hiki ndicho kiota kipya cha savannah lounge & pub kilichomo ndani ya paradise city all-suite hotel katika ghorofa ya tatu ya jengo la benjamin mkapa pension towers usoni pa posta mpya mtaa wa azikiwe street jijini dar. kimefunguliwa rasmi usiku kuamkia leo na kiko wazi masaa 24
mandhari ya kuvutia

vistuli vya kisasa

viti vya kileo

manjonjo kibao

sehemu ya viti virefu
kwa mawasiliani zaidi piga:
+255 22 2200060/1/2/ ext. 7070


ebu wacheni ujinga nyie na hao wanawalipa kuweka haya matangazo ya biashara
ReplyDeletekama club 40/40 ya jay Z michuzi tupatia bei ya bia kabla ya kuaibika nikienda.
ReplyDeleteBWANA MICHUZI, NAOMBA UTOE MAONI YANGU KATIKA BLOG YAKO KUHUSU HICHO KIOTA CHA MARAHA. KWANZA NAKUPONGEZA NI VYEMA UMETOA ILE VIDEO YA MENEJA YA JANA KUHUSU MAELEZO YA KIOTA CHA MARAHA. KWANI KILIKUWA KINASHUSHA HADHI YA KIOTA HICHO KUTOKANA NA MENEJA WAKE KUTOA MAELEZO NA KUKATISHA MAELEZO WAKATI WENGINE TUKIFUATILIA MAELEKEZO YAKE, TUNASIKIA ANAONGEA NA SIMU NA RAFIKI YAKE AMESAHAU KUWA BLOG HII NI CHOMBO CHA MAWASILIANO MAKUBWA NDANI NA NJE YA NCHI. BLOG YAKO MICHUZI NI ZAIDI YA ITV, DTV AU TVT KAMA BADO ZIPO, KWANI ZENYEWE ZATOA HUDUMA NDANI YA NCHI TU LAKINI BLOG HII ACHA MHEZO, HIVYO TUANGALIE TUNAVYOITUMIA KWANI JAMII HAITATUELEWA. HONGERA SANA BRO, MICHUZI. GOOLUCK MEMBE - IRELAND
ReplyDeleteKweli Goodluck, afadhali mkuu wa wilaya ameichomoa ile video clip!ilikuwa inabore!jana nilipost comment hapa naona mkuu aliisoma akaichunia kuirusha, lakini nimefurahi aliona haja ya kuichomoa katika blogu ya jamii clip ile.
ReplyDeleteAfadhali bwana Michuzi umetoa ile video clip kwani Meneja alichemsha sana. Badal ya kufocu kwenye promotions yeye anaongea na simu na mashoga zake sijui ni nani lakini hakutakiwa kuongea wakati ule. Ilikuwa noma sana. NDIO MAMENEJA WETU HAO. GOOD LUCK
ReplyDelete