Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. kuna wakati nguvu zote umeelekezea huko kwenye smo lnalokupiga chenga inafikia kipindi hata yale unayoweza yanalegalega kwakuwa umeelekeza nguvu kwenye kitu ambacho huwezi.Naamini kama kuna somo lingine unajua zaidi,au kitu kingine una kipaji chako ni bora kuweka nguvu huko kuliko kupotezea nguvu zote kwenye kitu ambacho kinakumalizia muda na hamna mafanikio,unaweza 2mia muda na nguvu kidogo tu ili kuepuka total failure .Ni maoni yangu na yamenisaidia mie.

    krs
    Netherlands

    ReplyDelete
  2. That reminds me of an old friend - Charles Rugiko (or Lugiko?)who had a difficult time with Johannsen Kjell. I am offering Tshs. 50K for guessing where and when that was...

    ReplyDelete
  3. Bwana tuache masihara kuna maticha wengine hawajui kinachoendelea wanakariri. Ukiuliza swali ugomvi!!hapo unadhani kuna kuelewa tena??

    ReplyDelete
  4. Tatizo la DESI ni matokeo ya watu kukimbia hesabu, ile ni Pascal triangle & differentiation kidogo tu, baada ku-analyze utagundua kuwa haiwezekani. Hesabu inahitajika kila mahali, hata kama x & y zikikushinda tafuta yale yatakayokusaidia ktk maisha upambane nayo lakini siyo kuikimbia hesabu kabisa. ILA TATIZO WA-TZ TUNASOMEA EXAMS.

    ReplyDelete
  5. Mwenye-enzi atusaidie sana katika hesabu
    sio siri waalimu wanachangia sana katika kufeli/kuchukia somo la hisabati kwa madenti toka msingi!!
    yan ticha mkAAAli kinoma wee wafikili denti aelewe saa ngapi??
    asa zile jedwali za "mara"
    me nilisoma ungwini ila statistics zilikuwepo wether yu want or not.kazini nilipofika ndo usiseme kabisaaaa yan utawala na hesabu ni lazima,so lazima mtu ujataidi tu to love mathematics.

    ila hesabu ni msingi wa kila kitu TUJIFUNZE KUIPENDA TU

    ReplyDelete
  6. kak michu hii inanikmbusha nilipokuwa darasa la 4 huko kwetu ars, kuna binti kila akisiskia mwalimu wa hisabati anaingia basi yeye alikuwa anajikojolea kwa woga, ukweli ni kuwa mwalimu alikuwa anatandika si mchezo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...