuuliza swali au maswali machache?
1.Je ni lini umejitokeza ukaipongeza serikali ya Tanzania kwa mema ambayo imeyatenda.
Hili swali linatokana na ukweli kwamba, kila mara unapowahoji viongozi wa nchi yetu umekuwa ni mtu wa kulalamika, hili baya na lil baya.Haujatoa pongezi hata siku moja
Hebu tupe suluhisho ya haya matatizo unayoyafuatilia bila kutoa suluhisho?
2. Ni lini umekuja nchini Tanzania ukajionea hali halisi ya mambo. Wewe unatupigia parapanda na mazuri unayoyataka wakati unakula kuku kwa mrija, unadhani nani atakutilia maanani?
3. Mpaka wa leo hatukuji jina, na kampuni yako imesajiliwa na nani, viongozi wake ni wakina nani na wako wapi?
4. Unasambaza jarida la cheche bure, ina maana ya kwamba kuna mtu anayeilipia gharama za uchapishaji wake. Tunaomba kuwajua hao wadhamini wako.
5. Kuna tetesi kwamba hivi karibuni kiongozi mmoja alikuja na kitika kikubwa sana na mkakutana naye, je hizi habari unazipokea vipi?
Ndugu mwanakijiji, nadhani muda umefika kuwavalia njuga watu wanaoturubuni na kutuona kama daraja la kuvukia umasikini. Naomba uyajibu hayo maswali kwa unyenyekevu.
Hon:MP
Who's Mu7 stylist.The Dude still living in old days,try 19kweusi
ReplyDeleteUfunguzi wa barabara karibuni, lakini siyo kuchukua ardhi, ajira au kukatiza mipaka tuuu bila papers. Watch out!............
ReplyDeleteenzi zetu za ujana ,suti ya muungwana,JK, ilikuwa ikiitwa DONGEAAA! au mixed grill..nadra sawa kuzipata super market au madukani
ReplyDeletesijui cku hizi mnaiitaje!
kala blazer ya nguvu, kwani kila saa lazima mtu umechishe juu mpaka chini kama xmas tree we vipi?
ReplyDeleteChangia mambo muhimu sio nguonguo
Hiyo inaitwa colors combination sio kuvaa sutii tuu big up JK
ReplyDeleteThat's not SUIT. Suit ni lazima suruali na koti lake viwe na rangi/kitambaa kimoja. anajaribu kuiga lakini anakosea, wakati kama huo ni wa kuvaa business suit kama wenzake. Aombe ushauri kwa mzee kibaki hapo. Makoti yenye metallic buttons sio ya business suit ni kwa ajili ya some groups/organizations. anaonekana kama some kind of an exhibition officer kwenye museum!
ReplyDeletehahahahaaaa JK na nguo zake
ReplyDeletewakati huu tunaziita x-mas tree au kachumbali
ni kweli annon lazima aulize wapi avae nini kabisa,yan apo kama uyoga ivi stand-alone!!khaaaaa
ni ayo
shame on you msiojua kuvaa ile aliyovaa JK ni blazer na suruali na sio suti na iko business oriented hasa formal occasions poleni msiojua,big up JK nakufagiliaa
ReplyDeletealichovaa Mu7 ni unique kwake na hiyo ndio identity yake haiendani na vazi la suti lakini ni choice yake,don't you have anything to comment instead of what they have chose to wear?
ReplyDelete